Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Hata reginald mengi tu ni msomi mzuri sanaaa, so fact zako mkuu sio valid, labda unachojaribu kuniambia ni kitu tofauti na ninachojaribu kuelezea
 
Amini usiamini mkuu! Huwa nikifukua makaburi ya huyu jamaa yangu CCNP Engineer huwa nacheeeka sana..! Fikiria mtu anajamba hovyo hovyo kwenye daladala afu ndio TO!? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

He is as dumb as jellyfish!
Mzee au fyuzi imekata nini maana nijuavyo mimi kujamba kwa mtoto wa kiume ni kitu cha siri mno dah sasa yeye anaanika

#CCNP eng hapo umetukosea Wanaume ila kama wewe mvulana aina noma unaweza endelea boss
 
Kati ya hao, diamond, manji, bakhresa, wanaongozwa na nani km sio Mohamed Dewji, unajua kwanini
Mkuu acha kujiadhiri mwenyewe yaani kati ya Dewji na Bakheresa...unasema proudly kabisa kwamba Dewji anamnyoosha Bakheresa kwa mkwanja!?

Kama huelewi hata hili dogo tu sidhani kama naweza kuwa naargue na mtu sahihi!

Anyways, kati ya Dewji na Bakheresa unasema Dewji ndio tajiri zaidi?
 
Jombaa nipe tu facts maana bila vigezo mi sielewi wl nn
 
Mcheki hapo Mo namba 17 je nikutaftie Azam yuko wapi? Maana hata 20 wa kwanza hayupo
Screenshot_20180731-224133.jpg
 
Braza mwombeki usihangaike kubishana na jamaa ....i dont really know where he gets his ideas he might be correct kua ccnp has got problems but hawez tumia mtu mmoja kufanya generalisation kihivo
 
Braza mwombeki usihangaike kubishana na jamaa ....i dont really know where he gets his ideas he might be correct kua ccnp has got problems but hawez tumia mtu mmoja kufanya generalisation kihivo
Mkuu licha ya kwamba nilikuwa nazunguka ili nimnase vizuri injinia majalala CCNP but ukweli unabaki pale pale the more you study the more you become stagnant and economically trapped.

This is jack Ma! Anakazia tena.
images-46.jpg
 
Mkuu achana na hizo sugarcoated statistics za Forbes.. Chukua hii hapa itakusaidia.

Na mjadala unafungwa na Billgate mzee wa kuku toka Microsoft.

Mainjinia TO.View attachment 823848
Sasa unasema achana na sugarcoated nini nini za forbes afu niangalie hiko kimsemo tu wewe jamaa utendelea kuwa na msimamo wako huo ila wangu uko vilevile, na hujasoma historia ya Gates vizuri, kufeli some exams sio kwamba sio TO, maana Gates alikua brightest kuliko wanafunzi wote katika computer sciences, na alikua na vision sio mbumbumbu km unavyodhani, jamaa ni genius, na maTO ni magenius pia kwa upande wao, ila huku tupo bongo, wao wapo ulaya, km kufeli darasani mbona Einstein Albert alifeli hadi walimkatia tamaa ila alikua genius na theories zake tunazitumia hadi leo kwenye mambo magumu ya kisayansi huko
 
Nelson Mwombeki upo sahihi binafsi wote waliokuwa vipanga ninaowafahamu wapo vizuri tu na tunajuana huyu yuko wapi huyu yuko wapi ,kama mtu hajawa sawa jua kuna mtihani umemkumba karudi nyuma ila nae anajipanga akinyanyuka hapo atakuwa sawa tu,mwenye akili ana akili tu.Naamini kabisa injinia yuko safi humu anatuchora tu.

Kwa Mfagio huu kama hajatuma basi kweli "IRONS ARE TIGHTING".
 
Gates aliandika code zote za computer usiku na mchana, alikua hana muda wa kusoma masociology na madikodiko ambayo hayatmsaidia, kipindi hiko computer ni kitu cha kupatikana maeneo machache sana, sasa mtu anaeweza kukaa na kuandika mistari ya software akaweka baseline ya matumizi ya kompyuta kwa kila mwanadamu duniani, au hata yule jamaa wa Apple Computers, wale jamaa ni magenius wanalala wanaota codes, wanaamka wanaandika codes, sasa km sio magenius ni nini,
Usijidanganye jamaa, Bakhresa, Diamond, Manji au bibi yako huko hawez kufanya vitu km hivyo
 
Sasa unasema achana na sugarcoated nini nini za forbes afu niangalie hiko kimsemo tu wewe jamaa utendelea kuwa na msimamo wako huo ila wangu uko vilevile, na hujasoma historia ya Gates vizuri, kufeli some exams sio kwamba sio TO, maana Gates alikua brightest kuliko wanafunzi wote katika computer sciences, na alikua na vision sio mbumbumbu km unavyodhani, jamaa ni genius, na maTO ni magenius pia kwa upande wao, ila huku tupo bongo, wao wapo ulaya, km kufeli darasani mbona Einstein Albert alifeli hadi walimkatia tamaa ila alikua genius na theories zake tunazitumia hadi leo kwenye mambo magumu ya kisayansi huko
Magenius tunawatumia kama condom vile..baada ta tendo na kutukinga na magonjwa tunawatupa chooni.

Ukijua tofauti ya Intelligent na Genius kurudi tena Ku argue na Mimi vinginevyo nitakuwa napoteza muda wangu bure tu. Kasome kwanza hapa Hii ndio sababu Magenius hawawezi kuwa matapeli

Ukimaliza urudi sasa! At least naweza kuwa nabishana na mtu mwenye uelewa sahihi wa hizi terminology genius, intelligent, normal people.
 
Hapa naona km najaribu kumwelezea mbuzi kwanini anakula nyasi afu anakunya vidonge vidogo vidogo badala ya nyasi zitokee nje
 
Back
Top Bottom