Sababu za ndege kumwaga mafuta angani

Enzi za utoto roket ikipita angani kiangazi tu inatutengenezea mvua na yale mawingu mweupe.

Sasa leo unasema zilikuwa zinamwaga mafuta kulaleki, hii haingii akilini dah
 
Mtoa Mada Upo sahihi kabisa [emoji28]
Wale tunaoita zile Rockets ni iko hivi

Ni Reaction Kati ya HOT HUMID AIR From JET ENGINE na AIR MOLUCULES then inatengeza VAPOUR, ile VAPOUR ina condesnce ina'turn' into GAS kama Mawingu hivi na Ndio kile kinacho,onekana pale zinaitwa CONTRAILS
Na sio Rockets(Rocket Anga la Africa??)
 
Leo nmejua kitu ,,bless mkuu
 
Kumbe na mwenzangu umeliona hilo , ameelezea kitu kizuri lakini kakichanganya pia ,
Lakini pia tuelewane nawe picha iliyopo hapo ukiangalia utaona mvuke unatokea mwishoni mwa bawa, hata altitude ilyopo ndege sio mbali sana na groud ni sahihi kabisa kuwa hiyo ndege ilikuwa inamwaga mafuta .

Speaking of contrails ambazo wengi wetu tulikuwa tunadanganyana ni rockets , zenyewe hazitokei kwenye altitude za chini na huwa zinatokea nyuma ya engine maana condensations hutokea mbele ya engine

Picha ya mtoa mada Ni sahihi ndege inamwaga mafuta ,Ila maelezo mengine yanawafanya watu waamini hiyo pia ni contrails
Sent
 
Acha kutudanganya mkuu. Nimesoma topic ya physics ya advance ya rocket propulsion
aiseee!since nimezaliwa leo ndo najua hili jambo 😂salaaalee! watu tulishazoea kusema ni rockets kumbe ni mafuta yanayo mwagwa kutoka kwenye ndege...😂😂 Shukran mkuu kwa taarifa...
Embu google hapo rocket propulsion utaelewa kitu kingine tofauti na cha mtoa mada. Hiyo topic nimeisoma advance naielewa kuliko mtoa mada. Rocket huwa zinatoa moshi mwingi nyuma kwenye mawingu ya juu yale sio mafuta.

Force of rocket = (dm/dt) X velocity
dm/dt inaendana sanjali na mafuta yanayo unguzwa na moshi unaotolewa nyuma ya rocket hivyo ndivyo speed yake huongezeka.
Ka mtoa mada make generalize kitu ambacho sio kweli.
 
Mimi nilijua kuwa zile sio rocket kwa kumuuliza mwalimu, nilikuwa std 7 shule moja mbaya kweli.
Nikaja fahamu rocket ziko raunched kwenye site maalum na zina flight path yake na range pia. Mfano Russia wanatumia sana Baikonur cosmodrome iliyoko Kazakhstan kufyatua roketi kama Soyuz.
Ukitaka kufyatua roketi lazima ujulishe nchi zaidi ya 30 duniani kabla.
 
Wewe nae na physics yako, mtoa mada kasema 'wanaita KIMAKOSA rocket' ni ndege tu ziko hewani.
 
Nilishaanza kumuelewa mleta mada,ila nikiendelea kusoma comments nahisi ntachanganya mafaili...
Maana naona mafomula yashaanza!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aiseee!since nimezaliwa leo ndo najua hili jambo 😂salaaalee! watu tulishazoea kusema ni rockets kumbe ni mafuta yanayo mwagwa kutoka kwenye ndege...😂😂 Shukran mkuu kwa taarifa...
Hata hivyo bado hujamwelewa mwandishi,ni bora uendelee kuelewa kama zamani tu.
 
Kwani hii ni rocket?
Sasa napata shaka kama hiyo rocket propulsion ina msaada kwako.

Mtoa mada anazungumzia ndege, ukileta habari za action & reaction ya forces wakati hii ndege tambua kuwa ndege ina lift ya wings. Rocket hazina wings sanasana kama ni heavy watazipa booster kama ilivyokuwa kwa Space Shuttle ya Marekani na Buran ya Urusi.
 
Aiseee kweli kabisa boss
Thank you Nimechanganya kwa kweli [emoji28]
Nime'edit tayar Sorry, Mr pianoman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndio ushangae, Kuna watu huku mtaani wanasema Zile ni Rockets, Na ni watu wazima [emoji1]
Na wanabisha Mpak Misuri ya shingo inatuna


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba usome niliye mjibu, yeye aliezea nini kisha uhitimishe. Sikumjibu mtoa mada. Nimemjibu aliye generalize kupinga kumbe zile zingine sio rocket. Alafu ndege haiwezi kumwaga mafuta muda wote. Na ukitazama angani ile mistari ya moshi huwa inakuwa unachukua umbali mrefu kwenye mawingu, usiniambie yote yale ni mafuta.
 
MKUU BASI UNGEWAPATA CREDIT AVIATION MEDIA TANZANIA BASI KULIKO KUILETA NAMNA HII UCHI HIVI.
 
I am today years old ndiyo nimejua wakati wa utotoni zile ndege tulizokua tunaita ndege za Urusi actually ni ndege zinakua zinamwaga mafuta.

This just made me hungry.
HAMNA MKUU WAKATI MWINGINE ZILE NI NDEGE ZINAZOPITA ANGA LA JUU ZAIDI LA KIMATAIFA AMBALO MARA NYINGI MGANDAMIZO WA HEWA UNAPOKUTANA NA MOSHI WA NDEGE UNASABABISHA MGANDO FULANI KAMA MAWINGU KWA NYUMA YA NDEGE
 
Hapa Africa hakuna mtu ashawahi ona rocket. Hakuna range ya rocket kabisa na ndo maana tangu ajari za rockets zitokee hujawahi sikia eti limedondoka au debris zake zimedondoka kwenye makazi ya watu. Nchi zenye rockets ni U.S, Russia, China, India, Japan, Europe hawa wana shirika la pamoja nchi kadhaa, Ukraine sijui kama bado wataendelea, na Iran hivi karibuni. Sijui kama nimeacha nchi zaidi ya tatu. Hakuna range ya rocket kuonekana huku Africa.
Rocket zinanyanyuka direct vertically zikiwa zimelala nyuzi kidogo.

Kwenye mafuta ya ndege. Fuel dumping hufanyika karibu na airport/base na mara nyingi katika kuzunguka. Kumbuka ndege inakuwa katika hali mbaya hivyo itatua hivi karibuni.
Pia kingine mleta mada hajaongeza, kumwaga mafuta husaidia kupunguza moto endapo ndege itaungua ikipata ajari katika kutua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…