Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Afu tuache kujilemaza, hivi tunavyoona hizi application mfano zenye billions of dolars in valuation, mfano: snapchat, whatsapp, facebook unadhan zimeundwa na watu ambao sio bright, ambao hawajui kitu kingine zaidi ya kusoma tu, tusijidanganye wakuu, bright minds ndo zinazoongoza kiteknolojia, na ndo wana maisha mazuri, bill gates ni very bright man, ile isikudanganye kudropout college kukakufanya ujione unapoteza mda shuleni, ana vision na alikua very good in coding programs, katoboa, kibongobongo mbona pia nna washkaji wawili nlisoma nao sekondari walikua very bright sahv wapo mbali sanaa, japo sio level za kina manji, au azam ila wapo vizuri sana na hadi nawakubali kwa hustle zao, so mtu hawez kunibadilisha mawazo, anayefeli kafeli kimpango wake ila aliye smart, bright anapenya popotee
 
Unaowajua wewe ni tofauti na naowajua mimi, wooote naowajua mimi wametoboa, sasa sijui utanikonvisi vipi nikubaliane na wewe wakati ninaowajua wanaishi fresh tuu km nyumba gari likizo za kikazi, hata kutembelea mbuga wanafanya hizo kitu,
Eti kutembelea mbuga we jamaa usinchekeshe bhana! Unajua kutembelea mbuga ni tshs elfu hamsini tu kwa Mbongo.. Kwa hiyo hii sio kigezo cha wao kuwa na maisha mazuri.

Wasomi sana wanapunguza tu ukali wa maisha wale walio soma kwa kadri ndio matycoon wakubwa mjini.
 
We bwana unaongelea mambo tofauti na mimi, mimi nakwambia mtu bright kichwani lazima atoboe kimaisha iwe isiwe, akifeli ni jitihada zake tu, na nna watu naowajua mimi ni wako vizuri sana kichwani na wapo vizuri kimaisha, sasa wewe kaa na concept zako hizo, unadhani huyo aliyesoma kwa kadri anasaidiwa na nani hizo mishe, lazima awe na best lawyers, best accountants, best board of directors, yeye anawategemea hawa ili wamfanyie kazi, bila kuwa na mkataba nao kazi haziendi, afanye yeye km anaweza
 
Afu tuache kujilemaza, hivi tunavyoona hizi application mfano zenye billions of dolars in valuation, mfano: snapchat, whatsapp, facebook unadhan zimeundwa na watu ambao sio bright, ambao hawajui kitu kingine zaidi ya kusoma tu, tusijidanganye wakuu, bright minds ndo zinazoongoza kiteknolojia, na ndo wana maisha mazuri, bill gates ni very bright man, ile isikudanganye kudropout college kukakufanya ujione unapoteza mda shuleni, ana vision na alikua very good in coding programs, katoboa, kibongobongo mbona pia nna washkaji wawili nlisoma nao sekondari walikua very bright sahv wapo mbali sanaa, japo sio level za kina manji, au azam ila wapo vizuri sana na hadi nawakubali kwa hustle zao, so mtu hawez kunibadilisha mawazo, anayefeli kafeli kimpango wake ila aliye smart, bright anapenya popotee
Mkuu kesho ukiandika uwe unaweka paragraph, unatuchosha kusoma kitu kilichokaa kama Hekaya... Ila nyie MaTO bhana...mnafurahisha sana.

Ukisoma hii makala yangu hapa Hii ndio sababu Magenius hawawezi kuwa matapeli itakupa uelewa mpana tofauti ndogo sana kati ya genius, intelligent and normal people then utaelewa kwanini huyu injinia destiny yake ni kubet tu na sio kingine.

Mater of fact, namtaka dogo mugalala hapa. [emoji23]
 
Mkuu kesho ukiandika uwe unaweka paragraph, unatuchosha kusoma kitu kilichokaa kama Hekaya... Ila nyie MaTO bhana...mnafurahisha sana.

Ukisoma hii makala yangu hapa Hii ndio sababu Magenius hawawezi kuwa matapeli itakupa uelewa mpana tofauti ndogo sana kati ya genius, intelligent and normal people then utaelewa kwanini huyu injinia destiny yake ni kubet tu na sio kingine.
Ah we kaa na idea zako mkuu, maana hamna utakachonibadilisha wala mimi sihitaji kukubadilisha mawazo yako, ndo uhuru wa fikra ulivyo mkuu, its cool
 
We bwana unaongelea mambo tofauti na mimi, mimi nakwambia mtu bright kichwani lazima atoboe kimaisha iwe isiwe, akifeli ni jitihada zake tu, na nna watu naowajua mimi ni wako vizuri sana kichwani na wapo vizuri kimaisha, sasa wewe kaa na concept zako hizo, unadhani huyo aliyesoma kwa kadri anasaidiwa na nani hizo mishe, lazima awe na best lawyers, best accountants, best board of directors, yeye anawategemea hawa ili wamfanyie kazi, bila kuwa na mkataba nao kazi haziendi, afanye yeye km anaweza
Hivi unajielewa kweli mkuu? Yaani mtu aajiriwe kama accountant, lawyer, doctor au engineer afu awe well off kiuchumi...huyo anapunguza ukali wa maisha kama Watanzania wengi wa kawaida waliofeli shule.

