Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Mkuu ma TO gani unaowaongelea wewe wanaobet??
Maana mimi nina mfano wa ma TO ninaowajua wana maisha mazuri tu..

Ni kweli hawawezi kutoboa kuwa mawaziri au wakuu wa mikoa lakini pesa za kubadirisha magari na kujenga nyumba kali hawakosi..

Kwahio mkuu kama ulipata F F F isiwe sababu ya kuwachukia waliopata A A A maana hakuna aliyekutuma usisome ukafaulu kama wao
Umesema kweli bro, kakosea kufanya generalization.
 
Mh hawa watu wanajuana lakin....
Kama wanajuana au hawajuani ni kitu tofauti.

Kama kumtukania mtu mama yake ni jambo la aibu katika jamii, haijalishi kwamba watu wanajuana au hawajuani, kumtukania mtu mama yake linakuwa jambo la aibu.

Tatizo, tumefanya jambo la suicide kuwa dogo sana, imekubalika kufanyiwa mzaha.

I could care less about who is mocking who.

My point is, suala la suicide limefanyiwa mzaha.
 
we jamaa bana kwa mbwembwe...

hapo kwenye hilo neno ''schadenfreude'' ingetosha tu kama ungeandika kwa meneno common ya kingereza kama excitement au joy.

lakini ukaamua utafute neno ambalo sio common kwenye mazungumzo ya lugha ya kingereza ili tu uonekane unajua sana kingereza.smh
Iliwahi kunitokea nikiwa nasoma O-level kuna mjuaji mmoja alikuwa anakuja na maneno magumu yasiyo hata na maana ili aonekane ni master wa lugha.

Namnukuu anasema "let me cundulaligates you" yeye anakwambia maana yake ni kama "let me advice you" Ahahaha!!

Mara utamsikia Kagonojasibility is tantamount...Ahahaha! [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nimefurahi umemshtukia mapema mpagani!
 
Kama wanajuana au hawajuani ni kitu tofauti.

Kama kumtukania mtu mama yake ni jambo la aibu katika jamii, haijalishi kwamba watu wanajuana au hawajuani, kumtukania mtu mama yake linakuwa jambo la aibu.

Tatizo, tumefanya jambo la suicide kuwa dogo sana, imekubalika kufanyiwa mzaha.

I could care less about who is mocking who.

My point is, suala la suicide limefanyiwa mzaha.
Kiranga kwann utan wa watu wengine wew una kuuma...?
 
vijana mliosoma shule za kajambanani mnashida sana.

huu ujinga mnaojadili hapa hauwezi kuuta unajadiliwa na sisi kaka zenu tuliosoma international school of tanganyika au wadogo zetu waliosoma feza boys.

sisi tukikutana huwa tunapeana updates za investment na miradi mbalimbali tuliyoianzisha ambayo inalipa kodi serikalini na kutoa ajira kwa maelfu ya watanzania.

kati ya alumni wenzangu wa IST ni yusuf bakhresa na mohamed dewji.
Hii aione Nyani Ngabu
 
Last edited:
Iliwahi kunitokea nikiwa nasoma O-level kuna mjuaji mmoja alikuwa anakuja na maneno magumu yasiyo hata na maana ili aonekane ni master wa lugha.

Namnukuu anasema "let me cundulaligates you" yeye anakwambia maana yake ni kama "let me advice you" Ahahaha!!

Mara utamsikia Kagonojasibility is tantamount...Ahahaha! [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nimefurahi umemshtukia mapema mpagani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Iliwahi kunitokea nikiwa nasoma O-level kuna mjuaji mmoja alikuwa anakuja na maneno magumu yasiyo hata na maana ili aonekane ni master wa lugha.

Namnukuu anasema "let me cundulaligates you" yeye anakwambia maana yake ni kama "let me advice you" Ahahaha!!

Mara utamsikia Kagonojasibility is tantamount...Ahahaha! [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nimefurahi umemshtukia mapema mpagani!
Ah ah ah ah Mi STD Vll nacheka tuu
 
Yani hapa tu ushasumbuka mara?

Na wewe ni kati ya wenye ugonjwa wa hao ma TO wa kuwaka bila sababu?
Wewe mzee nenda kule intelligence ukaandae nondo zako za kipagani tutakukuta huko...huku mavijana tumepinda tutakulaza na viatu kwa maneno ya shombo... Maana naona unarusha mapu.mbu tu bila utaratibu... Unajitekenya na kucheka mwenyewe.

Take a pill and chill....!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama wanajuana au hawajuani ni kitu tofauti.

Kama kumtukania mtu mama yake ni jambo la aibu katika jamii, haijalishi kwamba watu wanajuana au hawajuani, kumtukania mtu mama yake linakuwa jambo la aibu.

Tatizo, tumefanya jambo la suicide kuwa dogo sana, imekubalika kufanyiwa mzaha.

I could care less about who is mocking who.

My point is, suala la suicide limefanyiwa mzaha.
Nakuona unatafuta huruma ya hadhira.... Ahahaha!! Yaani wewe unavyo mmock God Leo ulidhani wote tunaenjoy lakini mbona tunakaaga kimya na kukuacha umalizane nae Leo Mimi kummock mtani wangu wewe imekuuma sana? Acha unafiki asiempenda Mungu asie muona hawezi kumpenda anaemuona.

Go home kiranga you are drunk.
 
@ Kiranga
 
Iliwahi kunitokea nikiwa nasoma O-level kuna mjuaji mmoja alikuwa anakuja na maneno magumu yasiyo hata na maana ili aonekane ni master wa lugha.

Namnukuu anasema "let me cundulaligates you" yeye anakwambia maana yake ni kama "let me advice you" Ahahaha!!

Mara utamsikia Kagonojasibility is tantamount...Ahahaha! [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nimefurahi umemshtukia mapema mpagani!
Duuuh yaan
 
Back
Top Bottom