Sababu za Msingi kwanini Bomba la mafuta Uganda lipite Bandari ya Tanga

Hongera sana Professor Muhongo, Dr. James Mataragio na timu yako kwa kulitetea taifa na nimepenyezewa ubuyu kuwa mambo sasa safi, Bomba ni confirmed linapita Tanga.

Miongoni mwa hoja mlizozijenga kwa mama Irene Muloni na msafara wake kutembelea bandari ya Tanga ya kwa nini wajenge bomba lao kupitia Tanzania na si Kenya ni hzi.

1. kina cha bandari ya Tanga kina urefu wa zaidi ya mita 40 wakati meli za mafuta zinahitaji mita 18 hivyo kuwa bandari salama zaidi kwa meli za mafuta. tofauti na Lamu ambapo kina chake ni kifupi mno, hivyo inabidi kuongeza kina kwa kuchimba zaidi.

2. Bandari la Lamu ina mawimbi makubwa mno, kutokana na kutokuwa na visiwa vya pembezoni mwake vinavyopakana nayo, upepo toka bahari za mbali unavuma moja kwa moja mpka bandarini, sio salama kwa meli ya mafuta ukilinganisha na bandari ya Tanga iliyoko katikati ya visiwa vya Pemba na Unguja hivyo haina mawimbi makubwa na kuwa salama zaidi kwa meli za mafuta ambazo huhitaji utulivu wa hali ya juu wakati wa kupakia shehena yake ya mafuta kwani huchukua siku nyingi sana kupakia mzigo na inahitaji utulivu sana.

3. Bandari ya Lamu iko mpakani na Somalia hivyo nirahisi kwa meli za mafuta kutekwa na maharamia ya kisomali wakati Tanga ipo katikati ya Zanzibar na Bara hivyo kuna doria za jeshi la Tanzania na vikosi vya Zanzibar hivyo sio rahisi kuvamiwa na maharamia.

4. Tanga tayari kuna miundombinu ya mafuta tofauti na Lamu inabidi ijengwe. Pia vifaa vya ujenzi vitashuka Tanga na kwenda site moja kwa moja ,tofauti na Kenya vifaa itabidi viteremshwe mombasa na kusombwa kwa maroli kwenda site.

5. Tanzania imetoa ofa ya kutenga bandari ya Tanga kuwa mahususi kwa mizigo ya Uganda na tayari kuna miundombinu ya reli na barabara ambapo Lamu hakuna reli wala barabara ya kwenda huko.

Maelezo haya yaliwaridhisha na Irene Musoni na team yake wameahidi kutuma wataalamu baada ya wiki mbili kukagua njia zitakazotumiwa kupita bomba la mafuta.

Naona katoa muda wa kwenda kumueleza Uhuru kuwa dili limebuma.

>>Much Respect kwako Mukulu kwa "kichwa ngumu" hakuna ile mambo ya kuwa soft soft, ume prove kwa watanzania kuwa wewe ni Ngosha kweli
>>Much respect kwako Silent Killer Professor Muhongo kwa umafia kwa kimya kimya ulioufanya, umelibeba taifa.
>>Much respect kwako balozi Mahiga kwa Economic Diplomacy na Intelligence iliyotukuka.
>>Much Repect kwako Mataragio kwa agressiveness yako kuu kwa hawa manyang'au.
NB:

Nachowaomba serikali yangu sikivu ni kuona namna ya ku-mjoin South Sudan katika bandari ya Tanga awe na ka-portion kake pale maana itamuhakikishia fursa ya kupunguza hustling anazopata kwa sasa, hasa ukizingatia Mkenya hanaga jema kwa mtu zaidi ya kuangalia maslahi yake.
Lakini pia mpige hatua mbele zaidi ya kuangalia namna ya kumuamsha Mganda katika usingizi mzito alio nao wa namna ya kuichangamkia South Sudan ili iwe partner wake kiuchumi kwa kupitisha bomba lake la mafuta Uganda kuja Tanga maana hio itamuongezea mapato Uganda pia tofauti akizubaa bomba likapitia Kenya, Uganda hatapata hata mia
Profesa Muhongo ambaye jamvini humu alikashifiwa sana kwenye tuhuma za escrow na sisi ambao tulikuwa tunelezea kuwa huyu bwana anapigwa vita na vigogo waliotaka kupewa vitalu kwa bei chee[eti kwa vile ni wazawa] ili waviweke mnadani] akawawekea ngumu] tulikuwa tunaonekana vikaragosi wa ccm na kutokana na ushabiki uliokuwepo hakuna aliyeamini lakini sasa ni almasi tunayoringia- VERY FUNNY
 
