TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Kwahiyo mnaajiri kocha asiye n vigezo ili mumtimue ndani wiki tano!!!Tumia akili, " coaches are hired in order to be fired"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mnaajiri kocha asiye n vigezo ili mumtimue ndani wiki tano!!!Tumia akili, " coaches are hired in order to be fired"
Nyie kweli uneducated mmetukanwa nyie mnataka tuonekane wote tumetukanwa ukisema manyani fc ni yanga, majibwa ni yangandio maana nikasema ushabiki wa simba na yanga umekuwa wa kipumbavu.... fikiria mtu mweusi anamwita mweusi mwenzake nyani.....imagine... huu ni upumbavu wa hali ya juu.......kisa mpira tu unafanya waafrika tunadhalilishana na kutukanana... huu ni upumbavu wa kiwango cha juu.
Wewe mtoa mada tuna kufahamu ni mikia kindakindaki, hivyo kojoa ukalale!1. Zlatko amewakataa baadhi ya Wachezaji ambao Yanga SC imewaleta kwa Mbwembwe nchini na kudai hawana Uwezo
2. Zlatko amekataa Klabu ya Yanga Kuendekeza sana Ushirikina katika Mechi zake na kusema kuwa hakuzoea Upumbavu huo
3. Zlatko ameomba atafute Kocha Msaidizi kwakuwa ameona Kocha Juma Mwambusi hana mbinu za Kumsaidia
4. Zlatko hamtaki Kiungo Haruna Niyonzima akisema haendani na Kasi yake ila Uongozi unamlazimisha aendelee Kumpanga
5. Zlatko mara kwa mara amekuwa akiisifia Klabu ya Simba na kuutaka Uongozi uige Jinsi Simba SC inavyowajali Wachezaji wake
6. Zlatko amekataa Yanga SC kucheza Mechi za Kirafiki katikati ya Wiki huku Ligi ikiendelea kwa Kudai huo ni Ushamba wa Karne
7. Zlatko bila Uwoga kawaambia Viongozi kuwa atakachoweza kufanya akicheza na Simba Oktoba 18 ni Kupunguza tu Magoli ila Watafungwa
Kuna wale Watu wenye sijui 'Viblogu' na 'Vitovuti' vyenu mpaka na baadhi ya Vyombo vya Habari huwa mna tabia ya 'Kukopi' haya 'Mabandiko' yangu hapa na 'Kuyaweka' huko mkijifanya ni yenu na mmeyatafuta nyie. Chonde chonde leo 'mkiikopi' hii tafadhali tajeni 'Source' wenu kuwa ni GENTAMYCINE na Mtandao huu huu wa JamiiForums.
Hiyo number 7 ndo Yanga hawataki kuisikia. Zlatko kawaambia hiyo 18-October yaan ile hamna hamna mpaka half time 🦁 S.C. 4-0 🐒 FC1. Zlatko amewakataa baadhi ya Wachezaji ambao Yanga SC imewaleta kwa Mbwembwe nchini na kudai hawana Uwezo
2. Zlatko amekataa Klabu ya Yanga Kuendekeza sana Ushirikina katika Mechi zake na kusema kuwa hakuzoea Upumbavu huo
3. Zlatko ameomba atafute Kocha Msaidizi kwakuwa ameona Kocha Juma Mwambusi hana mbinu za Kumsaidia
4. Zlatko hamtaki Kiungo Haruna Niyonzima akisema haendani na Kasi yake ila Uongozi unamlazimisha aendelee Kumpanga
5. Zlatko mara kwa mara amekuwa akiisifia Klabu ya Simba na kuutaka Uongozi uige Jinsi Simba SC inavyowajali Wachezaji wake
6. Zlatko amekataa Yanga SC kucheza Mechi za Kirafiki katikati ya Wiki huku Ligi ikiendelea kwa Kudai huo ni Ushamba wa Karne
7. Zlatko bila Uwoga kawaambia Viongozi kuwa atakachoweza kufanya akicheza na Simba Oktoba 18 ni Kupunguza tu Magoli ila Watafungwa
Kuna wale Watu wenye sijui 'Viblogu' na 'Vitovuti' vyenu mpaka na baadhi ya Vyombo vya Habari huwa mna tabia ya 'Kukopi' haya 'Mabandiko' yangu hapa na 'Kuyaweka' huko mkijifanya ni yenu na mmeyatafuta nyie. Chonde chonde leo 'mkiikopi' hii tafadhali tajeni 'Source' wenu kuwa ni GENTAMYCINE na Mtandao huu huu wa JamiiForums.
