kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Wanakuandikia made in Japan Finished in China wanajua kabisa watawapata wanaopenda bidhaa za Japan na wale wanaojichukuliaga tuu ili mradiProducts za China huwa zinanipa shida sana kuziamini. Hawa jamaa hawaaminiki sana