Sababu za Sabaya kukifunga kiwanda cha Daren Fabrics Industries Ltd

Sababu za Sabaya kukifunga kiwanda cha Daren Fabrics Industries Ltd

Mpaka sasa amefunguliwa mashitaka na kuwekwa mahabusu kwa matukio ya Arusha pekee. Bado Hai ambapo ndiyo alifanya uharifu mkubwa zaidi
Hili ni moja ya doa kubwa utawala uliopita. Huu uchafu si sawa kutupiwa ombwe lisiloshikika "awamu ya 5" bali CCM kwa ujumla. Hivi CCM wanajivuaje kwenye haya?

Kitu kinachotuponza sana ni kila upuuzi kuipa awamu yake huku awamu mpya ikijivika upya! CCM itatawala milele kama tukiendelea kufurumsha lawama kwa watu badala ya chama chenyewe.
 
Hii makala inatoka kwa Speshoz mwenyewe ?

Sabaya ni mpuuzi ila naona kama wachagga na CDM na ninyi mnapitishia humo humo mambo yenu.

Nandy yupo, Speshoz yupo wanashindwa nini kuongeza mpaka ninyi ndio muonekane mnajua sana.
Sasa unataka wakuria au Wanyamwezi ndio wamfyngulie mashtaka wakati kiutawala alikuwa anatawala eneo lenye mass population ya "wachaga" au hujui Kilimanjaro na Arusha wachaga ni wengi.

Hayo ni mashtaka ya Arusha tu subiri ya mkoa wa kilimanjaro Sasa. Kila siku watu wanamiminika Takukuru kupeleka kesi mpya.

Huyu ndio kamalizwa hapo, na kitanachoenda kummaliza ni ile tabia Yake aliyokuwa nayo ya kumdharau Waziri mkuu (Majaliwa) na Makamu wa Raisi kipindi hicho (Samia) ... Wafanyabiashara wengi walipeleka mashtaka mengi huko kwa hao Viongozi na kila alipokuwa akiambiwa alikuwa anawadharau, Sasa Mambo yamebadirika. Makamu wa raisi amekuwa raisi. Anapigwa nyundo balaaa.
 
Mwaka jana mwishoni mfanyabiashara na mbunifu wa mavazi Jeffery Mmbungu maarufu kama @Speshoz alifungua kiwanda cha vinywaji vikali, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kiwanda hicho kinaitwa Daren Fabrics Industries Ltd kinazalisha kinywaji chenye jina Faru John
Safi
 
Aisee huyo sabaya hakua mtu wa kawaida bali alikua nimnyama alikua na tabia zakishenzi kabsa..
 
Huyo Jeff ni jeff yule mkola wa Amazon au mmiliki wa kiwanda cha Gongo?
Brother acha kujizalilisha hata Kama ulikuwa mnufaika ni Bora ukae kimya tuna mengi ya kuongea na wanatafutwa wanufaika angalia usije jikuta jehanam, ukikaa kimya ni Bora ndugu damu za watu ni mbaya sana laana yake huenda vizazi hata vizazi
 
Hakimu ambaye hatopitisha ama Adhabu ya Kifungo cha Maisha kwa Ole Sabaya au cha Kunyongwa ( Kuuliwa kabisa ) ambacho GENTAMYCINE ndiyo nakiombea 24/7 hakika ' Laana ' yangu itampata na Kumtesa mno tu.

TAKUKURU mkamateni upesi Makonda.
Mkuu una hasira Kama cobra vile yaani akikasirika mpaka anapasuka na kufa kwa hasira yake yaani duuh, ila inauma sana sema Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo hajawahi sahau daima hata Kama uliwe na funza atakuadhibu tu usipoomba msamaha mapema
 
Hayo ndiyo matatizo ya mfumo wa nchi yetu. Hatuna checks and balances. Nchi za wenzetu hakuna mtu atakayefanya uhuni wa namna hii anaachwa tuu kwa sababu mkuu wa nchi anamkingia kifua. Nguzo zingine za serikali zingembana na vyombo vya habari visingeogopa kuandika uhuni anaoufanya.
 
Mwaka jana mwishoni mfanyabiashara na mbunifu wa mavazi Jeffery Mmbungu maarufu kama @Speshoz alifungua kiwanda cha vinywaji vikali, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kiwanda hicho kinaitwa Daren Fabrics Industries Ltd kinazalisha kinywaji chenye jina Faru John...
Pia amshtaki mtuhumiwa na kudai fidia kwa hasara aliyomfanyia. Pia wasisahaulike waliofunga viwanda daslamu maana wote ni uhujumu uchumi.
 
Back
Top Bottom