Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Humble jamani sikujua upo mchokozi
Humu mtandaoni usipokuwa mpiganaji wa keyboard yaani keyboard warrior utateseka sana.

Mimi sio mchokozi, wananichokoza wenyewe hun! Nikijihami wanakimbilia shimoni.

Kuna haka kamsemo kutoka FFU wanasemaga "the only way to suppress people with violence is through violence " njia pekee ya kupambana na watu wanaoutumia vurugu ni kwa kupitia kuleta vurugu kubwa zaidi yao.

Namlipua [emoji95] na kumjambisha [emoji100]
 
Niliona ile post yake nikasema Humble akiipata atajutaa najua sio mchokozi wanakuchokoza
 
Niliona ile post yake nikasema Humble akiipata atajutaa najua sio mchokozi wanakuchokoza
Nilipoiona ile post nikajawa na hasira sana kuna kijana akanisogelea akaniambia humble kuna panga mbili hapa...ghafla fan wangu FRESHMAN akamkata sikio...nikamwonea huruma nikalirudisha sikio lake.

Nikasikia tena anajiita mfalme wa ma engineer!? Nikasema mfalme? Ngoja nikamwanzishie Uzi? Ndio nikaanzisha huu Uzi....[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Best kama vipi kuwa promota utuandalie mpambano official kwenye Uzi tofauti na huu wenye kichwa cha habari ....HUMBLE AFRICAN VS CCNP ENGINEER RELOADED.

Nitashukuru sana kushiriki hilo pambano.
 
Mimi huwa nazaa nae mkuu!

Akuache kabisa mkuu, wewe huna tatizo nae. Ananigwaya kama baamedi anavyomgwaya mwanaume asie na sehemu ya kulala. [emoji23] [emoji23]

CCNP Engineer "you are nex"...in bolo yanki's voice [emoji23]
Unanifurahisha sana jamaa ila swali langu ni kati ya wewe na CCNP engineer nani atabeba mimba?
 
Unanifurahisha sana jamaa ila swali langu ni kati ya wewe na CCNP engineer nani atabeba mimba?
Ahahaha!! Mkuu nimesema nataka kuzaa nae na kwa vile ananikwepa saana ushajua nani anataka kubebeshwa mimba hadi hapa.

Dogo muoga balaa!! Sijui bado ana bikra? [emoji23]
 
hata hakun kugombwaniwa hapa Humble alikuwa anakumbushia 50,000 ngoja tuendelee kusubiri injia yuko site bado
Kweli amehaidi akitoka site...ngoja nisubiri nione maana huu ugomvi wetu unaweza kumalizwa na mwenye hela zaidi ya mwenzie pia...amesema anatuma elfu 50...na Mimi nimehaidi akituma 50 natuma laki. Sitaki dharau!

Huyu ndio TO engineer wa kwanza maskini kabisa nchi za nje kinyerezi. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Akituma hiyo pesa siingii tena JF maisha yangu yote. I swear!!!
 
Back
Top Bottom