Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,282
- 4,316
Nashukuru Kwa ufafanuziKila mwanamke ana taste yake ya pekee ndio maana mtu anakuwa na wanawake tofauti tofauti
Na taste ya pekee sio s3x tu ni kuanzia namna ya kuongea mawazo muonekano etc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru Kwa ufafanuziKila mwanamke ana taste yake ya pekee ndio maana mtu anakuwa na wanawake tofauti tofauti
Na taste ya pekee sio s3x tu ni kuanzia namna ya kuongea mawazo muonekano etc
@Mzee wa kupambania we jamaa bhana[emoji1787]Umemaliza
Mwanaume mweye mwanamke mmoja kuna vitu vingi anakosa kuinjoi kwa wanawake wametofautiana sana hawa viumbe raha yake uwe nao wengi
SureWanawake wanazingua sana ukiwa naye mmoja unaweza ua
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ukitaka ujue hilo wewe angalia kuna manzi anayejua vizuri sana mojawapo kati ya haya mkiwa 6×6@Mzee wa kupambania we jamaa bhana[emoji1787]
Tangu lini mwanaume akamuiga mwanamke, sasa nani anakuwa kichwa hapo[emoji38][emoji38][emoji38]. Vijana wasikuizi bana, tunashindwa kustawisha maisha yetu kwakutaka kuwaiga wanawake, wenzetu wanawajibu wa kutunzwa nasisi ndio watunzaji, tuliza kichwa tafuta pesa na mke sahihi sio vimada.Sijui kama umesoma ukaelewa,naweka nukuu kutoka main post!
"Inapelekea hata ukiachana na mwanamke tayari ana mbadala wako, wakati we unabaki kuhangaika kurudiana naye. Ili kuweka mchezo sawa nawe ni muhimu uwe na mbadala pia. Usibaki ukaumia"
Ukisoma hapa unaelewa nini,mimi naona amekumbusha wanaume kuiga utaratibu wa wanawake,tunaweza kusema kuuiga umalaya wao kwa kujiandaa mapema ili ngoma iwe droo.
Nikifikiria dhahama za wanawake, yaani nasema sitaki tena sitaki[emoji23][emoji23][emoji23]. Mahusiano ya mtu mmoja tu yalinisumbua maana wengine unakuta hatujui kukataa so unatoa na unatoa tu, unasomesha mara vile nabado wanamaudhi na tabia tusizoendana ndio useme nitafute wanawake wengi[emoji38][emoji38], nigundue nini. Yaani niseme hivi, mwanaume ulieweka malengo yako mbele kwanza na unahamu yatimie mapema, mambo ya wanawake wengi hutayawazia kabisa kwakuwa watakuyumbisha kiuchumi mpaka unafika 30s bila chochote chamaana ulichofanya zaidi ya kuwekeza kwenye starehe ya dakika 30 mpaka lisaa[emoji23][emoji23][emoji23]. Ukijitambua, matamanio na mapenzi hayakuendeshi kamwe.Kila mtu na mapenzi yake apendayo.
Kila mtu na malengo yake kwenye mahusiano. Mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni jambo la kawaida, pia ni vyema afanye hivyo. Lakini inategemea maamuzi ya mtu binafsi. Hivyo, wakati unaamua angalia sababu hizi. Twende nyuma kwanza, zamani utajiri ulitegemea nguvu ya familia.
Kwahiyo kadri mnavyokua wengi thamani yenu na nguvu yenu inaongezeka na mnaweza kujilinda, kuzalisha mazao mengi vilevile mnaweza kuvamia wanyonge na mkashinda kirahisi. Kibaiolojia tunafahamu kuwa mwanamke ana ukomo wa uzao na mwanaume ana nafasi kubwa ya kuendelea kuzaa hata kama mke wake mmoja akiwa amefikia ukomo, hivyo basi ili kulinda nguvu na utajiri wa familia ilibidi mwanaume aongeze mwanamke amzalie watoto wengine.
Turudi sasa, kilichobadilika sasa ni kwamba hakuna haja ya kuwa na familia kubwa ili uweze kuilinda familia, polisi wapo. Lakini kibaiolojia hakuna kilichobadilika. Bado kama wanaume tunataka kuwa na urithi mkubwa, bado tunataka majina yetu yawe makubwa, bado tuna ile hamu ya kuwa na wanawake wengi. Haijafuka kwenye damu.
Mwanamke mmoja ana mudi tofauti kwenye mwezi.
Wengine husema ‘wanawake hawaeleweki’.
Wanaume wengi hawawezi kuyahimili mabadiliko hayo. Suluhisho ni kwenda kwa mwanamke mwingine hadi mwanamke wa kwanza awe mtulivu amrudie. Wapili nae akiwa na mudi tofauti, atarudi kwa wa kwanza, na mzunguko utaendelea hivyo.
Mwanamke ndiye anayechagua kuwa na mwanaume au la.
Wanawake wenyewe ndio wapo tayari kuwa na mwanaume mwenye wanawake wengi. Japo anaweza asilikubali hili wazi. Sababu, kwake huyo mwanaume ndo mshindi na jasiri kuliko wanaume wengine.
Wanawake wanapenda kuwa na wanaume jasiri na washindi.
Wanawake wana sehemu kubwa ya kuchagua kuliko wanaume.
Mwanamke mmoja wa kawaida tu anaweza kuwa anafukuziwa na wanaume hata watano.
Lakini mwanaume mmoja anaweza asifukuziwe na mwanamke hata mmoja.