Kasome vitabu vitatu tu vya Robert Kiyosaki then utapata Jibu lako. Best students wanaopata A+ huwa wanaishia kuajiriwa serikalini au kwa watu binafsi ila wale wanaofeli huwa wanakuwa wanasiasa maana wamesoma art then wanawaongoza na kuwapangia mishahara wale waliokuwa wanapiga A Kali. Hadi Leo braza bashite hana gamba lakini wasomi wote na maprofesa wote wa Dar yeye ndio bosi wao. Diamond yeye ni form 4 tu ila maprof wote wanakaa. Elimu ya Manji ni tia maji....Bakharesa yeye ndio hata la saba hatuna uhakika kama alilimaliza lakini ndio amejaza wasomi anawaburuza kama mbwa kachoka.

Kwanza nitajie wasomi watano hapa bongo wenye uwezo wa kukaa miaka 20 bila kufanya kazi na wasitetereke...ukishindwa Mimi nakutajia form 4 wenye uhakika wa kukaa miaka 20 wasifanye kazi bila shida.

Wataje wako don't worry I'll wait!
 
Humble African usimsumbue injinia,subiri kwanza muamala usome best,asije akakosea no nikakosa mapene.
@amu wewe ni mwanamke mrembo mwenye natural beauty with brain... Kumpa nafasi huyu mjambaji wa kwenye dalaladala akutumie pesa ni hatari sana maana muamala unaweza kufika na harufu Kali sana ya ushuzi majnuni.[emoji23] [emoji23]

Kuna incident ilitokea juzi jamaa alijamba akamsingizia mtoto....tukakataa!! Ule ushuzi sio wa mtoto...sasa sijui ni huyu injinia majalala maana ilikuwa kwenye daladala... amu please Ruuuuuun!

You deserve something good in your life swry lady amu sio ushuzi.
Screenshot_2018-07-31-03-30-36.jpg
 
@amu wewe ni mwanamke mrembo mwenye natural beauty with brain... Kumpa nafasi huyu mjambaji wa kwenye dalaladala akutumie pesa ni hatari sana maana muamala unaweza kufika na harufu Kali sana ya ushuzi majnuni.[emoji23] [emoji23]

Kuna incident ilitokea juzi jamaa alijamba akamsingizia mtoto....tukakataa!! Ule ushuzi sio wa mtoto...sasa sijui ni huyu injinia majalala maana ilikuwa kwenye daladala... amu please Ruuuuuun!

You deserve something good in your life swry lady amu sio ushuzi.View attachment 823836
[emoji3][emoji3][emoji3] dah mkuu huu utani wa ngumi
 
Hivi unajielewa kweli mkuu? Yaani mtu aajiriwe kama accountant, lawyer, doctor au engineer afu awe well off kiuchumi...huyo anapunguza ukali wa maisha kama Watanzania wengi wa kawaida waliofeli shule.

Kasome vitabu vitatu tu vya Robert Kiyosaki then utapata Jibu lako. Best students wanaopata A+ huwa wanaishia kuajiriwa serikalini au kwa watu binafsi ila wale wanaofeli huwa wanakuwa wanasiasa maana wamesoma art then wanawaongoza na kuwapangia mishahara wale waliokuwa wanapiga A Kali. Hadi Leo braza bashite hana gamba lakini wasomi wote na maprofesa wote wa Dar yeye ndio bosi wao. Diamond yeye ni form 4 tu ila maprof wote wanakaa. Elimu ya Manji ni tia maji....Bakharesa yeye ndio hata la saba hatuna uhakika kama alilimaliza lakini ndio amejaza wasomi anawaburuza kama mbwa kachoka.

Kwanza nitajie wasomi watano hapa bongo wenye uwezo wa kukaa miaka 20 bila kufanya kazi na wasitetereke...ukishindwa Mimi nakutajia form 4 wenye uhakika wa kukaa miaka 20 wasifanye kazi bila shida.

Wataje wako don't worry I'll wait!
Unanichosha tuu mkuu, peace.
 
[emoji23] [emoji23] nikimaliza kukuchosa nakukera kwa facts in issue za kisomi.

You guys make me feel like highly intelligent and king of this kagonokasibility. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mwingine nani aje?
Jibu kwa facts, hao uliowataja, akina diamond, manji na bakhresa, wanaongozwa na nani, kifedha
 
[emoji3][emoji3][emoji3] dah mkuu huu utani wa ngumi
Amini usiamini mkuu! Huwa nikifukua makaburi ya huyu jamaa yangu CCNP Engineer huwa nacheeeka sana..! Fikiria mtu anajamba hovyo hovyo kwenye daladala afu ndio TO!? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

He is as dumb as jellyfish!
 
Back
Top Bottom