  1. Waingereza wanasema "don't count your chickens before they are hatched ". Wengi hapa wanakokotoa na kupanga mapato kana kwamba tumeshawekeana mkataba na Uganda. Kuna uwezekano kwamba bomba litapita kwetu , lakini linaweza bado lisipite kwetu. Uhuru could make Uganda an offer they can't refuse.
  2. Yapo madhara ya mazingira yanayoweza kuletwa na bomba la mafuta. Factor that in. Don't look at the benefit only, consider costs - environmental damage in this case - also.
  3. Kuna uzi humu jukwaani unasema bomba la gesi lilitumia gharama kubwa sana per kilometer, ukilinganisha na ujenzi uliofanyika nchi nyingine kama Pakistani. Sasa si watu walewale wamo kwenye huu mradi wa sasa? Kama wana asili ya kudai asilimia 10 si wataendelea kufanya hivyo?
Hilo bomba halijengwi na serikali ya Tanzania... Ni total ndio wanatoa pesa yote ya kujenga hilo bomba na wala sio mkopo kwamba tutawalipa Total...

Unasemea kuhusu madhara, Tuna bomba la TAZAMA lipo tangia miaka ya 70 mpaka sasa, kuna madhara gani ya kimazingira yametokea??

Uhuru anaweza akatoa ofa nzuri, ni sawa, ila Total kama mbia mkuu wa mafuta ya Mganda hataki kujenga kule sababu za usalama.. Ndio maana hili dili la kujenga Kenya lilisuasua kwa karibia mwaka mzima...
 
Swala sio technical analysis kwa nin bomba lipite kwetu,issue ni economic benefit gani tutapata kama nchi? hii issue imebebewa bango sana sasa cjui ni kusahaulisha watu mambo ya zanzibar au kuna ukweli wowote.
Hivi wewe ni mbumbu kiasi hicho? huoni benefits? hebu piga bongo kidogo na utapata jibu. unataka utafutiwe, upikiwe na ulishwe??????
 
Profesa Muhongo ambaye jamvini humu alikashifiwa sana kwenye tuhuma za escrow na sisi ambao tulikuwa tunelezea kuwa huyu bwana anapigwa vita na vigogo waliotaka kupewa vitalu kwa bei chee[eti kwa vile ni wazawa] ili waviweke mnadani] akawawekea ngumu] tulikuwa tunaonekana vikaragosi wa ccm na kutokana na ushabiki uliokuwepo hakuna aliyeamini lakini sasa ni almasi tunayoringia- VERY FUNNY
And funny enough mwenyewe juzi karekebisha kauli yake pale Magufuli alipofungua ile mitambo ya Kinyerezi.. Alisema "wamejitokeza wawekezaji wengine ambao watashiriki kuvuna gesi na kujenga plant kule Mtwara na Lindi, na wawekezaji hao ni WAZAWA"

Neno WAZAWA limetamkwa kizalendo kabisa na Prof Muhongo kwa mara ya kwanza kabisa... Tunajua sana Muhongo alitumwa tu kuwahadaa wawekezaji wa ndani na yule lofa mkuu wa msoga ili gesi aibe na wachina aliowaleta
 
Kwa jinsi bandari ya Tanga inavyokosa watumiaji, hakuna namna tutaacha huu mradi utukimbie. Hii ni MUST. Kwa kweli miaka mitano ijayo nchi yetu itaheshimika. Kuna ajira za moja kwa moja, kuna upanuzi wa bandari na kuna port charges kwa meli zitakazokuja kupakia mafuta. Pipa laki mbili kwa siku. Lakini pia miundombinu hiyo itaifanya bandari ya Tanga kurudi kwenye chati na ni wakati muafaka kurudisha reli ya Tanga to Arusha
 
Hongera sana Professor Muhongo, Dr. James Mataragio na timu yako kwa kulitetea taifa na nimepenyezewa ubuyu kuwa mambo sasa safi, Bomba ni confirmed linapita Tanga.

