Sababu za Msingi kwanini Bomba la mafuta Uganda lipite Bandari ya Tanga

Sababu za Msingi kwanini Bomba la mafuta Uganda lipite Bandari ya Tanga

Angalau sasa unaanza kuongea kitu, unaweza kufanya refference ya hiyo 14usd per barrel, nammanisha umepata wapi hiyo source. Halafu pato la Tanzania sio Trilion 4.

Mkuu inabidi uelewe kuwa tozo ya kupitisha pipa moja kwa katika ardhi ya nchi nyingine ni $14 na Uganda inapitisha mapipa 200,000 kwa siku maana yake kwa mwaka serikali inaingiza zaidi ya Trillioni 2, na hio ni fedha ya kigeni kwa haraka haraka ni US Dollars.
Pia ukumbuke pato la ndani kwa mwaka kwa serikali kwa sasa ni almost Trillioni 4 maana yake pato la ndani litakua limeongezeka kwa 50%, sasa hapo huoni hio faida??

Kumbuka pia kama tukipwa dollar hizo maana yake shillingi ya Tanzania dhidi ya Dollar ya mmarekani itaimarika sana na hivyo kutupa advantage katika maununuzi ya nje.

Kiuchumi hii kitu ina faida sana.
 
Angalau sasa unaanza kuongea kitu, unaweza kufanya refference ya hiyo 14usd per barrel, nammanisha umepata wapi hiyo source. Halafu pato la Tanzania sio Trilion 4.
Nimeongelea pato la ndani mkuu, mana yake kodi za ndani na ushuru wa sigara na makato ya mishahara na fujo zote tunazofanyiwa fanyiwa humu ndani
 
Hilo ndiyo tatizo ketu la kujifanya wajuvi wa kuijua ZNZ kumbe hata hamna idea... ZNZ ina vikosi vyake na viko for decades
Hatuzungumzii vikosi bali tulikuwa tunazungumzia Jeshi!! Ulitakiwa kwanza ujue kinachojadiliwa kabla ya kuchangia. Yaani mimi kwa mfano nisijue kwamba Zanzibar kuna KMKM, Valantia (Volunteers) na siku hizi wameongezeka na Mazombie!?
 
Nimeongelea pato la ndani mkuu, mana yake kodi za ndani na ushuru wa sigara na makato ya mishahara na fujo zote tunazofanyiwa fanyiwa humu ndani
Bado ni zaidi ya hapo, kama ulimaanisha Domestic revenue, kwa mwezi tu karibia 1.5Tril. Refe (Wazir wa Fedha)Kama ulimaanisha GDP ni karibu Trilion 100. (IMF)
 
hili Bomba ni kichocheo cha uchumi katika kila sehemu litakapopita. ulinzi utaimalika, watu watapata hajira takribani ajira elfu kumi na Tano lakini pia bandari yetu ya Tanga itakusanya mapato mengi arafu kutajengwa viwanda vya refinaries kwa ajiri ya kusafisha mafuta hivyo ni faida nyingi sana watanzania watanufaika na bomba hili.
 
Hatuzungumzii vikosi bali tulikuwa tunazungumzia Jeshi!! Ulitakiwa kwanza ujue kinachojadiliwa kabla ya kuchangia. Yaani mimi kwa mfano nisijue kwamba Zanzibar kuna KMKM, Valantia (Volunteers) na siku hizi wameongezeka na Mazombie!?
Basi tunakuomba sana ujadili mada, upuuzi wa siasa bakini nao huko ufipa na lumumba...

Yani yote yaliyoandikwa hapa umeona ukomalie hapo kwenye jeshi?? Mpuuzi wahed
 
Hatuzungumzii vikosi bali tulikuwa tunazungumzia Jeshi!! Ulitakiwa kwanza ujue kinachojadiliwa kabla ya kuchangia. Yaani mimi kwa mfano nisijue kwamba Zanzibar kuna KMKM, Valantia (Volunteers) na siku hizi wameongezeka na Mazombie!?
Hivi unajua majukumu ya KMKM na hivi unajua ya kuwa KMKM wa rada yao na ambayo haina uhusiano kabisa na ya Jeshi la TZ? na hivi unajua ya kuwa KMKM wana manuwari pia?
 
