Don Vito
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 1,342
- 2,105
Umesema kweli bro, kakosea kufanya generalization.Mkuu ma TO gani unaowaongelea wewe wanaobet??
Maana mimi nina mfano wa ma TO ninaowajua wana maisha mazuri tu..
Ni kweli hawawezi kutoboa kuwa mawaziri au wakuu wa mikoa lakini pesa za kubadirisha magari na kujenga nyumba kali hawakosi..
Kwahio mkuu kama ulipata F F F isiwe sababu ya kuwachukia waliopata A A A maana hakuna aliyekutuma usisome ukafaulu kama wao