Miongoni mwa hoja mlizozijenga kwa mama Irene Muloni na msafara wake kutembelea bandari ya Tanga ya kwa nini wajenge bomba lao kupitia Tanzania na si Kenya ni hzi.

1. kina cha bandari ya Tanga kina urefu wa zaidi ya mita 40 wakati meli za mafuta zinahitaji mita 18 hivyo kuwa bandari salama zaidi kwa meli za mafuta. tofauti na Lamu ambapo kina chake ni kifupi mno, hivyo inabidi kuongeza kina kwa kuchimba zaidi.

2. Bandari la Lamu ina mawimbi makubwa mno, kutokana na kutokuwa na visiwa vya pembezoni mwake vinavyopakana nayo, upepo toka bahari za mbali unavuma moja kwa moja mpka bandarini, sio salama kwa meli ya mafuta ukilinganisha na bandari ya Tanga iliyoko katikati ya visiwa vya Pemba na Unguja hivyo haina mawimbi makubwa na kuwa salama zaidi kwa meli za mafuta ambazo huhitaji utulivu wa hali ya juu wakati wa kupakia shehena yake ya mafuta kwani huchukua siku nyingi sana kupakia mzigo na inahitaji utulivu sana.

3. Bandari ya Lamu iko mpakani na Somalia hivyo nirahisi kwa meli za mafuta kutekwa na maharamia ya kisomali wakati Tanga ipo katikati ya Zanzibar na Bara hivyo kuna doria za jeshi la Tanzania na vikosi vya Zanzibar hivyo sio rahisi kuvamiwa na maharamia.

4. Tanga tayari kuna miundombinu ya mafuta tofauti na Lamu inabidi ijengwe. Pia vifaa vya ujenzi vitashuka Tanga na kwenda site moja kwa moja ,tofauti na Kenya vifaa itabidi viteremshwe mombasa na kusombwa kwa maroli kwenda site.

5. Tanzania imetoa ofa ya kutenga bandari ya Tanga kuwa mahususi kwa mizigo ya Uganda na tayari kuna miundombinu ya reli na barabara ambapo Lamu hakuna reli wala barabara ya kwenda huko.

Maelezo haya yaliwaridhisha na Irene Musoni na team yake wameahidi kutuma wataalamu baada ya wiki mbili kukagua njia zitakazotumiwa kupita bomba la mafuta.

Naona katoa muda wa kwenda kumueleza Uhuru kuwa dili limebuma.

>>Much Respect kwako Mukulu kwa "kichwa ngumu" hakuna ile mambo ya kuwa soft soft, ume prove kwa watanzania kuwa wewe ni Ngosha kweli
>>Much respect kwako Silent Killer Professor Muhongo kwa umafia kwa kimya kimya ulioufanya, umelibeba taifa.
>>Much respect kwako balozi Mahiga kwa Economic Diplomacy na Intelligence iliyotukuka.
>>Much Repect kwako Mataragio kwa agressiveness yako kuu kwa hawa manyang'au.
NB:

Nachowaomba serikali yangu sikivu ni kuona namna ya ku-mjoin South Sudan katika bandari ya Tanga awe na ka-portion kake pale maana itamuhakikishia fursa ya kupunguza hustling anazopata kwa sasa, hasa ukizingatia Mkenya hanaga jema kwa mtu zaidi ya kuangalia maslahi yake.
Lakini pia mpige hatua mbele zaidi ya kuangalia namna ya kumuamsha Mganda katika usingizi mzito alio nao wa namna ya kuichangamkia South Sudan ili iwe partner wake kiuchumi kwa kupitisha bomba lake la mafuta Uganda kuja Tanga maana hio itamuongezea mapato Uganda pia tofauti akizubaa bomba likapitia Kenya, Uganda hatapata hata mia
Kuna kitu ambacho hakuna anayekizungumza.
Kwa miaka mingi kenya imekuwa na tabia ya kuadhibu jirani zake kwa kuwakosesha huduma kutokana na tofauti za kisiasa. Kenya imeisha ifanyia uganda mchezo huo mara nyingi tu kwa kufunga bomba la mafuta litokalo mombasa kwenda huko kwa tofauti ndogo tu na ninaamini uganda bado wanakumbuka hilo na ndiyo maana wanatafuta alternative option ya reli toka tanga na sasa hayo mafuta ghafi.
Uganda does not to be taken for ransom
 