Na chekingi liko pia JKU maana yake ni Jeshi la kujenga Uchumi ni sawa na Jeshi la kujenga Taifa la Mainland
 
Kuna watu wanafurahisha sana, kwamba watu wapitishe bomba wapige export za hatari halaf nyie wawalipe port charges, na mulipe walinzi wenu, mseme mmecreate ajira. Yan hapa japokuwa cjui makubaliano ya jumuiya ya Africa mashariki kuhusu bandari, lakin ilibidi angalau tupate hata 1 or 2% per barrel halaf upuuz mwingine wote watuachie, sio fixed price manake bei za mafuta zinabadilika kila cku.
 
Na chekingi liko pia JKU maana yake ni Jeshi la kujenga Uchumi ni sawa na Jeshi la kujenga Taifa la Mainland
Nakubaliana na wewe kuhusu KMKM lakini siyo jeshi ni vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar!!
 
Swala sio technical analysis kwa nin bomba lipite kwetu,issue ni economic benefit gani tutapata kama nchi? hii issue imebebewa bango sana sasa cjui ni kusahaulisha watu mambo ya zanzibar au kuna ukweli wowote.
Tanzania italipwa ushuru wa UD$14 kwa pipa, kwa siku yatapitishwa mapipa laki mbili hivyo kwa mwaka Tanzania itavuna US$ bilioni moja, kumbuka mauzo ya nje ya Tanzania ni US$ bilioni tano, hivyo itaongeza mapato yetu ya kigeni kwa 25% na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati.

Tanzania kutoka katika nchi masikini na kuwa nchi za uchumi wa kati itakopesheka kiurahisi badala ya sasa inapewa misaada kiduchu kama msaada wa vyandarua na dawa za kuua kunguni. Pia kitakuwa kichocheo cha biashara zaidi kumbuka Tayari serikali imetoa offer ya bandari kuwa maalumu kwa mizigo ya Uganda na upo uwezekano wa kutumika hadi sudan ya kusini.
 
Kuna watu wanafurahisha sana, kwamba watu wapitishe bomba wapige export za hatari halaf nyie wawalipe port charges, na mulipe walinzi wenu, mseme mmecreate ajira. Yan hapa japokuwa cjui makubaliano ya jumuiya ya Africa mashariki kuhusu bandari, lakin ilibidi angalau tupate hata 1 or 2% per barrel halaf upuuz mwingine wote watuachie, sio fixed price manake bei za mafuta zinabadilika kila cku.
Kwahiyo watu wanatoana jasho kwa mradi ambao hautatulipa?? Wakenya mpaka wanashusha propaganda kibao na kutuma mashushushu kwa mradi ambao hauna faida yeyote??? Duuuhh angefanya Lowassa au Ukawa haya yangesifiwa..
 
Angalau sasa unaanza kuongea kitu, unaweza kufanya refference ya hiyo 14usd per barrel, nammanisha umepata wapi hiyo source. Halafu pato la Tanzania sio Trilion 4.
Naongelea Exports sio GDP mkuu, ndio maana watu hawalali kuna ulaji mkuu, na hivi yule fisadi keshatupwa nje ya system hizi pesa hazitaishia uswis zitawanaufaisha watanzania wote.
 
Ndo uniambie ww sasa, nachojua mm Uganda ni land locked kwa vyovyote lazima atumie Kenya au Tanzania kufanya export zake, usiniambie vitu vidogo vidogo nataka nijue faida kubwa na risk za sis kukubali kufacilitate potential export za Uganda
Mkuu, kuna trip down effect chungu mzima, na buckward linkage za kutosha labda tuanzishe topic nyingine ya kukuelewesha faida ya huu mradi ila najua wakenya wanaweza wakafa kwa kihoro.
 
Back
Top Bottom