Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

Haijaweka mfumo wa kutenganisha mamlaka (separation of powers) na hivyo inatoa fursa kwa matumizi mabaya ya madaraka (abuse of powers).
N.B
Separation of powers is a political system in which Legislative, Executive, and Judicial are kept distinct in order to prevent abuse of power and promote a system of checks and balances.
View attachment 248635

Nimeipenda hii analysis.

Tungefanikiwa kutenganisha mihimili ya dola tungekuwa tumepiga hatua na kuweka mfumo imara.

Maana tatizo letu ni mfumo sio watu
 
Tuipinge ili mtuletee uozo wenu???? Hii ndio katiba ya wananchi wote.
 
Katiba pendekezwa ni nzuri kwa kuwa ni maoni ya watanzania wenyewe,lazima yaheshimiwe,wale msiokubaliana na hilo mnahitaji kuchunguzwa kama ni raia wa Tz au laaa?
 
Ni kweli maana kuna watu hawaeleweki na wao wala hawajijui na kujitambua kwanini wapo hapa duniani zaidi ya kuvuruga tuu! kwa maneno mengine hawa ni vivuruga.
 
Subirini uchaguzi upite uone km kuna mtu ataisapoti hiyo katiba.

Waliopitisha wengine walikuwa na ndoto za urais, wengine ubunge nk.

Sasa hivi wanajutia, wapo kimyaaa !
 
Kwa akili yako unafikiri zoezi la kuipigia kura Katiba mpya ni sawa na la kumpata mgombea wenu wa UKAWA? utapiga kura na utakwenda kulala! Kama ulitegemea kupewa tenda ya uwakala umeliwa Katiba inapita hii!
 
Ibara ya 16 na ile ya 17 ya Rasimu ya Tume iliweka misingi mizuri sana ya utumishi wa umma yenye lengo la kuweka tija ktk uwajibikajika (incentivising accountability)

Kwanini ibara ibara hizo ziliondolewa na kina Sita na wenzake Mwakaboko King
 
Last edited by a moderator:
Ibara ya 16 na ile ya 17 ya Rasimu ya Tume iliweka misingi mizuri sana ya utumishi wa umma yenye lengo la kuweka tija ktk uwajibikajika (incentivising accountability)

Kwanini ibara ibara hizo ziliondolewa na kina Sita na wenzake Mwakaboko King

Gamba issue ya Rasimu ya Tume haipo tena wala haina uhalali hapa!Kwa katiba Inayopendekezwa misingi hiyo imewekwa vizuri, suala la uwajibikaji limewekwa vizuri kuhakikisha utumishi katika umma unanufaisha wananchi ziko mamlaka kibao za kusimamia hilo!
 
Nimeipenda hii analysis.

Tungefanikiwa kutenganisha mihimili ya dola tungekuwa tumepiga hatua na kuweka mfumo imara.

Maana tatizo letu ni mfumo sio watu

Jifunze hata ikama inavyikwenda wewe. Mwajiri wa watumishi wote ndani ya nchi ni nani? Usibwabwaje vitu kama huvijui.
 
Gamba issue ya Rasimu ya Tume haipo tena wala haina uhalali hapa!Kwa katiba Inayopendekezwa misingi hiyo imewekwa vizuri, suala la uwajibikaji limewekwa vizuri kuhakikisha utumishi katika umma unanufaisha wananchi ziko mamlaka kibao za kusimamia hilo!

Issue ni kuwa kuna uwezekano serikali ijayo ikaanzia upya kwenye rasimu hasa baada ya ccm kupima upepo.
Pia kuhusu utumishi wa umma, mfano mmoja tu ni kuwa Rasimu ilikataza viongozi wa umma kuwa na fedha nje, lakini hii inayopendekezwa inaruhusu viongozi wa umma kuwa na fedha nje.
Thats a single area of concern
 
Jifunze hata ikama inavyikwenda wewe. Mwajiri wa watumishi wote ndani ya nchi ni nani? Usibwabwaje vitu kama huvijui.

It reveals that you are so shallow !
Tunapoongelea Katiba tunaongelea mabadiliko ikiwamo hayo mamlaka ya Rais.
Na tunapoongelea Rais hatumuongelei JK wala nani, tunaongelea dhamana kwa yeyote awaye iwe leo ua miaka 50 na zaidi ijayo kutoka chama chochote.

So do not think inside a box guy !
 
Issue ni kuwa kuna uwezekano serikali ijayo ikaanzia upya kwenye rasimu hasa baada ya ccm kupima upepo.
Pia kuhusu utumishi wa umma, mfano mmoja tu ni kuwa Rasimu ilikataza viongozi wa umma kuwa na fedha nje, lakini hii inayopendekezwa inaruhusu viongozi wa umma kuwa na fedha nje.
Thats a single area of concern

Gamba Serikali ijayo ipi?au wewe huoni kinachoendeleea!!!Tafakari na chukua hatua!
 
It reveals that you are so shallow !
Tunapoongelea Katiba tunaongelea mabadiliko ikiwamo hayo mamlaka ya Rais.
Na tunapoongelea Rais hatumuongelei JK wala nani, tunaongelea dhamana kwa yeyote awaye iwe leo ua miaka 50 na zaidi ijayo kutoka chama chochote.

So do not think inside a box guy !

Punguza jazba elezea hoja yako usomeke! Hapo hujaeleza kitu, hakuna Rais asiye na mamlaka duniani labda awe babu yako!Jipe muda wa kuisoma ili uje na constructive ideas sio kupiga kelele!kifupi huna jipya
 
Mbona unachanganya changanya IDs zako.

Halafu, we mwenyewe ukiangalia posts zangu na majibu yako unajigundua kuwa upo very weak ktk uelewa, kujitambua na kujieleza, very weak and poor.

Hutoshi kuwa mwana JF
 
Hivi kwanini kuwe na Serikali ya Zanzibar wakati hakuna serikali ya Tanganyika ?

Kwanini tusiwe na serikali moja ?

Mimi naamini mchakato wa katiba hautoanzia ulipoishia, bali kuna uwezekano wa kufanyika reviews wakati utapofika
 
Nenda kasome ARTICLE OF UNION vizuri kamanda la sivyo utaehuka bure! ukimaliza nenda UN uone kama kuna kiti cha Zanzibar, ukimaliza rudi hapa uniambie Rais wa Jamhuri ya Muungano anatoka huku bara au ZnZ! Huwezi kuwa na Muungano wa nchi 1 ila unakua na muungano wa nchi 2 au zaidi!
 
Back
Top Bottom