Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Ah ah ah hii ligi mi ndio minilikuwa refeeTabia ya upambe umeanza lini?
MhgAh ah ah hii ligi mi ndio minilikuwa refee
Jiran yangu kipenz
Humu mtandaoni usipokuwa mpiganaji wa keyboard yaani keyboard warrior utateseka sana.Humble jamani sikujua upo mchokozi
Niliona ile post yake nikasema Humble akiipata atajutaa najua sio mchokozi wanakuchokozaHumu mtandaoni usipokuwa mpiganaji wa keyboard yaani keyboard warrior utateseka sana.
Mimi sio mchokozi, wananichokoza wenyewe hun! Nikijihami wanakimbilia shimoni.
Kuna haka kamsemo kutoka FFU wanasemaga "the only way to suppress people with violence is through violence " njia pekee ya kupambana na watu wanaoutumia vurugu ni kwa kupitia kuleta vurugu kubwa zaidi yao.
Namlipua [emoji95] na kumjambisha [emoji100]
Naomba vochaJiran yangu kipenz
Ah ah ah ah subirNaomba vocha
Nilipoiona ile post nikajawa na hasira sana kuna kijana akanisogelea akaniambia humble kuna panga mbili hapa...ghafla fan wangu FRESHMAN akamkata sikio...nikamwonea huruma nikalirudisha sikio lake.Niliona ile post yake nikasema Humble akiipata atajutaa najua sio mchokozi wanakuchokoza
SawaAh ah ah ah subir
Unanifurahisha sana jamaa ila swali langu ni kati ya wewe na CCNP engineer nani atabeba mimba?Mimi huwa nazaa nae mkuu!
Akuache kabisa mkuu, wewe huna tatizo nae. Ananigwaya kama baamedi anavyomgwaya mwanaume asie na sehemu ya kulala. [emoji23] [emoji23]
CCNP Engineer "you are nex"...in bolo yanki's voice [emoji23]
hata hakun kugombwaniwa hapa Humble alikuwa anakumbushia 50,000 ngoja tuendelee kusubiri injia yuko site badoHivi huyu amu anagombaniwa na wote wawil daah maninA walahi
Yule jamaa boya sana. Eti nilikua naongelea uhalisia wa maisha yao bila kumtaja akanitolea povu
Anaishi maisha ya kijinga hana hata hela kazi kujisifu tu humu
Ahahaha!! Mkuu nimesema nataka kuzaa nae na kwa vile ananikwepa saana ushajua nani anataka kubebeshwa mimba hadi hapa.Unanifurahisha sana jamaa ila swali langu ni kati ya wewe na CCNP engineer nani atabeba mimba?
Hahaaaa basi na azae tu mkuuAhahaha!! Mkuu nimesema nataka kuzaa nae na kwa vile ananikwepa saana ushajua nani anataka kubebeshwa mimba hadi hapa.
Dogo muoga balaa!! Sijui bado ana bikra? [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...Mziki wako wanaujua Wakenya kule Kenya forum..huwa unazaa nao kama morani na akina mama yoyooo... Akikusumbua sana nakuja tunakuwa tag team!
Two is better than one!
Kweli amehaidi akitoka site...ngoja nisubiri nione maana huu ugomvi wetu unaweza kumalizwa na mwenye hela zaidi ya mwenzie pia...amesema anatuma elfu 50...na Mimi nimehaidi akituma 50 natuma laki. Sitaki dharau!hata hakun kugombwaniwa hapa Humble alikuwa anakumbushia 50,000 ngoja tuendelee kusubiri injia yuko site bado
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HKL tafadhari msaada tutan....!!!!!
Wa mtandao upi sasa?Sawa
Ah ah ah ah una meno mazur[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
VodaWa mtandao upi sasa?