Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
Huo wivu wa kike sasa !
Kama kakuacha kakuacha tu, huna sababu ya kupanic.
WaTZ mbona hatupendi wenzetu wafanikiwe?
Haijaweka mfumo wa kutenganisha mamlaka (separation of powers) na hivyo inatoa fursa kwa matumizi mabaya ya madaraka (abuse of powers).
N.B
Separation of powers is a political system in which Legislative, Executive, and Judicial are kept distinct in order to prevent abuse of power and promote a system of checks and balances.
View attachment 248635
Usiwe penda penda, weka hoja kijanaNimeipenda hii analysis.
Tungefanikiwa kutenganisha mihimili ya dola tungekuwa tumepiga hatua na kuweka mfumo imara.
Maana tatizo letu ni mfumo sio watu
Usiwe penda penda, weka hoja kijana
Hujaona hoja hapo mkubwa ?
Punguza jazba bana !!!
Katiba pendekezwa ni nzuri kwa kuwa ni maoni ya watanzania wenyewe,lazima yaheshimiwe,wale msiokubaliana na hilo mnahitaji kuchunguzwa kama ni raia wa Tz au laaa?
Subirini uchaguzi upite uone km kuna mtu ataisapoti hiyo katiba.
Waliopitisha wengine walikuwa na ndoto za urais, wengine ubunge nk.
Sasa hivi wanajutia, wapo kimyaaa !
Ibara ya 16 na ile ya 17 ya Rasimu ya Tume iliweka misingi mizuri sana ya utumishi wa umma yenye lengo la kuweka tija ktk uwajibikajika (incentivising accountability)
Kwanini ibara ibara hizo ziliondolewa na kina Sita na wenzake Mwakaboko King
Nimeipenda hii analysis.
Tungefanikiwa kutenganisha mihimili ya dola tungekuwa tumepiga hatua na kuweka mfumo imara.
Maana tatizo letu ni mfumo sio watu
Gamba issue ya Rasimu ya Tume haipo tena wala haina uhalali hapa!Kwa katiba Inayopendekezwa misingi hiyo imewekwa vizuri, suala la uwajibikaji limewekwa vizuri kuhakikisha utumishi katika umma unanufaisha wananchi ziko mamlaka kibao za kusimamia hilo!
Jifunze hata ikama inavyikwenda wewe. Mwajiri wa watumishi wote ndani ya nchi ni nani? Usibwabwaje vitu kama huvijui.
Issue ni kuwa kuna uwezekano serikali ijayo ikaanzia upya kwenye rasimu hasa baada ya ccm kupima upepo.
Pia kuhusu utumishi wa umma, mfano mmoja tu ni kuwa Rasimu ilikataza viongozi wa umma kuwa na fedha nje, lakini hii inayopendekezwa inaruhusu viongozi wa umma kuwa na fedha nje.
Thats a single area of concern
It reveals that you are so shallow !
Tunapoongelea Katiba tunaongelea mabadiliko ikiwamo hayo mamlaka ya Rais.
Na tunapoongelea Rais hatumuongelei JK wala nani, tunaongelea dhamana kwa yeyote awaye iwe leo ua miaka 50 na zaidi ijayo kutoka chama chochote.
So do not think inside a box guy !
Punguza jazba elezea hoja yako usomeke! Hapo hujaeleza kitu, hakuna Rais asiye na mamlaka duniani labda awe babu yako!Jipe muda wa kuisoma ili uje na constructive ideas sio kupiga kelele!kifupi huna jipya
Hivi kwanini kuwe na Serikali ya Zanzibar wakati hakuna serikali ya Tanganyika ?
Kwanini tusiwe na serikali moja ?
Mimi naamini mchakato wa katiba hautoanzia ulipoishia, bali kuna uwezekano wa kufanyika reviews wakati utapofika