Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Me kuna siku niliokota dollar 50. Na kuna siku chini ya desk langu kazini niliokota dollar 100Juzi nimeokota mara 2 na Huwa naokota mara nyingi sema kiwango ndio kidogo,kuokota ten sio mchezo