Tumekuwa wajinga mno!!ndio maana wazungu wanatudharau sana. mzungu katukana waafrika wote, halafu kuna miafrika mipumbavu inasapoti, mambo mengine yanasikitisha sana.
Huko kwa Wazungu Mbali sana,ndio maana wazungu wanatudharau sana. mzungu katukana waafrika wote, halafu kuna miafrika mipumbavu inasapoti, mambo mengine yanasikitisha sana.
ndio maana wewe ni mpumbavu usiejielewa, anapotukanwa mchezaji mweusi ulaya mbona wachezaji wote wanalaani, hujawahi kuona mechi imevunjika kwa sababu ya mchezaji mmoja mweusi kutukanwa na mashabiki? marekani mtu mweusi akiuwawa na polisi, wanaandamana wamarekani wote, acha upumbavu kenge wa kike weweNyie kweli uneducated mmetukanwa nyie mnataka tuonekane wote tumetukanwa ukisema manyani fc ni yanga, majibwa ni yanga
we bwege, kwa hiyo wakina Mario Baloteli na wachezaji wengine weusi wanavyotukanwa manyani na kurushiwa ndizi uwanjani na wazungu unafurahi sana kwa sababu sio wewe ulietukanwa?Nyie kweli uneducated mmetukanwa nyie mnataka tuonekane wote tumetukanwa ukisema manyani fc ni yanga, majibwa ni yanga
Uneducated akinitolea tusi huwa nacheka sababu nishajua naongea na mtu wa namna gani na hata akieleweshwa hawezi kuelewa.ndio maana wewe ni mpumbavu usiejielewa, anapotukanwa mchezaji mweusi ulaya mbona wachezaji wote wanalaani, hujawahi kuona mechi imevunjika kwa sababu ya mchezaji mmoja mweusi kutukanwa na mashabiki? marekani mtu mweusi akiuwawa na polisi, wanaandamana wamarekani wote, acha upumbavu kenge wa kike wewe
Uneducate, yako kama manyani na yanabweka kama majibwa hao ni washabiki wa utopolo na kadri siku zinavyoenda hayo yote aliyosema tunayashuhudia kama kuwachania na kuwavamia mashabiki wa Simba, kubeba mgongoni mwarabu kama enzi za utumwa, kushinda airport muda wa kazi nikiendelea kuandika sitamaliza.we bwege, kwa hiyo wakina Mario Baloteli na wachezaji wengine weusi wanavyotukanwa manyani na kurushiwa ndizi uwanjani na wazungu unafurahi sana kwa sababu sio wewe ulietukanwa?
Kweli kabisa,Yanga wapumbavu sana.ushabiki wa simba na yanga sasa umeshafiki kwenye kiwango cha juu cha upumbavu.
Yaani uko sahihi kabisa Yanga wapumbavu mnondio maana nikasema ushabiki wa simba na yanga umekuwa wa kipumbavu.... fikiria mtu mweusi anamwita mweusi mwenzake nyani.....imagine... huu ni upumbavu wa hali ya juu.......kisa mpira tu unafanya waafrika tunadhalilishana na kutukanana... huu ni upumbavu wa kiwango cha juu.
