Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,397
Mzee au fyuzi imekata nini maana nijuavyo mimi kujamba kwa mtoto wa kiume ni kitu cha siri mno dah sasa yeye anaanikaAmini usiamini mkuu! Huwa nikifukua makaburi ya huyu jamaa yangu CCNP Engineer huwa nacheeeka sana..! Fikiria mtu anajamba hovyo hovyo kwenye daladala afu ndio TO!? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
He is as dumb as jellyfish!
Mkuu acha kujiadhiri mwenyewe yaani kati ya Dewji na Bakheresa...unasema proudly kabisa kwamba Dewji anamnyoosha Bakheresa kwa mkwanja!?Kati ya hao, diamond, manji, bakhresa, wanaongozwa na nani km sio Mohamed Dewji, unajua kwanini
Jombaa nipe tu facts maana bila vigezo mi sielewi wl nnMkuu acha kujiadhiri mwenyewe yaani kati ya Dewji na Bakheresa...unasema proudly kabisa kwamba Dewji anamnyoosha Bakheresa kwa mkwanja!?
Kama huelewi hata hili dogo tu sidhani kama naweza kuwa naargue na mtu sahihi!
Anyways, kati ya Dewji na Bakheresa unasema Dewji ndio tajiri zaidi?
Mkuu achana na hizo sugarcoated statistics za Forbes.. Chukua hii hapa itakusaidia.Mcheki hapo Mo namba 17 je nikutaftie Azam yuko wapi? Maana hata 20 wa kwanza hayupoView attachment 823847
Mkuu licha ya kwamba nilikuwa nazunguka ili nimnase vizuri injinia majalala CCNP but ukweli unabaki pale pale the more you study the more you become stagnant and economically trapped.Braza mwombeki usihangaike kubishana na jamaa ....i dont really know where he gets his ideas he might be correct kua ccnp has got problems but hawez tumia mtu mmoja kufanya generalisation kihivo
Sasa unasema achana na sugarcoated nini nini za forbes afu niangalie hiko kimsemo tu wewe jamaa utendelea kuwa na msimamo wako huo ila wangu uko vilevile, na hujasoma historia ya Gates vizuri, kufeli some exams sio kwamba sio TO, maana Gates alikua brightest kuliko wanafunzi wote katika computer sciences, na alikua na vision sio mbumbumbu km unavyodhani, jamaa ni genius, na maTO ni magenius pia kwa upande wao, ila huku tupo bongo, wao wapo ulaya, km kufeli darasani mbona Einstein Albert alifeli hadi walimkatia tamaa ila alikua genius na theories zake tunazitumia hadi leo kwenye mambo magumu ya kisayansi hukoMkuu achana na hizo sugarcoated statistics za Forbes.. Chukua hii hapa itakusaidia.
Na mjadala unafungwa na Billgate mzee wa kuku toka Microsoft.
Mainjinia TO.View attachment 823848
Nelson Mwombeki upo sahihi binafsi wote waliokuwa vipanga ninaowafahamu wapo vizuri tu na tunajuana huyu yuko wapi huyu yuko wapi ,kama mtu hajawa sawa jua kuna mtihani umemkumba karudi nyuma ila nae anajipanga akinyanyuka hapo atakuwa sawa tu,mwenye akili ana akili tu.Naamini kabisa injinia yuko safi humu anatuchora tu.
Magenius tunawatumia kama condom vile..baada ta tendo na kutukinga na magonjwa tunawatupa chooni.Sasa unasema achana na sugarcoated nini nini za forbes afu niangalie hiko kimsemo tu wewe jamaa utendelea kuwa na msimamo wako huo ila wangu uko vilevile, na hujasoma historia ya Gates vizuri, kufeli some exams sio kwamba sio TO, maana Gates alikua brightest kuliko wanafunzi wote katika computer sciences, na alikua na vision sio mbumbumbu km unavyodhani, jamaa ni genius, na maTO ni magenius pia kwa upande wao, ila huku tupo bongo, wao wapo ulaya, km kufeli darasani mbona Einstein Albert alifeli hadi walimkatia tamaa ila alikua genius na theories zake tunazitumia hadi leo kwenye mambo magumu ya kisayansi huko
Hapa naona km najaribu kumwelezea mbuzi kwanini anakula nyasi afu anakunya vidonge vidogo vidogo badala ya nyasi zitokee njeMagenius tunawatumia kama condom vile..baada ta tendo na kutukinga na magonjwa tunawatupa chooni.
Ukijua tofauti ya Intelligent na Genius kurudi tena Ku argue na Mimi vinginevyo nitakuwa napoteza muda wangu bure tu. Kasome kwanza hapa Hii ndio sababu Magenius hawawezi kuwa matapeli
Ukimaliza urudi sasa! At least naweza kuwa nabishana na mtu mwenye uelewa sahihi wa hizi terminology genius, intelligent, normal people.
Try again Sir.@ Hamble African: