Sababu za Msingi kwanini Bomba la mafuta Uganda lipite Bandari ya Tanga

Sababu za Msingi kwanini Bomba la mafuta Uganda lipite Bandari ya Tanga

yaaani wewe unawaza siasa siasa siasa siasa, ujui kuna kazi baada ya siasa, kweli watanzania tuna njia ndefu hadi tufike, hivi mtu kama huyu, hajui umuhimu hata mmoja wa ilo bomba jaman??
Wapumbav kama hao ni kuachana nao
 
plans zote ziwe implemented kwa kuzidi kujiimarisha kiusalama mpinzani wetu hatalala tu na kuacha hili lipite. tuwe extra careful na kila threat.
 
Swala sio technical analysis kwa nin bomba lipite kwetu,issue ni economic benefit gani tutapata kama nchi? hii issue imebebewa bango sana sasa cjui ni kusahaulisha watu mambo ya zanzibar au kuna ukweli wowote.
Tutakachofaidika Tanzania ni hili; ikipitishwa pipa moja la mafuta tutalipwa dola 14 na kwa siku itapitishwa mapipa laki mbili kwenda tanga. Kwa mwaka tutakuwa na tsh 2trillion. Je hiyo ni faida au hasara kwetu????
 
Mkuu hiyo haiwezekani, na kuna mtu nimemwomba source amekimbia, pipa moja la mafuta ghafi lilikuwa chin ya 40 usd hiv karbuni cna hakika ya figure, ila nadhan 30usd. Nilichodhan tunaweza nufaika kama hadithi yenyewe ni kweli labda ni kwenye gharama za ujenzi yaan kweny bn 4usd kama serikali itakuwa makin kwenye mikataba ili ku add value kwenye suplly chain. Niliuliza hapa hakuna aliyenipa jibu la maana zaidi ya kejeli, nilikuwa na maana yangu, tuna bomba la Tazama tunavyonufaika haileweki. Miradi mingi hatujawahi kunufaika sana na ushahidi upo wazi,lkn kuna watu wana viherehere sana hapa.
 
Hilo bomba halijengwi na serikali ya Tanzania... Ni total ndio wanatoa pesa yote ya kujenga hilo bomba na wala sio mkopo kwamba tutawalipa Total...

Unasemea kuhusu madhara, Tuna bomba la TAZAMA lipo tangia miaka ya 70 mpaka sasa, kuna madhara gani ya kimazingira yametokea??

Uhuru anaweza akatoa ofa nzuri, ni sawa, ila Total kama mbia mkuu wa mafuta ya Mganda hataki kujenga kule sababu za usalama.. Ndio maana hili dili la kujenga Kenya lilisuasua kwa karibia mwaka mzima...

Point yangu ilihusu kusifia sana watu ambao siku za nyuma wamesimamia ujenzi wa bomba la gesi na huku inafahamika gharama hazikuwa sawa. Sisemi kwamba tutaibiwa fedha wakati huu ila nasema tusifu cautiously kwani watu hawa wametuliza huko nyuma. Wameokaoka lini?

Kwenye environmental damage you make a mistake logically. Ukweli kwamba hakuna report za environmental damage za bomba la kupeleka mafuta Zambia does not imply that from now on no oil pipeline can cause damage to the environment. Each project is different. Kwani hayako mabomba ya mafuta duniani yaliyopata kuvuja na kusababisha maafa? We must factor that in. To count the benefit only and ignore the negative possibilities is to dig our head into the sand. We need not do that. The over-enthusiasm displayed in this thread is, I submit, a sign of immaturity.

Hongera kwa Dr Magufuli na Prof Muhongo kama wameweza kutupatia mradi huu. Ni mradi wenye uwezo wa kuinua uchumi wetu. But let us be cautious about it. Above all, let us not run to the bank before we sign the contract.
 
Mkuu hiyo haiwezekani, na kuna mtu nimemwomba source amekimbia, pipa moja la mafuta ghafi lilikuwa chin ya 40 usd hiv karbuni cna hakika ya figure, ila nadhan 30usd. Nilichodhan tunaweza nufaika kama hadithi yenyewe ni kweli labda ni kwenye gharama za ujenzi yaan kweny bn 4usd kama serikali itakuwa makin kwenye mikataba ili ku add value kwenye suplly chain. Niliuliza hapa hakuna aliyenipa jibu la maana zaidi ya kejeli, nilikuwa na maana yangu, tuna bomba la Tazama tunavyonufaika haileweki. Miradi mingi hatujawahi kunufaika sana na ushahidi upo wazi,lkn kuna watu wana viherehere sana hapa.

Excellent point. Bomba la TAZAMA halionyeshi kuwa na impact yoyote kwetu. Sasa hili lingine kwanini liwe tofauti?
 
Hao watu ulivyowataja nmefarijika...Dr Magufuli,Prof. Muhongo, Balozi Mahiga!! Niwatu wa kazi,wasopenda kujitajirisha isivyofaa,ni akili kubwa zinazoweza kumshawishi mtu yeyote duniani. Watu Kama hasa hâta wakistaafu wataacha mafunzo tofauti na watangulizi wao.
 
Swala sio technical analysis kwa nin bomba lipite kwetu,issue ni economic benefit gani tutapata kama nchi? hii issue imebebewa bango sana sasa cjui ni kusahaulisha watu mambo ya zanzibar au kuna ukweli wowote.
Kwani kenya wangepata faida gani? Akili za ukawa bhana.
 
Swala sio technical analysis kwa nin bomba lipite kwetu,issue ni economic benefit gani tutapata kama nchi? hii issue imebebewa bango sana sasa cjui ni kusahaulisha watu mambo ya zanzibar au kuna ukweli wowote.

Hata wewe ukifikiria kidogo utaziona hizo economic benefits. Kwa kupitisha mapipa 200,000 kwa siku at least TZ itapata USD 2m kila siku, 60 m kwa mwezi takriban 720 m kwa mwaka-toa gharama, matengenezo, pengine zitabaki 600m safi. Tena hii ni wakati huu bei za mafuta zimeshuka. Itaweza kufika 1.5 b kwa mwaka siku moja. Hizo ni pesa zinaweza kufikisha umeme wa solar kwenye shule zote za Tanzania!
Haya ni makadirio yangu maana kutakuwa na maelewano ya bei, ila sitaraji chini ya hapo.
 
Point yangu ilihusu kusifia sana watu ambao siku za nyuma wamesimamia ujenzi wa bomba la gesi na huku inafahamika gharama hazikuwa sawa. Sisemi kwamba tutaibiwa fedha wakati huu ila nasema tusifu cautiously kwani watu hawa wametuliza huko nyuma. Wameokaoka lini?

Kwenye environmental damage you make a mistake logically. Ukweli kwamba hakuna report za environmental damage za bomba la kupeleka mafuta Zambia does not imply that from now on no oil pipeline can cause damage to the environment. Each project is different. Kwani hayako mabomba ya mafuta duniani yaliyopata kuvuja na kusababisha maafa? We must factor that in. To count the benefit only and ignore the negative possibilities is to dig our head into the sand. We need not do that. The over-enthusiasm displayed in this thread is, I submit, a sign of immaturity.

Hongera kwa Dr Magufuli na Prof Muhongo kama wameweza kutupatia mradi huu. Ni mradi wenye uwezo wa kuinua uchumi wetu. But let us be cautious about it. Above all, let us not run to the bank before we sign the contract.
Kwahiyo wewe ndiye msomi pekee Tanzania ambaye umezizingatia hizo negative effects na watekelezaji wa mradi huo hawazizingatia?? Unajua hiyo $ 14 kwa pipa imeshalipa mpaka na damage zozote za kimazingira?? Wangekuwa wanapitisha bure hayo mafuta tungekuwa na hofu ila tunalipwa kila pipa linalokatiza kwenye ardhi yetu...
 
Nachowaomba serikali yangu sikivu ni kuona namna ya ku-mjoin South Sudan katika bandari ya Tanga

Napendekeza Raisi Magufuli na Museveni waishawishi Sudani kusini ijenge bomba la mafuta kutoka Sudan kusini hadi uganda ili waunganishe na lile linalokuja Tanzania mafuta yao yaje yaondokee bandari ya Tanga .Bomba hilo likitumiwa na nchi hizo mbili litawasaidia Uganda pia kupunguza gharama za uendeshaji kwani watakuwa wana-share na sudan kusini,

Faida ya Sudan kusini kujenga hilo bomba kupitia Uganda ni kama ifuatavyo

1.Usalama wa hilo bomba kwani linapita maeneo ambayo raia wa sudan kusini na wale wa kaskazini mwa uganda ni ndugu.Wametenganishwa tu na mpaka.Bomba halitapita maeneo ya waasi au yenye tishio la Alshababu

2.Uhusiano wa Uganda,Tanzania na sudan kusini ni mkubwa na wa kuaminika
3.Kwa kupitisha mafuta eneo hilo Sudan kusini itaweza uza mafuta yake kwenye masoko makubwa ya Tanzania,Kongo,rwanda,burundi,Zambia,Malawi na kenya kirahisi pamoja na kusafirisha nje ya nchi kirahisi
4.Umbali wa Kujenga bomba kutoka sudan kusini hadi uganda ni karibu kuliko kulijenga kwenda bandari ya Lamu.Angalia Ramani

east_africa.jpg

[email protected]
 
..OK, inaelekea Tanga iko vizuri vs Lamu.

..vipi kuhusu Tanga vs Mombasa? Unaweza kutueleza kwanini Tanga inafaa dhidi ya Mombasa? kwasababu wa-Ky wanatoa option ya Mombasa na Lamu.

..pia sijaona maelezo kuhusu njia ambayo bomba hilo litapita. kuna uvumi kwamba litakatiza ktk mbuga ya Serengeti. Je, ni kweli?

..zaidi, inabidi ueleze kwanini njia litakapopita bomba hilo kwa upande wa Tz ni bora kuliko upande wa Kenya. wenzetu Kenya wametoa option mbili kwa njia bomba hilo litakapopita.

..eneo lingine ni fedha za mradi huo zitatoka wapi? Je, Tanzania itachangia kiasi gani?

..Tanzania tunatarajia kupata mapato kiasi gani kwa kupitisha bomba hilo kwetu?

..Je, kuna hasara zozote zile zinazoweza kutokana na mradi huu kwa upande wa uchumi[kurudisha fedha za mradi] au mazingira[ajali na uharibifu]? Je, kama taifa tumejiandaa vipi ktk ku-deal na risks za mradi huo?

..binafsi nataka nijiridhishe kwanza kuhusu maswali yangu hapo juu, kabla ya kuvaa joho la UZALENDO kutetea mradi huu uje ktk ardhi yetu.

cc Geza Ulole, The Boss, MsemajiUkweli, Tetty, salaama, Bukyanagandi, DAR si LAMU

Naweza kuungana nawe kwenye jambo moja la msingi la kabla ya kuanza kutekeleza mradi lazima lifanyike feasibility study kuona ni kwa namna gani kama Taifa tutafaidika.Na faida tutakazopata against hasara.Maana hakuna mradi usio na upande mbili hasara na faida.
 
Back
Top Bottom