Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,397
Afu tuache kujilemaza, hivi tunavyoona hizi application mfano zenye billions of dolars in valuation, mfano: snapchat, whatsapp, facebook unadhan zimeundwa na watu ambao sio bright, ambao hawajui kitu kingine zaidi ya kusoma tu, tusijidanganye wakuu, bright minds ndo zinazoongoza kiteknolojia, na ndo wana maisha mazuri, bill gates ni very bright man, ile isikudanganye kudropout college kukakufanya ujione unapoteza mda shuleni, ana vision na alikua very good in coding programs, katoboa, kibongobongo mbona pia nna washkaji wawili nlisoma nao sekondari walikua very bright sahv wapo mbali sanaa, japo sio level za kina manji, au azam ila wapo vizuri sana na hadi nawakubali kwa hustle zao, so mtu hawez kunibadilisha mawazo, anayefeli kafeli kimpango wake ila aliye smart, bright anapenya popotee