Sababu za kwanini now days hauwezi kuokota pesa kama zamani

Street brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2022
Posts
681
Reaction score
923
Mifaano batiri, uwezi okota pesa Kwa miaka yetu hii, nasababu sa7 za kuerezea, mwaka 1760 BARTER: ilikuwa Biashara ya mabadilishano example unang'ombe lakini unahitaji mahindi mnakubaliana mnabadilishana, (2) mwaka 1860 GOLD: wakagundua dhahabu wakawa wanaieyusha Na kutengeneza mapambo mbali mbali ikaperekea kuwa Na Thaman kubwa ikawa ina nunua vitu vyote yaan ikaw ndo kama pesa, 3 METALL mwaka 1940 wa katengeneza coin ya fedha ya Chuma alimarufu sarafu, Kwa wafanya Biashara wa miaka hiyo ikawa taabu kuzibeba maana zilikuwa nzito hata namna ya uwekaji ilikuw changamoto kwao wengi waliishia kuzipoteza, 4 PAPER MONEY, mwaka 1950 wakaleta fedha za karatasi maana zenyew zina bebeka kiurahis bila changamoto yyte, lakini uvamizi ukakisiri Kwa wafanya Biashara kufatwa majumbani Na kuporwa pesa Amani ikatoweka mpaka wengine wakawa wanazifukia chini ya aridhi huku wengine wakisahau waliko zifukia, 5 mwaka 1970 plastic card zikaingia bank sehem mbali mbali ulimwanguni ili wafanya Biashara wasiwe Na hofu Tena ya kuvamiwa, moja ya wavamizi kupunguziwa kasi ya kuvamia, 6 mwaka 1990 ikaletwa ELECTRONIC MONEY, mfaano makampuni ya simu kuleta mfumo wa kutoa pesa Na kuweka pesa, kutoka bank kwenda kweny simu au kotoka kweny simu kwenda bank, hii ikasababisha majambazi Na vibaka kulala njaa Na kusema bunduki mzigo Siraha hakili, 7 mwaka 2010 santosh mtu asiejulikana akatengeneza ulimwengu mwingine wa BLOCKCHAIN ambayo ndani yake Kuna vitu vingi kama vilivyoopo hapa duniani, Na Manisha Kuna fedha za kidigital example bitcoin, Riple, litecoin, Ethereum, Binance, p.i n.k hii technology ndo italeta mapinduzi "REVOLUTION" makubwa Na kuitawara Dunia Na watu wake, ikiwemo artificial intelligence AI, kama kunamtu anapingana Na hoja yangu alete mdahalo mezani Ahsanteni Kwa muda wenu🙏🙏
 
sio kwamba hauwezi kuokota fedha ni kwamba njia za ukwapuaji,upataji fedha zinabadirika kutokana na namna zinavyohifadhiwa. kwa njia ya ki digitali uliyoainisha watu wapo wana hack akaunti na mifumo na wanatengeneza fedha nyingi tu, baadhi ya makampuni au watu wakiwa hacked hutoa taarifa na nyengine huwa hawatoi kwasababu wanazozijua wao.. tena ukija ukifuatilia mfumo huu wa digital kuna fedha hutengenezwa effortless kutokana na mifumo lakini inalindwa sana tena sana maana nchi inaweza ikafa kiuchumi kisa hizi electronic money ama digital, so ni system zinazohitaji uyakinifu mno japo naelewa baadhi ya serikali huunda pesa effortless lakini kwa mahesabu na kwa siri mno.
 
Watu wanaokota kama kawaida.

Nilipoteza tembo watatu ,misimbazi mitatu ,mashuka matatu ya mmasai.

1782626140376.png
 
Mifaano batiri, uwezi okota pesa Kwa miaka yetu hii, nasababu sa7 za kuerezea, mwaka 1760 BARTER: ilikuwa Biashara ya mabadilishano example unang'ombe lakini unahitaji mahindi mnakubaliana mnabadilishana, (2) mwaka 1860 GOLD: wakagundua dhahabu wakawa wanaieyusha Na kutengeneza mapambo mbali mbali ikaperekea kuwa Na Thaman kubwa ikawa ina nunua vitu vyote yaan ikaw ndo kama pesa, 3 METALL mwaka 1940 wa katengeneza coin ya fedha ya Chuma alimarufu sarafu, Kwa wafanya Biashara wa miaka hiyo ikawa taabu kuzibeba maana zilikuwa nzito hata namna ya uwekaji ilikuw changamoto kwao wengi waliishia kuzipoteza, 4 PAPER MONEY, mwaka 1950 wakaleta fedha za karatasi maana zenyew zina bebeka kiurahis bila changamoto yyte, lakini uvamizi ukakisiri Kwa wafanya Biashara kufatwa majumbani Na kuporwa pesa Amani ikatoweka mpaka wengine wakawa wanazifukia chini ya aridhi huku wengine wakisahau waliko zifukia, 5 mwaka 1970 plastic card zikaingia bank sehem mbali mbali ulimwanguni ili wafanya Biashara wasiwe Na hofu Tena ya kuvamiwa, moja ya wavamizi kupunguziwa kasi ya kuvamia, 6 mwaka 1990 ikaletwa ELECTRONIC MONEY, mfaano makampuni ya simu kuleta mfumo wa kutoa pesa Na kuweka pesa, kutoka bank kwenda kweny simu au kotoka kweny simu kwenda bank, hii ikasababisha majambazi Na vibaka kulala njaa Na kusema bunduki mzigo Siraha hakili, 7 mwaka 2010 santosh mtu asiejulikana akatengeneza ulimwengu mwingine wa BLOCKCHAIN ambayo ndani yake Kuna vitu vingi kama vilivyoopo hapa duniani, Na Manisha Kuna fedha za kidigital example bitcoin, Riple, litecoin, Ethereum, Binance, p.i n.k hii technology ndo italeta mapinduzi "REVOLUTION" makubwa Na kuitawara Dunia Na watu wake, ikiwemo artificial intelligence AI, kama kunamtu anapingana Na hoja yangu alete mdahalo mezani Ahsanteni Kwa muda wenu🙏🙏
Juzi nimeokota mara 2 na Huwa naokota mara nyingi sema kiwango ndio kidogo,kuokota ten sio mchezo
 
Mfumo wa uhifadhi umebadilika kipindi cha nyuma watu wengi walikuwa wanatembea na pesa kienyeji na hovyo

Sasa mambo yamebadilika uhifadhi upo kidigitali zaidi 👇
👉Mpesa simbanking na kwingineko huko labda ukosee kutuma muamala napo ukiwah unarudi
 
Dunia imehamia online, watu siku hizi wanaokota pesa online wakitumiwa kimakosa na watumaji wasio makini.

Mizunguko ya pesa imehamia mtandaoni, watu wanatafuta pesa mtandaoni [content creators & sales] ndio maana wanadondoshea pesa huko huko.
 
Ni yakwangu hiyo,
Tafadhali naomba unirudishie,
nilikua naenda Dukani kuwanunulia watoto unga japo wapoze njaa kwa kunywa Uji.
Hata me nilitamani ningemjua mwenyewe maskini itakuwa aliitafuta huko alipofika, nimeskitika lkn sa sikuwa na cha kufanya kumpata mwenyewe..
We waishi wapi huko! Mie pesa nimeiokota michenzani mwembe kisonge...ha ha haaaaa
 
Back
Top Bottom