Sababu za ndani kabisa 'nilizopenyezewa' ambazo ndizo 'zimemfukuzisha' Kazi Kocha wa Yanga SC Zlatko ni hizi hapa....

Nyie kweli uneducated mmetukanwa nyie mnataka tuonekane wote tumetukanwa ukisema manyani fc ni yanga, majibwa ni yanga
 
Nimesoma sababu za yanga kumfukuza kocha sababu nyingine zinachekesha.
Aligombana na makocha wa viungo na daktari wa viungo mpaka wakaomba likizo huu ni uongo kwani hao watu waliondoka mapema sana.
Wanasema baada ya mechi na mtibwa alikwepa kuongea na viongoy mpaka viongozi wakaenda kumshitaki kwa wadhamini hivi viongozi hawawezi kuchukua maamuzi mpaka wamwambie mdhamini
 
Wewe mtoa mada tuna kufahamu ni mikia kindakindaki, hivyo kojoa ukalale!
 
Hiyo number 7 ndo Yanga hawataki kuisikia. Zlatko kawaambia hiyo 18-October yaan ile hamna hamna mpaka half time 🦁 S.C. 4-0 🐒 FC
 
ndio maana wazungu wanatudharau sana. mzungu katukana waafrika wote, halafu kuna miafrika mipumbavu inasapoti, mambo mengine yanasikitisha sana.
Huko kwa Wazungu Mbali sana,

Hapa hapa Bongo kwa Jinsi CCM inavyotunyanyasa na kutuonea lakin still kuna watu kama wewe bado wanaisapot.
 
Nyie kweli uneducated mmetukanwa nyie mnataka tuonekane wote tumetukanwa ukisema manyani fc ni yanga, majibwa ni yanga
ndio maana wewe ni mpumbavu usiejielewa, anapotukanwa mchezaji mweusi ulaya mbona wachezaji wote wanalaani, hujawahi kuona mechi imevunjika kwa sababu ya mchezaji mmoja mweusi kutukanwa na mashabiki? marekani mtu mweusi akiuwawa na polisi, wanaandamana wamarekani wote, acha upumbavu kenge wa kike wewe
 
Nyie kweli uneducated mmetukanwa nyie mnataka tuonekane wote tumetukanwa ukisema manyani fc ni yanga, majibwa ni yanga
we bwege, kwa hiyo wakina Mario Baloteli na wachezaji wengine weusi wanavyotukanwa manyani na kurushiwa ndizi uwanjani na wazungu unafurahi sana kwa sababu sio wewe ulietukanwa?
 
Uneducated akinitolea tusi huwa nacheka sababu nishajua naongea na mtu wa namna gani na hata akieleweshwa hawezi kuelewa.
Inaelekea mwalimu wako alipata shida sana kukufundisha
 
we bwege, kwa hiyo wakina Mario Baloteli na wachezaji wengine weusi wanavyotukanwa manyani na kurushiwa ndizi uwanjani na wazungu unafurahi sana kwa sababu sio wewe ulietukanwa?
Uneducate, yako kama manyani na yanabweka kama majibwa hao ni washabiki wa utopolo na kadri siku zinavyoenda hayo yote aliyosema tunayashuhudia kama kuwachania na kuwavamia mashabiki wa Simba, kubeba mgongoni mwarabu kama enzi za utumwa, kushinda airport muda wa kazi nikiendelea kuandika sitamaliza.
 
Yaani uko sahihi kabisa Yanga wapumbavu mno
 
Luc kawatukana washabiki wa Yanga sisi inatuhusu nini? Nyie manyani kweli mnabweka bweka tu.
 
we bwege, kwa hiyo wakina Mario Baloteli na wachezaji wengine weusi wanavyotukanwa manyani na kurushiwa ndizi uwanjani na wazungu unafurahi sana kwa sababu sio wewe ulietukanwa?
Sisi tunachojua mashabiki wa Yanga ni manyani na kila siku mnadhihirisha hivyo,kweli si kweli?
 
Nimeikuta kwenye group moja la WhatsApp
 
Redio spika mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…