Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Ficha upumbavu wako we dada...
Unhemuelimisha ingekuwa bora kuliko ulivyomdhalilisha,kwa maana haijamsaidia
Ficha upumbavu wako we dada...
KMKM=Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magendo siyo Jeshi!!Ni jeshi la kuzuia magendo
Hapo ndipo penye utataNilikuwa sijui, kumbe Zanzibar wana Jeshi lao!!
Una maana ulinzi sio suala la muungano ukisema jeshi unamaanisha defence command au wewe unaijua Zanzibar ipi mkuuHilo ndiyo tatizo ketu la kujifanya wajuvi wa kuijua ZNZ kumbe hata hamna idea... ZNZ ina vikosi vyake na viko for decades