Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Kuna mmoja namjua ni wa miaka kati ya 2010 - 2015 jamaa anaingia toi na makaratasi ya daftari
 
Sawa mkuu Humble African nasubiri comrade wa PCM afike huku nikituliza monkey mind taratibu.
Ananijua kwa uzuri wa kutosha msako wangu akija Nina nondo zake kibao nimekusanya namfurusha mapema tu...hadi siku yake ya kesho inageuka "zohari" tupu.

Akinishinda naenda Msata Kwa Mshana tunampiga "surhati zubaa" anazubaa miaka nane kwenye saloon anayozoa nywele. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
another nshomile in town?
 
anabet kwa Mhindi na masela ambao wasio na vision wala mission wenye ngeu za kutosha usoni, wakiwa vifua wazi vitovu vikubwa kama lile lisehemu la kutafutia stesheni kwenye redio Mbao za zamani




[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] *****
 
Ah ah ah ah ah HKL yako inafanya kazi
 
Kumbeee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu endelea kuenjoy huku ukisubiri nibinye mtu kende alie kinyantuzu.
 
Mkuu don't take it so serious...mimi na huyu bwana tunajuana vizuri tangu kwenye magroup ya WhatsApp ya Forex.

Thus, grab your popcorn na ufurahie huu utani wa Mimi na huyu jamaa yangu engineer asie na akili.
Huwa sina kawaida ya kufurahia maanguko ya wengine na kufanya utani kwenye habari za depression na suicide.

Schadenfreude is not my thing.
 
kadoda11 tupe basi kazi tuliosoma kajamba nani kidumu ufagio tunawahi namba tulioweka miguu kwenye beseni ili tukeshe usiku,tulioshindia makande shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…