And funny enough mwenyewe juzi karekebisha kauli yake pale Magufuli alipofungua ile mitambo ya Kinyerezi.. Alisema "wamejitokeza wawekezaji wengine ambao watashiriki kuvuna gesi na kujenga plant kule Mtwara na Lindi, na wawekezaji hao ni WAZAWA"

Neno WAZAWA limetamkwa kizalendo kabisa na Prof Muhongo kwa mara ya kwanza kabisa... Tunajua sana Muhongo alitumwa tu kuwahadaa wawekezaji wa ndani na yule lofa mkuu wa msoga ili gesi aibe na wachina aliowaleta
Ujengaji wa mitambo ya kufuliwa umeme utokanao na gesi na kupewa vitalu ni vitu viwili tofauti
 
Tanzania as a country has to go one step ahead....And that is to build refinery plant..apo tutakua tumeua ndege wawili kwa wakati mmoja
 
Ujengaji wa mitambo ya kufuliwa umeme utokanao na gesi na kupewa vitalu ni vitu viwili tofauti
Magufuli na TPSF walishakubaliana kushirikiana kwenye umiliki wa vitalu...

Kama kuna ambavyo yule lofa wa msoga alitaka kujimilikisha imeshakula kwake..

Huyu JPM amehaidiana kufanya kazi na Private Sector na sio Manyang'au wa Ulaya na Asia..
 
Kuna watu wanafurahisha sana, kwamba watu wapitishe bomba wapige export za hatari halaf nyie wawalipe port charges, na mulipe walinzi wenu, mseme mmecreate ajira. Yan hapa japokuwa cjui makubaliano ya jumuiya ya Africa mashariki kuhusu bandari, lakin ilibidi angalau tupate hata 1 or 2% per barrel halaf upuuz mwingine wote watuachie, sio fixed price manake bei za mafuta zinabadilika kila cku.
Acha uzumbe kuku fala wewe.ina maana huoni wakenya hawalali wanamshawishi museven arejee makubaliano ya mwanzo?kuna faida nyingi sana kama bomba litapialta Tanzania kwa upande wa Tanzania mf tayar tunauhakika hata kama tutapata mafuta kidogo upande wa lake Tanganyika na maeneo ya kaskazin kusafirishia mafuta.na pia pia linatoa ajira kwa maeneo bomba linapita na pia bandarini.na pia serikali inapata kodi ya per barrel.sasa wewe huoni iyo ni faida we unataka tugawane nao pasu wakat wana option nyingi.
Acha ujinga dogo
 
Kwahiyo watu wanatoana jasho kwa mradi ambao hautatulipa?? Wakenya mpaka wanashusha propaganda kibao na kutuma mashushushu kwa mradi ambao hauna faida yeyote??? Duuuhh angefanya Lowassa au Ukawa haya yangesifiwa..
Lowasa kaja Vipi hapa Mkuu! Msituchokoze, tutajaharibu uzi hapa bure! Tuendelee tu Na mjadala wa Bandari, pipeline Na Pato tutalopata! Ya Lowassa Na Ufipa tafadhari sana Mkuu!
 
Magufuli na TPSF walishakubaliana kushirikiana kwenye umiliki wa vitalu...

Kama kuna ambavyo yule lofa wa msoga alitaka kujimilikisha imeshakula kwake..

Huyu JPM amehaidiana kufanya kazi na Private Sector na sio Manyang'au wa Ulaya na Asia..
Lugha isiyopendeza haifai kutumiwa na muungwana yeyote yule hasa hadharani. Hivyo tuelewe kuwa ingawa baadhi yetu tumejificha humu jamvini lkni kila atumiae maneno yenye harara hadharani basi naye anafanana na maneno hayo
 
Mkuu inabidi uelewe kuwa tozo ya kupitisha pipa moja kwa katika ardhi ya nchi nyingine ni $14 na Uganda inapitisha mapipa 200,000 kwa siku maana yake kwa mwaka serikali inaingiza zaidi ya Trillioni 2, na hio ni fedha ya kigeni kwa haraka haraka ni US Dollars.
Pia ukumbuke pato la ndani kwa mwaka kwa serikali kwa sasa ni almost Trillioni 4 maana yake pato la ndani litakua limeongezeka kwa 50%, sasa hapo huoni hio faida??

