Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
mwanaume ambae yuko vizuri kichwani nampenda sana tatizo CCNP Engineer mdogo sana kwangu anaenda Ilboru Advance mimi nimeshambana na Kibacha kwenye business law ,nishakula supp ya cost accounting,nishamalizana na corporate finance yaani niko chuo huko mwishoni mwishoni angekua agemate sawa nani asiyetaka kuwa mama T.O pengine tungezaa katanzania one kadogo
Endelea kuvumilia tu dadaMvumilivu hula mbivu mimi nimrfunzwa kuvumilia bana namvumilia injinia wangu
[emoji15] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sawa
😀😀😀😀 Huyu ndiye Shunie Mahela mahelaHizo ban zisikuogopeshe ni za uonevu kuna mod atakuwa ananitaka anashindwa kuniambia au kama mwanamke ananionea wivu nikikohoa ban nikisema mapugi ban
Na hivi tuko sote hapa!si ajabu ikapita banVipi tena naweza hata hapa kupigwa ban
Na hivi tuko sote hapa!si ajabu ikapita ban
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakukomoe kwani ukipigwa ban huli,hunyi,halali?Ipite tu mm nishajizoelea tu halafu kama wanajua wananikomoa mm wala hawanikomoi na ban zao za uonevu
Tena naishi vizuri sana jamani wangejua mm nikilog out nasahau kama kuna jf woiiiii mapugi jamani[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakukomoe kwani ukipigwa ban huli,hunyi,halali?
Ahahaha!! Nimecheka sana amu ...! Huyu bwege anaweza kukupa "Jakamoyo" bure.Yaani hapa kuna meseji ya mpesa imeingia mda huu nlicheka sana nikajua engineer mwee kusoma hadi mwisho sio yeye nimesiz icc imfikie Humble African.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] looh!Tena naishi vizuri sana jamani wangejua mm nikilog out nasahau kama kuna jf woiiiii mapugi jamani
Naamini hawezi kuniumbua Kwa kutuma hiyo hela.Mvumilivu hula mbivu mimi nimrfunzwa kuvumilia bana namvumilia injinia wangu
Humble samahani jamani sungwi ni nnNaamini hawezi kuniumbua Kwa kutuma hiyo hela.
Nawajua Mainjinia wa aina CCNP engineer wamefulia sana....yaani asubuhi asubuhi huko site wanafakamia mapera na sungwi. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Njaa Kali!
Ahahaha!! Atakuwa kaishakimbia kama Harmo rapa alipoona ile bastola aliyotolewa Nape....walimkamatia Pale Mazimbu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Humble African engineer Kaja huku,Wahiiii kabla hajaingia shimoni.
yaani mimi hilo somo hapana kwa kweli ndo maana sikuwezaga kusoma HKL za kina humbleHiyo B'nes law kuna muhindi mmoja namkumbuka kwenye UE alitupa Swali la Scenario kwenye Hire purchase yani mpaka leo naotaga nipo Chumba cha mtihani halaf nimebaki peke yangu sina nilichojaza naambiwa zimebaki nusu saa..
@amu na Mama Sabrina wana background ya Mwanza wanazijua sungwi kwa uzuri...wanisaidie kukufafanulia maana sijui hata nizielezeeje sungwi.Humble samahani jamani sungwi ni nn
@amu na Mama Sabrina wana background ya Mwanza wanazijua sungwi kwa uzuri...wanisaidie kukufafanulia maana sijui hata nizielezeeje sungwi.
Angalizo:
amu naomba pindi utakapopokea ahadi yangu usitangaze public kuwa nimekutumia pesa yoyote ile.
kuna vimbulu (paka shume) wamesimamisha masikio yao wanasubiri useme umetumiwa pesa na Engineer waanze kubwatuka kuwa najionesha, najidai.
Engineers' we don't talk shit. We use 90% of our time to plan, design, implement then we let the society judge our work.
Thanks for being patient. Chao.