Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu huyu GENTAMYCINE anasema dikteta magufuli alikuwa Rais bora kuliko woteMwaka jana mwishoni mfanyabiashara na mbunifu wa mavazi Jeffery Mmbungu maarufu kama @Speshoz alifungua kiwanda cha vinywaji vikali, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kiwanda hicho kinaitwa Daren Fabrics Industries Ltd kinazalisha kinywaji chenye jina Faru John...
Labda alikuwa anatania,hapa JF anawatani wake wengi tu.Halafu huyu GENTAMYCINE anasema dikteta magufuli alikuwa Rais bora kuliko wote
Kimewekwa kwenye foleni, muda ukifika kitawekwa hadharani.Kisa cha Mo Dewji kitajulikana tu
.
Ndiyo yule aliyekutoa usichana wako kisha akakupiga kibutiHuyo Jeff ni jeff yule mkola wa Amazon au mmiliki wa kiwanda cha Gongo?
Kama Bunge lenyewe ni hili la vilza wa CCM ni yaleyale tu.Kuna haja ya katiba ifanyiwe marekebisho hawa RC na DC wawe wanaomba hizi kazi na kufanyiwa interview na Wabunge.
Halafu mkikaa hapa mnamsifia jiwe eti alikuwa mzalendo.Hivi ni kwamba serekali ilikuwa haiyoni hayo yote, mpaka kiwanda kinafungwa TRA,TBS,BRELA, Wizara ya viwanda wako wapi?
Kwa haraka haraka Sabaya alikuwa juu ya waziri mkuu he was untouchable
Hakimu ambaye hatopitisha ama Adhabu ya Kifungo cha Maisha kwa Ole Sabaya au cha Kunyongwa ( Kuuliwa kabisa ) ambacho GENTAMYCINE ndiyo nakiombea 24/7 hakika ' Laana ' yangu itampata na Kumtesa mno tu.Mwaka jana mwishoni mfanyabiashara na mbunifu wa mavazi Jeffery Mmbungu maarufu kama @Speshoz alifungua kiwanda cha vinywaji vikali, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kiwanda hicho kinaitwa Daren Fabrics Industries Ltd kinazalisha kinywaji chenye jina Faru John...
Astaghfulillah.....mtoto wa kiume na mambo ya kuchukuliana waume na dada zako ?!!🙊Ulivyo na beaf na mimi kama nimekuchukulia mume Dah!!!
Mwanamke wewe unadharau ujue nimekuona siku nyingi sana.
Etwege njoo usome huku.Mwaka jana mwishoni mfanyabiashara na mbunifu wa mavazi Jeffery Mmbungu maarufu kama @Speshoz alifungua kiwanda cha vinywaji vikali, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kiwanda hicho kinaitwa Daren Fabrics Industries Ltd kinazalisha kinywaji chenye jina Faru John...
Hii makala inatoka kwa Speshoz mwenyewe?Mwaka jana mwishoni mfanyabiashara na mbunifu wa mavazi Jeffery Mmbungu maarufu kama @Speshoz alifungua kiwanda cha vinywaji vikali, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kiwanda hicho kinaitwa Daren Fabrics Industries Ltd kinazalisha kinywaji chenye jina Faru John..
Pole Sana Jeff aka Speshos Kwa misukosuko iliyokukuta Hai. Mungu akulipie Mateso yako. Hakika wewe ni Kijana mpambanajiMwaka jana mwishoni mfanyabiashara na mbunifu wa mavazi Jeffery Mmbungu maarufu kama @Speshoz alifungua kiwanda cha vinywaji vikali, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kiwanda hicho kinaitwa Daren Fabrics Industries Ltd kinazalisha kinywaji chenye jina Faru John...