Sababu za Ubora katika Makundi ya Brands za TVs hizi

Products za China huwa zinanipa shida sana kuziamini. Hawa jamaa hawaaminiki sana
Wanakuandikia made in Japan Finished in China wanajua kabisa watawapata wanaopenda bidhaa za Japan na wale wanaojichukuliaga tuu ili mradi
 
LG na Samsung Tv ya 24" ilikua inagonga mpka 500k ujio wa hawa cheap products umerahisisha mambo hata wap kupunguza bei
 
Mkuu tupe shule kidogo, unasema hazina uhusino yyt, hebu tuambie hiyo ina maana gani?
 
Mkuu tupe shule kidogo, unasema hazina uhusino yyt, hebu tuambie hiyo ina maana gani?View attachment 1714022
Hyo ni warranty card. Inawezekana kuwa wanawatumia Hitachi kma vendor wao wakuwasaidia repairs internationally. Kwasababu sikuhzi Hitachi wanadeal sana na B2B (Business to business exchange) na macompany mengine.

Kwa mfano repair center nyingi unazoona za Samsung hazimilikiwi na Samsung. Samsung wanatumia tu maduka au company zingine kufanya repair na kutimiza warranty ya bidhaa zao. Hii inaweza ikawa ndio sawa na hyo warranty card ya TCL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tupe shule kidogo, unasema hazina uhusino yyt, hebu tuambie hiyo ina maana gani?View attachment 1714022

Mkuu tupe shule kidogo, unasema hazina uhusino yyt, hebu tuambie hiyo ina maana gani?View attachment 1714022
Bro, hitachi tangu aache kutengeneza tv kuna kampuni moja tu ya uturuki inayotengeneza tv za hitachi na sio tcl.

hitachi wana tool online za kucheki uhalali wa warant ingiza hiyo warant ya hiyo tv yako harafu uone kama hiyo tv inatambulika na hitachi.

Na hizi tv zinazodai kuwa na warrant ya hitachi zinaonekana hapa tz ukiangalia uk, singapore hata uturuki hazipo.
 
Nina budget ya laki 5,tv gani hapo iko vizuri na bora zaidi?
 
Nina budget ya laki 5,tv gani ni nzuri na bora zaidi hapo mdau?
 
Sio kweli, hiyo TCL nimeenda kuikuta nchini Lebanon na Israel na hizo nchi huwa hawaingizi vitu fake kabisa yaani TBS za huko sio za kubabaisha
 
Hisense itoe hapo iweke kwenye A
 
Wee jamaa. Inbox
 
Sayona, Moelectro, Sansan Ila Tanzania Aisee[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…