Sababu za uchumi kurudi nyuma: Mfumo wa siasa na Ufisadi. Mfumo wa siasa mbaya unapunguza wawekezaji wa muda mrefu maana mfumo huu unaleta mapingano mengi ya kisiasa, utekaji na kikundi maalumu cha mtandao ambao wenyewe tu ndiye wanaonufaika.
Sababu ya pili ni ufisafi mkubwa mipangilio ya nchi haiwezi kufanikiwa wakati mafisadi ndiyo watawala! tamaa na kutokuwa wazalendo kwa viongozi wetu.
Uzalendo ni mbaya kiasi kwamba hata jeshi na polisi wapo kwenye ufisadi mkubwa