Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
Aisee... kuna vitu vingi kumbe hatuvijui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuona kilaza mkuuKwahiyo mkuu zile sio rocket zinachana mawinguni?
Sijui mwanangu akiona hii post atanichukuriaje[emoji30][emoji30][emoji30]. Maana anajua ni rockets
Leo nmejua kitu ,,bless mkuuNdege kumwaga mafuta angani kitaalamu #FuelDump au #Jetsoning ni utaratibu wa dharura unaofanywa na rubani kutoa mafuta nje ya tanki za ndege ikiwa angani.
Mara nyingi ndege kubwa na za kati zina uwezo wa kumwaga mafuta angani kupitia tundu maalumu '#Nozel' zilizopo nyuma ya mbawa endapo itapatwa na dharura inayohitaji kutua haraka hasa pale muda mfupi baada ya kupaa.
Kwanini muda mfupi baada ya kupaa?
Kwasababu mafuta yanakuwa bado ni mengi hivyo ndege kuwa na uzito mkubwa unaopitiliza mipaka ya usalama wake kwenye kutua.
Ndege nyingi huwa zina uwezo wa kupaa na uzito mkubwa kuliko uzito wa kutua kwakuwa mkandamizo au 'stress' za ndege wakati wa kutua ni kubwa kuliko wakati wa kupaa.
Pia mafuta hujazwa mengi kwasababu ya masafa (hasa marefu) kule inapoelekea hivyo huitaji,
>Mafuta ya safari husika,
>Mafuta ya kuzunguka angani kusubiri kama kuna dharura,
>Mafuta ya kwenda kutua uwanja wa ndege mwengine endapo kuna dharura katika uwanja uliopangwa kutua awali n.k
Kwahiyo ndege husika inapopata dharura muda mfupi baada kupaa rubani analazimika kupunguza mafuta angani katika eneo salama atakaloona au kuelekezwa na waongoza ndege ili kurudi kutua na uzito salama kuepuka hatari kama kupasuka tairi, kuharibu miundombini ya barabara #runways, kutosimama mapema au kupitiliza nje ya barabara yake 'runway', kutua kwanguvu #hardLanding, kuipa udhaifu/'#stress, kupinda au kuvunja maungio ya kiwiliwili cha ndege husika au kusababisha ajali kabisa.
Umwagaji mafuta mara nyingi ufanyika katika umbali maalumu kwenda juu na nje ya makazi ya watu au baharini.
Umbali wa kwenda juu kidogo husaidia mafuta hayo kutawanyika hewani na kupotea na upepo au kufika chini kama mvuke hafifu usio na madhara sana.
Kumbuka usifananishe kwani umwagaji mafuta huu pia unaacha mistari ya mvuke isiyodumu nyuma inayotaka kufanana kidogo na ile hali michirizi ya wingu inayoganda na baridi (#condensation) pale ndege inakuwa kimo cha juu sana ambayo wengi huita roketi kimakosa.
View attachment 1456396
wewe ni jiweAliyemuelewa naomba anijuze
Kumbe na mwenzangu umeliona hilo , ameelezea kitu kizuri lakini kakichanganya pia ,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
.
Mtoa Mada Upo sahihi lakini picha haihusiana na Ulichokiongelea kabisa
Hayo Sio mafuta na Wala sio Rocket[emoji38]
Hiyo ni Reaction Kati ya HOT HUMID AIR From JET ENGINE na AIR MOLUCULES then inatengeza VAPOUR, ile VAPOUR ina condesnce ina'turn' into GAS kama Mawingu hivi na Ndio kile kinacho,onekana pale zinaitwa CONTRAILS
Sijafafanua Vizuri Sana lakini sio Rockets(Rocket Anga la Africa??) na wala Sio Mafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutudanganya mkuu. Nimesoma topic ya physics ya advance ya rocket propulsionKumbuka usifananishe kwani umwagaji mafuta huu pia unaacha mistari ya mvuke isiyodumu nyuma inayotaka kufanana kidogo na ile hali michirizi ya wingu inayoganda na baridi (#condensation) pale ndege inakuwa kimo cha juu sana ambayo wengi huita roketi kimakosa.
Ulikuwa sahihi utotoni.
Embu google hapo rocket propulsion utaelewa kitu kingine tofauti na cha mtoa mada. Hiyo topic nimeisoma advance naielewa kuliko mtoa mada. Rocket huwa zinatoa moshi mwingi nyuma kwenye mawingu ya juu yale sio mafuta.aiseee!since nimezaliwa leo ndo najua hili jambo 😂salaaalee! watu tulishazoea kusema ni rockets kumbe ni mafuta yanayo mwagwa kutoka kwenye ndege...😂😂 Shukran mkuu kwa taarifa...
Nimemnukuu mtoa mada, mimi darasa la tatu B sijui chochote. Kwani nani kazungumzia rocket propulsion mtaalamu wa physics?Acha kutudanganya mkuu. Nimesoma topic ya physics ya advance ya rocket propulsion
Wewe nae na physics yako, mtoa mada kasema 'wanaita KIMAKOSA rocket' ni ndege tu ziko hewani.Embu google hapo rocket propulsion utaelewa kitu kingine tofauti na cha mtoa mada. Hiyo topic nimeisoma advance naielewa kuliko mtoa mada. Rocket huwa zinatoa moshi mwingi nyuma kwenye mawingu ya juu yale sio mafuta.
Force of rocket = (dm/dt) X velocity
dm/dt inaendana sanjali na mafuta yanayo unguzwa na moshi unaotolewa nyuma ya rocket hivyo ndivyo speed yake huongezeka.
