Sababu za Sabaya kukifunga kiwanda cha Daren Fabrics Industries Ltd

Kuna vi media vingine wao wako wako tu kushobokea watu, hawasimami kabisa misingi yao ya kazi, wakipewa bahasha tu wao wana piga kimya.

Huyu bwana mdg aliyekuwa dc kwanza alikuwa bonge la mshamba,sijui aliokotwa wapi

Ova
 
Halafu huyu GENTAMYCINE anasema dikteta magufuli alikuwa Rais bora kuliko wote
 
DC ni cheo kidogo tu tena mpaka mtu akufikirie, Tanzania nzima kuna ma DC wangapi? Why yeye tu? Kiukweli mchizi alijiona yuko juu ya sheria kisa tu kupendwa na mkulu. Ngoja kwanza asote ngome na yeye ili ajue wale aliokuwa anatoa amri 'weka ndani huyu' walikuwa wanaumia kiasi gani.
 
Hakimu ambaye hatopitisha ama Adhabu ya Kifungo cha Maisha kwa Ole Sabaya au cha Kunyongwa ( Kuuliwa kabisa ) ambacho GENTAMYCINE ndiyo nakiombea 24/7 hakika ' Laana ' yangu itampata na Kumtesa mno tu.

TAKUKURU mkamateni upesi Makonda.
 
Etwege njoo usome huku.
 
Hii makala inatoka kwa Speshoz mwenyewe?

Sabaya ni mpuuzi ila naona kama wachagga na CDM na ninyi mnapitishia humo humo mambo yenu.

Nandy yupo, Speshoz yupo wanashindwa nini kuongeza mpaka ninyi ndio muonekane mnajua sana.
 
Jamaa inatakiwa ngomeni apigwe pipe ili aielewe mitaa
 
Pole Sana Jeff aka Speshos Kwa Zahama uliyokitana
Pole Sana Jeff aka Speshos Kwa misukosuko iliyokukuta Hai. Mungu akulipie Mateso yako. Hakika wewe ni Kijana mpambanaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…