Kumbuka pia kama tukipwa dollar hizo maana yake shillingi ya Tanzania dhidi ya Dollar ya mmarekani itaimarika sana na hivyo kutupa advantage katika maununuzi ya nje.

Kiuchumi hii kitu ina faida sana.
Hapo ndo wenye akili wanapogombania .
 
Lowasa kaja Vipi hapa Mkuu! Msituchokoze, tutajaharibu uzi hapa bure! Tuendelee tu Na mjadala wa Bandari, pipeline Na Pato tutalopata! Ya Lowassa Na Ufipa tafadhari sana Mkuu!
Mimi mwenyewe ni mfuasi wa huyo Lowassa na Ufipa ila vitu serious kama hivi tuache kuvijadili kwa minajili ya ufuasi wetu... Mtu anapingana na Kuifufua bandari ya Tanga wakati hata Lowassa mwenyewe kwenye kampeni pale Tanga alisema atafanya namna hii bandari iamke..
 
Acha uzumbe kuku fala wewe.ina maana huoni wakenya hawalali wanamshawishi museven arejee makubaliano ya mwanzo?kuna faida nyingi sana kama bomba litapialta Tanzania kwa upande wa Tanzania mf tayar tunauhakika hata kama tutapata mafuta kidogo upande wa lake Tanganyika na maeneo ya kaskazin kusafirishia mafuta.na pia pia linatoa ajira kwa maeneo bomba linapita na pia bandarini.na pia serikali inapata kodi ya per barrel.sasa wewe huoni iyo ni faida we unataka tugawane nao pasu wakat wana option nyingi.
Acha ujinga dogo

Cjui kwa nn watanzania tuna IQ ndogo sana, ukileta matusi mm pia ni gwiji wa matusi. Niliuliza swali kama mtu una majibu unatakiwa useme kwamba faida moja ....labda kodi utoe reference nchi flani, kifungu flani cha mkataba kinasema hivi, faida mbili ...ajira utoe reference ajira itatokana na sababu hii na hii, faida ya tatu ...labda badala ya ku import kutoka nje tutatumia ya hapaand so on. Mtu anauliza mnakuja na matusi sababu tu serikali imefanya, mambo mangapi nchi hii tumebugi, karibu kila jambo tulibugi, hakuna project ya maana iliyowahi kuwa succussful nchi hii, lakini mwanzoni majibu huwa ni haya haya. Sijui nani alituroga.
 
Mimi mwenyewe ni mfuasi wa huyo Lowassa na Ufipa ila vitu serious kama hivi tuache kuvijadili kwa minajili ya ufuasi wetu... Mtu anapingana na Kuifufua bandari ya Tanga wakati hata Lowassa mwenyewe kwenye kampeni pale Tanga alisema atafanya namna hii bandari iamke..
We jamaa una akili nyingi sana aiseeee
 
Lowasa kaja Vipi hapa Mkuu! Msituchokoze, tutajaharibu uzi hapa bure! Tuendelee tu Na mjadala wa Bandari, pipeline Na Pato tutalopata! Ya Lowassa Na Ufipa tafadhari sana Mkuu!
chonde chonde usiharibu hali ya hewa tusimame kwenye mjadala basi.
 
Lugha isiyopendeza haifai kutumiwa na muungwana yeyote yule hasa hadharani. Hivyo tuelewe kuwa ingawa baadhi yetu tumejificha humu jamvini lkni kila atumiae maneno yenye harara hadharani basi naye anafanana na maneno hayo
Sasa mnakubali kwamba Ex President Mkapa alitumia lugha isiyopendeza kushambulia wapinzani lakini mlikuwa busy kumtetea au sio.... DOUBLE STANDARDS
 
Back
Top Bottom