Hao vibaka kiongozi wao alikuwa Jiwe.Bila shaka mambo yaliyofanyika yalikuwa na baraka zote za Jiwe.Manake yalifanyika waziwazi!Kiuhalisia kwa mbali chama changu naona lilikuwa ni genge la baadhi ya vibaka humu chamani
Hili ni moja ya doa kubwa utawala uliopita. Huu uchafu si sawa kutupiwa ombwe lisiloshikika "awamu ya 5" bali CCM kwa ujumla. Hivi CCM wanajivuaje kwenye haya?Mpaka sasa amefunguliwa mashitaka na kuwekwa mahabusu kwa matukio ya Arusha pekee. Bado Hai ambapo ndiyo alifanya uharifu mkubwa zaidi
Tushitaki hata kaburi lakeHao vibaka kiongozi wao alikuwa Jiwe.Bila shaka mambo yaliyofanyika yalikuwa na baraka zote za Jiwe.Manake yalifanyika waziwazi!
Sasa unataka wakuria au Wanyamwezi ndio wamfyngulie mashtaka wakati kiutawala alikuwa anatawala eneo lenye mass population ya "wachaga" au hujui Kilimanjaro na Arusha wachaga ni wengi.Hii makala inatoka kwa Speshoz mwenyewe ?
Sabaya ni mpuuzi ila naona kama wachagga na CDM na ninyi mnapitishia humo humo mambo yenu.
Nandy yupo, Speshoz yupo wanashindwa nini kuongeza mpaka ninyi ndio muonekane mnajua sana.
SafiMwaka jana mwishoni mfanyabiashara na mbunifu wa mavazi Jeffery Mmbungu maarufu kama @Speshoz alifungua kiwanda cha vinywaji vikali, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kiwanda hicho kinaitwa Daren Fabrics Industries Ltd kinazalisha kinywaji chenye jina Faru John
Brother acha kujizalilisha hata Kama ulikuwa mnufaika ni Bora ukae kimya tuna mengi ya kuongea na wanatafutwa wanufaika angalia usije jikuta jehanam, ukikaa kimya ni Bora ndugu damu za watu ni mbaya sana laana yake huenda vizazi hata vizaziHuyo Jeff ni jeff yule mkola wa Amazon au mmiliki wa kiwanda cha Gongo?
Mkuu una hasira Kama cobra vile yaani akikasirika mpaka anapasuka na kufa kwa hasira yake yaani duuh, ila inauma sana sema Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo hajawahi sahau daima hata Kama uliwe na funza atakuadhibu tu usipoomba msamaha mapemaHakimu ambaye hatopitisha ama Adhabu ya Kifungo cha Maisha kwa Ole Sabaya au cha Kunyongwa ( Kuuliwa kabisa ) ambacho GENTAMYCINE ndiyo nakiombea 24/7 hakika ' Laana ' yangu itampata na Kumtesa mno tu.
TAKUKURU mkamateni upesi Makonda.
Hapana huyo ni mwingine mkuuHuyo Jeff ni jeff yule mkola wa Amazon au mmiliki wa kiwanda cha Gongo?
Wahuni wanaweza wakaishi nae kimafiaHuyu Sabaya Gerezani ni sehemu salama zaidi kwake kuliko uraiani..Bora abaki huko huko..
Pole sana Jeff..
Ile siku ya kwanza alishughulikwa kinoma sasa hana hata tone la rinda.Jamaa inatakiwa ngomeni apigwe pipe ili aielewe mitaa
Pia amshtaki mtuhumiwa na kudai fidia kwa hasara aliyomfanyia. Pia wasisahaulike waliofunga viwanda daslamu maana wote ni uhujumu uchumi.Mwaka jana mwishoni mfanyabiashara na mbunifu wa mavazi Jeffery Mmbungu maarufu kama @Speshoz alifungua kiwanda cha vinywaji vikali, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kiwanda hicho kinaitwa Daren Fabrics Industries Ltd kinazalisha kinywaji chenye jina Faru John...