Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Ahahaha!! We dogo tapeli sana na nakwambia huna akili fupi kama maisha ya funza kila siku. Yaani umetaka kujificha kwenye hoja dhaifu kama mtu anaejificha pembeni ya jiko la mkaa akiamini haonekani. [emoji23]

Dhumuni ni kutaka kujiridhisha kama kweli mainjinia, MaTO ni successful kweli? kwa task moja nyepesi sana ya wewe kumtandika huyu mtoto mzuri amu na misimbazi mitano tu.. unaneng'eneka...ohooo usintanganye kwa wantyu nikikupa nyela...! Nyumbundaya mkubwa wewe.

Ampe hamsini hadharani na Mimi nampa laki hadharani! Simple as that!

Engineer wewe unajua vitu viwili tu...kujamba kwenye daladala, kupiga punyeto na kubet. [emoji23]
 
Hahahaaha......aysee nimecheka sana @CCCP ENGINEER we are in the same field of engineering but kwa ninayo yaona kwa huyu jamaa kubali yaishe humuwezi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani
 
HKL sikuwezi aiseeeh!
 
Hahahaaha......aysee nimecheka sana @CCCP ENGINEER we are in the same field of engineering but kwa ninayo yaona kwa huyu jamaa kubali yaishe humuwezi.
Engineer Dimension kuna kila dalili wewe ukawa modern with professionalism ya kutosha kabisa....avatar yako inazungumza mengi mazuri sana kabla sijakufukua zaidi kwa kutumia psychodynamic theory kukujua kwa undani zaidi. Huko perfect!

Ila ubaya mnasomaga complex phenomenas sana hadi wale vichwa maji wanafyatuka akili na kuwa psycho kama huyu CCNP Engineer.

Mara alike comments zangu...mara achukie cheti chake chenye A+ Kali akitumie kama garbage collector? Yaani hajielewi kabisa huyu "Mwezi nchanga"

Akizidi kuniwaza ntamuadhiri sana.... (Blalifuliporokodiomadonna) usistuke hili ni tusi moja tu kwake. Ahahaha! [emoji23]
 
Padri mcharo mcharuko katika ubora wako
 
Mkuu Humble African mtoe huyo Engineer wako ktk kazi yetu pendwa ya BETTING,Kiufupi haijui ndo maana ilimshinda akakimbia labda huko kujamba na Puli yuko vizuri.
 
Hahahahhaha kuna kaka mmoja tumesoma wote alivyofanya mtihani wa form six amekuwa kichaaa mpaka leo na matokeo yalitoka safiii PCM
Mkuu, amini usiamini magenius wengi ni rahisi kuwa vichaa kuliko vilaza. Kuna jamaa mmoja pia pale kjijini kwetu alikuwa kipanga cha kukata na shoka, sasa hivi anaokota chupa jalalani. Sijui hata inakuwaje mpaka inakuwa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…