Yanga wapumbavu sanandio maana wazungu wanatudharau sana. mzungu katukana waafrika wote, halafu kuna miafrika mipumbavu inasapoti, mambo mengine yanasikitisha sana.
Luc kawatukana washabiki wa Yanga sisi inatuhusu nini? Nyie manyani kweli mnabweka bweka tu.ndio maana wewe ni mpumbavu usiejielewa, anapotukanwa mchezaji mweusi ulaya mbona wachezaji wote wanalaani, hujawahi kuona mechi imevunjika kwa sababu ya mchezaji mmoja mweusi kutukanwa na mashabiki? marekani mtu mweusi akiuwawa na polisi, wanaandamana wamarekani wote, acha upumbavu kenge wa kike wewe
Sisi tunachojua mashabiki wa Yanga ni manyani na kila siku mnadhihirisha hivyo,kweli si kweli?we bwege, kwa hiyo wakina Mario Baloteli na wachezaji wengine weusi wanavyotukanwa manyani na kurushiwa ndizi uwanjani na wazungu unafurahi sana kwa sababu sio wewe ulietukanwa?
Nimeikuta kwenye group moja la WhatsApp1. Zlatko amewakataa baadhi ya Wachezaji ambao Yanga SC imewaleta kwa Mbwembwe nchini na kudai hawana Uwezo
2. Zlatko amekataa Klabu ya Yanga Kuendekeza sana Ushirikina katika Mechi zake na kusema kuwa hakuzoea Upumbavu huo
3. Zlatko ameomba atafute Kocha Msaidizi kwakuwa ameona Kocha Juma Mwambusi hana mbinu za Kumsaidia
4. Zlatko hamtaki Kiungo Haruna Niyonzima akisema haendani na Kasi yake ila Uongozi unamlazimisha aendelee Kumpanga
5. Zlatko mara kwa mara amekuwa akiisifia Klabu ya Simba na kuutaka Uongozi uige Jinsi Simba SC inavyowajali Wachezaji wake
6. Zlatko amekataa Yanga SC kucheza Mechi za Kirafiki katikati ya Wiki huku Ligi ikiendelea kwa Kudai huo ni Ushamba wa Karne
7. Zlatko bila Uwoga kawaambia Viongozi kuwa atakachoweza kufanya akicheza na Simba Oktoba 18 ni Kupunguza tu Magoli ila Watafungwa
Kuna wale Watu wenye sijui 'Viblogu' na 'Vitovuti' vyenu mpaka na baadhi ya Vyombo vya Habari huwa mna tabia ya 'Kukopi' haya 'Mabandiko' yangu hapa na 'Kuyaweka' huko mkijifanya ni yenu na mmeyatafuta nyie. Chonde chonde leo 'mkiikopi' hii tafadhali tajeni 'Source' wenu kuwa ni GENTAMYCINE na Mtandao huu huu wa JamiiForums.
Redio spika mbovu.Uchebe: Simba ili ifanikiwe inahitaji iachane na un educated and liars, lage : Mashabiki wa simba ni mbumbumbu,
Kibadeni akiwa kocha wa mtibwa: Kuna klabu kubwa(simba)inanunua mechi baada ya ulimboka mwakingwe kumpelekea fedha shahani kado kipa wa mtibwa ili Simba ishinde.
Aliye wani kuwa kocha wasimba mzambia Patrick fili : tulihonga mechi ili kuchukua ubingwa bila kufungwa.
Iddi pazi (father) akiwa kipa wa prisner:ilibidi nikubali kufungisha ili Simba isishuke daraja.
Ramadhani kabwili: Simba walitaka nifanye makosa nipewe kadi ya njano dhidi ya JKT Tanzania ili nisicheze mechi dhidi yao.
Simba kwa kushilikiana na Fat :alishawahi kuibadilisha kadinyekundu aliyopewa husen Marsha isomeke kapewa Bakari iddi licha ya Bakari kulalamikia aliambiwa atulie si a napata posho.