Ka mtoa mada make generalize kitu ambacho sio kweli.
Nilishaanza kumuelewa mleta mada,ila nikiendelea kusoma comments nahisi ntachanganya mafaili...Acha kutudanganya mkuu. Nimesoma topic ya physics ya advance ya rocket propulsion
Embu google hapo rocket propulsion utaelewa kitu kingine tofauti na cha mtoa mada. Hiyo topic nimeisoma advance naielewa kuliko mtoa mada. Rocket huwa zinatoa moshi mwingi nyuma kwenye mawingu ya juu yale sio mafuta.
Force of rocket = (dm/dt) X velocity
dm/dt inaendana sanjali na mafuta yanayo unguzwa na moshi unaotolewa nyuma ya rocket hivyo ndivyo speed yake huongezeka.
Ka mtoa mada make generalize kitu ambacho sio kweli.
Hata hivyo bado hujamwelewa mwandishi,ni bora uendelee kuelewa kama zamani tu.aiseee!since nimezaliwa leo ndo najua hili jambo 😂salaaalee! watu tulishazoea kusema ni rockets kumbe ni mafuta yanayo mwagwa kutoka kwenye ndege...😂😂 Shukran mkuu kwa taarifa...
Kwani hii ni rocket?Acha kutudanganya mkuu. Nimesoma topic ya physics ya advance ya rocket propulsion
Embu google hapo rocket propulsion utaelewa kitu kingine tofauti na cha mtoa mada. Hiyo topic nimeisoma advance naielewa kuliko mtoa mada. Rocket huwa zinatoa moshi mwingi nyuma kwenye mawingu ya juu yale sio mafuta.
Force of rocket = (dm/dt) X velocity
dm/dt inaendana sanjali na mafuta yanayo unguzwa na moshi unaotolewa nyuma ya rocket hivyo ndivyo speed yake huongezeka.
Ka mtoa mada make generalize kitu ambacho sio kweli.
Aiseee kweli kabisa bossKumbe na mwenzangu umeliona hilo , ameelezea kitu kizuri lakini kakichanganya pia ,
Lakini pia tuelewane nawe picha iliyopo hapo ukiangalia utaona mvuke unatokea mwishoni mwa bawa, hata altitude ilyopo ndege sio mbali sana na groud ni sahihi kabisa kuwa hiyo ndege ilikuwa inamwaga mafuta .
Speaking of contrails ambazo wengi wetu tulikuwa tunadanganyana ni rockets ,
Sent
Sasa ndio ushangae, Kuna watu huku mtaani wanasema Zile ni Rockets, Na ni watu wazima [emoji1]Kwani hii ni rocket?
Sasa napata shaka kama hiyo rocket propulsion ina msaada kwako.
Mtoa mada anazungumzia ndege, ukileta habari za action & reaction ya forces wakati hii ndege tambua kuwa ndege ina lift ya wings. Rocket hazina wings sanasana kama ni heavy watazipa booster kama ilivyokuwa kwa Space Shuttle ya Marekani na Bulan ya Urusi.
Naomba usome niliye mjibu, yeye aliezea nini kisha uhitimishe. Sikumjibu mtoa mada. Nimemjibu aliye generalize kupinga kumbe zile zingine sio rocket. Alafu ndege haiwezi kumwaga mafuta muda wote. Na ukitazama angani ile mistari ya moshi huwa inakuwa unachukua umbali mrefu kwenye mawingu, usiniambie yote yale ni mafuta.Kwani hii ni rocket?
Sasa napata shaka kama hiyo rocket propulsion ina msaada kwako.
Mtoa mada anazungumzia ndege, ukileta habari za action & reaction ya forces wakati hii ndege tambua kuwa ndege ina lift ya wings. Rocket hazina wings sanasana kama ni heavy watazipa booster kama ilivyokuwa kwa Space Shuttle ya Marekani na Buran ya Urusi.
HAMNA MKUU WAKATI MWINGINE ZILE NI NDEGE ZINAZOPITA ANGA LA JUU ZAIDI LA KIMATAIFA AMBALO MARA NYINGI MGANDAMIZO WA HEWA UNAPOKUTANA NA MOSHI WA NDEGE UNASABABISHA MGANDO FULANI KAMA MAWINGU KWA NYUMA YA NDEGEI am today years old ndiyo nimejua wakati wa utotoni zile ndege tulizokua tunaita ndege za Urusi actually ni ndege zinakua zinamwaga mafuta.
This just made me hungry.
Hapa Africa hakuna mtu ashawahi ona rocket. Hakuna range ya rocket kabisa na ndo maana tangu ajari za rockets zitokee hujawahi sikia eti limedondoka au debris zake zimedondoka kwenye makazi ya watu. Nchi zenye rockets ni U.S, Russia, China, India, Japan, Europe hawa wana shirika la pamoja nchi kadhaa, Ukraine sijui kama bado wataendelea, na Iran hivi karibuni. Sijui kama nimeacha nchi zaidi ya tatu. Hakuna range ya rocket kuonekana huku Africa.Naomba usome niliye mjibu, yeye aliezea nini kisha uhitimishe. Sikumjibu mtoa mada. Nimemjibu aliye generalize kupinga kumbe zile zingine sio rocket. Alafu ndege haiwezi kumwaga mafuta muda wote. Na ukitazama angani ile mistari ya moshi huwa inakuwa unachukua umbali mrefu kwenye mawingu, usiniambie yote yale ni mafuta.