Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Mkuu Humble African mtoe huyo Engineer wako ktk kazi yetu pendwa ya BETTING,Kiufupi haijui ndo maana ilimshinda akakimbia labda huko kujamba na Puli yuko vizuri.
Ahahahaha!!...kwa madaraka niliyopewa na jamhuri nambakiza kwenye fani zake za muda mrefu anazozijua kwa ustadi mkubwa kujamba kwenye daladala kwa siri na kupiga puli.

Kuanzia Leo hata ule Uzi wa kubet usitembelee bombardia mkubwa wewe. Injinia majalala.
 
[emoji23][emoji39][emoji23][emoji23] nakufatiliaga kimya kimya, sikuwahi kuhisi unaweza kua na side hii,nimecheka mno mkuu!
 
Unamaanisha Shoga???
Yaani ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume wenzie???
You never know... Na kwa kuwa wewe ni mwanamke, mpaka umefikia kuhisi hivi bila shaka kuna dalili utakua umeziona. Mimi sitaki kuongeza neno.

Mkuu usiniangushie jumba bovu,nina mume humu....πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜• wanangu wataishije nikifa….😑
 
Msamehe bure huyo bebe wangu.....

Hayo mambo ya kuitana pugi awaachie wale wadada wengine nahisi atakuwa kateleza namjua vyema she dont fit on those word kabisa.....

So Humble African mkaushie shemeji wako......
Nimekuelewa mkuu! Namfahamu kwa kina tu, ni mtu makini na mwelewa sana.

Shemeji alichofanya ni sawa na kukutana na Grace marchel mke wa Samora marchel na Mandela aliepata bahati ya kuolewa na marais wawili wa Afrika kwa tabia yake nzuri anataact tabia za Gigi money..... Unabaki kucheka tu na kuendelea kumuheshimu maana unajua sio yeye genuine he is just acting.

Still have huge respect kwake saana. And ain't even mad at her.

[emoji176]
 
Kabisa atoke na asije kwenye ule Uzi wetu maana kazi haijui anabaki kuupotosha umma tu wakati betting wengine inatufanya tuheshimike mjini,Wakati wengine wananunua Coaster 2 kwa jumla ya M90+ ili waweze kulaza hesabu ya Tsh 200K kwa siku sie TUNAWEKEZA Tsh 200K na tunalaza 300K net profit after Tax halafu yeye anapotosha kutokana na kuvamia kwake fani asiyoijua.
 
[emoji23][emoji39][emoji23][emoji23] nakufatiliaga kimya kimya, sikuwahi kuhisi unaweza kua na side hii,nimecheka mno mkuu!
Watu wengi huwa nawasuprise sana maana hata sura yangu ni ya upole na unyenyekevu sana but ukinipa muda tukazoeana mimi ni katundu Dunia nzima.

I'm not violent... Huwa Nina sehemu nyingine ya kupenda utani wa ndani sana wa ngumi ule, kama huu ninaompa engineer... [emoji23]

Mkuu endelea kufurahia Huduma zangu!
 
Reactions: naa
Unamaanisha Shoga???
Yaani ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume wenzie???
You never know... Na kwa kuwa wewe ni mwanamke, mpaka umefikia kuhisi hivi bila shaka kuna dalili utakua umeziona. Mimi sitaki kuongeza neno.
[emoji23] [emoji1] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu usiniangushie jumba bovu,nina mume humu....πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜• wanangu wataishije nikifa….😑
Umenchekesha sana....ulivyomruka injinia futi 100 yaani. Ahahaha!! Sasa alijua kapata msaada kwa vile umemkataa anarudi tena shimoni... Coward muhufuka!

Injinia mjinga aliejenga nyumba kubwa hadi kaweka na roundabout ndani ya nyumba! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Last edited:

ni kweli nilikudhania wewe ni yule mkaka maana na yeye ana tabia ya kuleta screenshot akiwa anapigana na mtu humu...sio kwamba namruka..ila nimeona labda wewe na yule tuliyemuita pugi ni watu wawili tofauti
 
We mjambaji tuachane na hayo shemeji kashatengua kauli yake ya awali na amekuachia upambane na hali yako.

Nikuulize wewe ni engineer katika field gani? Civil engineering? Aerospace engineering au?
 
ni kweli nilikudhania wewe ni yule mkaka maana na yeye ana tabia ya kuleta screenshot akiwa anapigana na mtu humu...sio kwamba namruka..ila nimeona labda wewe na yule tuliyemuita pugi ni watu wawili tofauti
Usijali Rebeca 83 nimekuelewa vizuri tu shemeji yangu.

Tuko pamoja sana! Niachie nizae nae huyu Injinia Bungara Bwege.
 
Naona tunadhalilishwa .. Hapa na wewe unayeitwa ccnp engineer
Hakika mkuu!

Na huyu amenifanya hadi Nika generalize wasomi wote hadi MaTO maana na yeye anakariri alikuwa TO.

I would like to apologize kwa wasomi wote niliowakwaza sababu ya huyu mjambaji mmoja wa kwenye madaladala.

Blame on CCNP Engineer he provoked me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…