TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Huna ujuacho Mwehu mmoja wewe kuhusu habari za michezo,unachojua ni Ushambenga,ushakunaku na udaku tu!Huko nawaachia wengine hasa Haters.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna ujuacho Mwehu mmoja wewe kuhusu habari za michezo,unachojua ni Ushambenga,ushakunaku na udaku tu!Huko nawaachia wengine hasa Haters.
Hakuna ajualo huyo mshambaMkuu,Anza kutupa na za kimataifa Sasa,kuhusu za ndani huna mpinzani
Watu Wana wivu husuda tu, for me Genta namkubali ,mambo mengine Ni mapungufu madogo madogo tuacha nimpe maua yake huyu jamaa ni KING OF SPORTS habari zake ni za uhakika ukibisha we juha. [emoji23][emoji23]
Majuha lazima yasifianeacha nimpe maua yake huyu jamaa ni KING OF SPORTS habari zake ni za uhakika ukibisha we juha. [emoji23][emoji23]
Kikosi kipana, arsenal kapiga mtu j5,jmos anabonda Tena jituMuu sio lazima uandike Kila kitu
Simba ina match za CAF 25/11, 2/12, 9/12
Hao Azam wana match gani ya CAF?
Genta again kwenye umbo jinginemkuu hao sio kama hawakupendi ila wanakuonea wivu kwasababu unatunu kubwa sana hakuna member anayeongoza kufatiliwa kama wewe hakika nyota yako inang’aa kama jua
Itakuwa bodi ya Ligi wamegundua Azam nao wataihujumu Tena,kwa kuwatumia akina kapombe, Chama,Manula nk.maana ule ushindi wa kununua na namungo amepita mulemuleIla kwa wenye Akili Kubwa duniani (GENTAMYCINE na baadhi) tunajua kuwa Usimba ndani ya TFF (TPLB ikiwemo ndani yake) umechangia na kilichofanyika hapa ni Kuikoa Simba SC na Kipigo Kitakatifu kingine kutoka kwa Azam FC.
Hali ambayo inaweza kuzidisha Mgogoro Klabuni, Amani kutoweka ila Kubwa ni kutaka Kuibeba Simba SC kwa kumpa angalau muda kidogo Kocha Mkuu mpya ambaye huenda Siku Tatu hizi kuanzia leo Ijumaa hadi Jumapili akatangazwa aweze Kukijenga vyema Kikosi huku Viongozi nao wakiwekana sawa ili yanayoendelea yamalizike kabisa na Utulivu uanze Kutawala.
Sasa nyie Tanzania Premier League Board (TPLB) nami GENTAMYCINE (tena nikiwa ni Mshabiki Tukuka wa Simba SC) nawaambieni hapa hapa Jamiiforums kuwa hata kama baadhi yenu mnatumia Usimba wenu Kuiokoa na Kuibeba Simba SC isiendelee kupata Matokeo mabaya na Mgogoro Kuzidi ukweli ni kwamba hata kama hii Mechi ya Simba na Azam iliyokuwa ipigwe tarehe 28 Novemba, 2023 mmeipeleka mbele hadi tarehe 1 January, 2024 bado nawahakikishia kwa Mapungufu makubwa yaliyoko katika Uongozi, Benchi la Ufundi na kwa Wachezaji wa (Kikosi cha) Simba SC bado tu Siku hiyo Simba SC itafungwa vile vile na Matatizo kuendelea.
SawaMuu sio lazima uandike Kila kitu
Simba ina match za CAF 25/11, 2/12, 9/12
Hao Azam wana match gani ya CAF?
Anapenda kukurupuka na kupiga mikelele sana.Muu sio lazima uandike Kila kitu
Simba ina match za CAF 25/11, 2/12, 9/12
Hao Azam wana match gani ya CAF?
Tutapigana na wanajeshi wanaoonea raia Kawe.Binafsi nataka Tufungwe ili tupigane.
Ndio mechi itolewe November hadi January? ili timu ifanye usajiri ?[emoji2772][emoji2772]Anapenda kukurupuka na kupiga mikelele sana.
Genta again kwenye umbo jingine
Wewe ulitaka itolewe November ipelekwe wapi? March!Ndio mechi itolewe November hadi January? ili timu ifanye usajiri ?[emoji2772][emoji2772]
Sio zote!acha nimpe maua yake huyu jamaa ni KING OF SPORTS habari zake ni za uhakika ukibisha we juha. [emoji23][emoji23]