Umesema kweli bro, kakosea kufanya generalization.Mkuu ma TO gani unaowaongelea wewe wanaobet??
Maana mimi nina mfano wa ma TO ninaowajua wana maisha mazuri tu..
Ni kweli hawawezi kutoboa kuwa mawaziri au wakuu wa mikoa lakini pesa za kubadirisha magari na kujenga nyumba kali hawakosi..
Kwahio mkuu kama ulipata F F F isiwe sababu ya kuwachukia waliopata A A A maana hakuna aliyekutuma usisome ukafaulu kama wao
Yani mashetan ya mshana jr yananiambia kuna kira dalili za kiranga kununua ugomvi......Yani hapa tu ushasumbuka mara?
Na wewe ni kati ya wenye ugonjwa wa hao ma TO wa kuwaka bila sababu?
Kama wanajuana au hawajuani ni kitu tofauti.Mh hawa watu wanajuana lakin....
Kiranga hata asiponunua ugomvi, kanunua ugomvi kwa watakaomuona hajanunua ugomvi.Yani mashetan ya mshana jr yananiambia kuna kira dalili za kiranga kununua ugomvi......
Iliwahi kunitokea nikiwa nasoma O-level kuna mjuaji mmoja alikuwa anakuja na maneno magumu yasiyo hata na maana ili aonekane ni master wa lugha.we jamaa bana kwa mbwembwe...
hapo kwenye hilo neno ''schadenfreude'' ingetosha tu kama ungeandika kwa meneno common ya kingereza kama excitement au joy.
lakini ukaamua utafute neno ambalo sio common kwenye mazungumzo ya lugha ya kingereza ili tu uonekane unajua sana kingereza.smh
Kiranga kwann utan wa watu wengine wew una kuuma...?Kama wanajuana au hawajuani ni kitu tofauti.
Kama kumtukania mtu mama yake ni jambo la aibu katika jamii, haijalishi kwamba watu wanajuana au hawajuani, kumtukania mtu mama yake linakuwa jambo la aibu.
Tatizo, tumefanya jambo la suicide kuwa dogo sana, imekubalika kufanyiwa mzaha.
I could care less about who is mocking who.
My point is, suala la suicide limefanyiwa mzaha.
Ngoja mwal wangu wa HKL aje anifafanulie hapa....Kiranga hata asiponunua ugomvi, kanunua ugomvi kwa watakaomuona hajanunua ugomvi.
Hii aione Nyani Ngabuvijana mliosoma shule za kajambanani mnashida sana.
huu ujinga mnaojadili hapa hauwezi kuuta unajadiliwa na sisi kaka zenu tuliosoma international school of tanganyika au wadogo zetu waliosoma feza boys.
sisi tukikutana huwa tunapeana updates za investment na miradi mbalimbali tuliyoianzisha ambayo inalipa kodi serikalini na kutoa ajira kwa maelfu ya watanzania.
kati ya alumni wenzangu wa IST ni yusuf bakhresa na mohamed dewji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iliwahi kunitokea nikiwa nasoma O-level kuna mjuaji mmoja alikuwa anakuja na maneno magumu yasiyo hata na maana ili aonekane ni master wa lugha.
Namnukuu anasema "let me cundulaligates you" yeye anakwambia maana yake ni kama "let me advice you" Ahahaha!!
Mara utamsikia Kagonojasibility is tantamount...Ahahaha! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimefurahi umemshtukia mapema mpagani!
Ah ah ah ah Mi STD Vll nacheka tuuIliwahi kunitokea nikiwa nasoma O-level kuna mjuaji mmoja alikuwa anakuja na maneno magumu yasiyo hata na maana ili aonekane ni master wa lugha.
Namnukuu anasema "let me cundulaligates you" yeye anakwambia maana yake ni kama "let me advice you" Ahahaha!!
Mara utamsikia Kagonojasibility is tantamount...Ahahaha! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimefurahi umemshtukia mapema mpagani!
Wewe mzee nenda kule intelligence ukaandae nondo zako za kipagani tutakukuta huko...huku mavijana tumepinda tutakulaza na viatu kwa maneno ya shombo... Maana naona unarusha mapu.mbu tu bila utaratibu... Unajitekenya na kucheka mwenyewe.Yani hapa tu ushasumbuka mara?
Na wewe ni kati ya wenye ugonjwa wa hao ma TO wa kuwaka bila sababu?
kuna watu kwa kuandika kwake vile wanamuona ni bonge la genius.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ah ah ah ah Nimecheka sana aitheee
@Kirangakuna watu kwa kuandika kwake vile wanamuona ni bonge la genius.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe mzee nenda kule intelligence ukaandae nondo zako za kipagani tutakukuta huko...huku mavijana tumepinda tutakulaza na viatu kwa maneno ya shombo... Maana naona unarusha mapu.mbu tu bila utaratibu... Unajitekenya na kucheka mwenyewe.
Take a pill and chill....!
Nakuona unatafuta huruma ya hadhira.... Ahahaha!! Yaani wewe unavyo mmock God Leo ulidhani wote tunaenjoy lakini mbona tunakaaga kimya na kukuacha umalizane nae Leo Mimi kummock mtani wangu wewe imekuuma sana? Acha unafiki asiempenda Mungu asie muona hawezi kumpenda anaemuona.Kama wanajuana au hawajuani ni kitu tofauti.
Kama kumtukania mtu mama yake ni jambo la aibu katika jamii, haijalishi kwamba watu wanajuana au hawajuani, kumtukania mtu mama yake linakuwa jambo la aibu.
Tatizo, tumefanya jambo la suicide kuwa dogo sana, imekubalika kufanyiwa mzaha.
I could care less about who is mocking who.
My point is, suala la suicide limefanyiwa mzaha.
@ KirangaNakuona unatafuta huruma ya hadhira.... Ahahaha!! Yaani wewe unavyo mmock God Leo ulidhani wote tunaenjoy lakini mbona tunakaaga kimya na kukuacha umalizane nae Leo Mimi kummock mtani wangu wewe imekuuma sana? Acha unafiki asiempenda Mungu asie muona hawezi kumpenda anaemuona.
Go home kiranga you are drunk.
Ushaanza maphilosophy uonekane mjuaji...wewe jamaa nae ni wale wale complictors..! Utakuwa ulikuwa TO maana sio kwa hili povu kiranga.Kiranga hata asiponunua ugomvi, kanunua ugomvi kwa watakaomuona hajanunua ugomvi.
Duuuh yaanIliwahi kunitokea nikiwa nasoma O-level kuna mjuaji mmoja alikuwa anakuja na maneno magumu yasiyo hata na maana ili aonekane ni master wa lugha.
Namnukuu anasema "let me cundulaligates you" yeye anakwambia maana yake ni kama "let me advice you" Ahahaha!!
Mara utamsikia Kagonojasibility is tantamount...Ahahaha! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimefurahi umemshtukia mapema mpagani!
hawezi kuingia anga zangu hata ukimtag. ananikwepa kama vile kahaba anavyomkwepa mwanaume asiye na uwezo wa kumlipa pesa yake baada ya tendo.@Kiranga