Inapelekea hata ukiachana na mwanamke tayari ana mbadala wako, wakati we unabaki kuhangaika kurudiana naye. Ili kuweka mchezo sawa nawe ni muhimu uwe na mbadala pia. Usibaki ukaumia.
Mara nyingi mwanamke ana mtu wa kuchukua nafasi yako. Hata kama asipokuambia. Wewe pia kama mwanaume uwe na mtu wa kuchukua nafasi yake. Unakuta mwanamke wako anachombezana na wenzake sehemu anayoshughulika.
Ujue mbadala wako unaandaliwa.
Sababu kubwa kwamba mwanamke anamheshimu zaidi mwanaume ambaye anajua ana mwanamke zaidi ya mmoja. Anajua akizingua tu ameachika. Mwanamke anapenda kuacha kuliko kuachika, anaogopa kuumia. Hivyo, atajitahidi yeye awe namba moja. Katika kupambania huko, ni vigumu wewe kama mwanaume kuachwa. We kazi yako inakua kumridhisha kulingana na anavyojitolea kwenye mahusiano.
Sawa zee la kupambania [emoji23][emoji119]Ukitaka ujue hilo wewe angalia kuna manzi anayejua vizuri sana mojawapo kati ya haya mkiwa 6×6
Kuna anayejua kuikatikia, mwingine miuno feni, huyu foreplay, yule kuinyonya, mwingine mtaalam wa kusquirt, wapo wanaojua kuifinyia kwa ndani, kuna watundu kitandani kila style wamo hadi popo kanyea mbingu au ile msomali kafia kwenye fiat, haya bado kuna wenye libido ndogo na kubwa, mixer wenye miguno isiyo fake n.k
Twende sasa kuna vimbaumbau, size ya kati, viportable, mabonge, vibonge wepesi, wenye shape zao, visura, wenye sura za baba
Kuna weupe, weusi, rangi ya chocolate
Kuna wenye sauti tamu na maneno ya kimahaba, kuna makauzu na ma-tomboy
Nashangaa sana kuona mwanamume anakomaa na manzi mmoja eti wa kufa na kuzikana hizi raha zote anaziacha. Daaah! Inafikirisha sana[emoji848]
Wake sahihi, sio mke sahihi.Tangu lini mwanaume akamuiga mwanamke, sasa nani anakuwa kichwa hapo[emoji38][emoji38][emoji38]. Vijana wasikuizi bana, tunashindwa kustawisha maisha yetu kwakutaka kuwaiga wanawake, wenzetu wanawajibu wa kutunzwa nasisi ndio watunzaji, tuliza kichwa tafuta pesa na mke sahihi sio vimada.
Hakuna mke wa watu, bali mume tu ndiye wa watu.Sababu za mwanaume kuwa na wanawake wengi ni UMALAYA Tu.
Hapo tatizo sio wanawake. Anza na wewe.Nikifikiria dhahama za wanawake, yaani nasema sitaki tena sitaki[emoji23][emoji23][emoji23]. Mahusiano ya mtu mmoja tu yalinisumbua maana wengine unakuta hatujui kukataa so unatoa na unatoa tu, unasomesha mara vile nabado wanamaudhi na tabia tusizoendana ndio useme nitafute wanawake wengi[emoji38][emoji38], nigundue nini. Yaani niseme hivi, mwanaume ulieweka malengo yako mbele kwanza na unahamu yatimie mapema, mambo ya wanawake wengi hutayawazia kabisa kwakuwa watakuyumbisha kiuchumi mpaka unafika 30s bila chochote chamaana ulichofanya zaidi ya kuwekeza kwenye starehe ya dakika 30 mpaka lisaa[emoji23][emoji23][emoji23]. Ukijitambua, matamanio na mapenzi hayakuendeshi kamwe.
SahihiUkitaka ujue hilo wewe angalia kuna manzi anayejua vizuri sana mojawapo kati ya haya mkiwa 6×6
Kuna anayejua kuikatikia, mwingine miuno feni, huyu foreplay, yule kuinyonya, mwingine mtaalam wa kusquirt, wapo wanaojua kuifinyia kwa ndani, kuna watundu kitandani kila style wamo hadi popo kanyea mbingu au ile msomali kafia kwenye fiat, haya bado kuna wenye libido ndogo na kubwa, mixer wenye miguno isiyo fake n.k
Twende sasa kuna vimbaumbau, size ya kati, viportable, mabonge, vibonge wepesi, wenye shape zao, visura, wenye sura za baba
Kuna weupe, weusi, rangi ya chocolate
Kuna wenye sauti tamu na maneno ya kimahaba, kuna makauzu na ma-tomboy
Nashangaa sana kuona mwanamume anakomaa na manzi mmoja eti wa kufa na kuzikana hizi raha zote anaziacha. Daaah! Inafikirisha sana🤔
Nashukuru Kwa ufafanuzi
Upimwe akili zako[emoji23][emoji23][emoji23]Tangu lini mwanaume akamuiga mwanamke, sasa nani anakuwa kichwa hapo[emoji38][emoji38][emoji38]. Vijana wasikuizi bana, tunashindwa kustawisha maisha yetu kwakutaka kuwaiga wanawake, wenzetu wanawajibu wa kutunzwa nasisi ndio watunzaji, tuliza kichwa tafuta pesa na mke sahihi sio vimada.
Siku moja uwe mwanaume ndo utajua sio umalaya. Sex kwa mwanamke ipo kwa ajili ya kuzaa tu.Sababu za mwanaume kuwa na wanawake wengi ni UMALAYA Tu.