Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Kuna mmoja namjua ni wa miaka kati ya 2010 - 2015 jamaa anaingia toi na makaratasi ya daftariIla Mkuu Humble African ma T.O wengi wamefanikiwa ni wachache sana ambao hawajafanikiwa na kama wapo watakuwa ni wazembe wa hali ya juu na vile hawajapenda kujichanganya na watu (kama ulivyotanabaisha hapo juu kuwa baadhi huwa wanajisikia sana ambacho si kitu kizuri) in real life......
Niko na imani bwana CCNP Engineer atakuwa na maisha mazuri tu hapa atakuwa anakuja kuchora watu na kupotea kama member wengine wanavyofanya......