Sababu za Wanaume kutonufaika na ndoa

Sababu za Wanaume kutonufaika na ndoa

Lazima kuna sababu hao watoto sio wehu. Wanaume kaeni vizuri na familia zenu sio mje kuanza kutilisha huruma uzeeni wakati kwenye ujana wenu mliharibu wenyewe.
Matoto muda mwingine yanakuwaga majinga sana. Na yanakuja kujua ukweli baadae sana mzee ameshafariki.

Wazee huwa hawasemi tu wanayopitia kwa mama zetu ni vile mama zetu wanaongea sana na hawana akiba ya maneno ila laiti wazee wangesema watoto wasingewatazama mama zao kwa mtazamo ule ule
 
Wanaume tusisahau mustakabali wetu uzeeni. Tunatumia muda mwingi sana kuangaikia mke na watoto halafu tunajisahau sisi yenyewe.

As a man remember that no one will love you as a human being, people will love you because of your achievement, success and how the benefits from you.
Word [emoji1535]
 
Kumsaidia mzazi ni fursa sawa.....ila mzazi kum-abuse mtoto imekaaje hii mtaalamu?!
Abuse ni neno kubwa na zito sana kulitumia kirahisi? So tukienda kitakwimu, kwa haya maisha ya sasa nani anae abuse watoto kumshinda mwenziwe? [emoji848]

Nadhani umeshaona maisha ya masingle mothers. Picha linaanza kumbadilishia mtoto wababa kila siku.

Kumwambia mtoto malalamiko ya kimahusiano juu ya wanaume wake kinyume na uwezo wake wa ubongo kuprocess. (Covert incest)

Kufokea mtoto muda mwingi sababu ya kushindwa kucontrol hisia na stress zake.

Kumuacha mtoto mwenyewe muda mwingi yeye akiwa kwenye mizunguko huko nje as if alilazimishwa kuishi mwenyewe.
 
baba anakuja kuzipangua kiulaini, na anampa mtoto ukweli wa mambo juu ya tabia na vituko vya mama vilivyosababisha yeye kusepa. Mtoto na baba wanaelewana wanaungana kukuchukia pamoja wanakutenga, unapata pressure na kisukari unaumwa unakufa, wanairudia nyumba ukiyojenga kwa shida kwa kuuza juice na matunda wanaiuza wanahamia kwenye nyumba ya babake life linaendelea kama haukuwapo vile.
Sasa watu wakiendeshwa na chuki hivi ni lini tutaacha kuumizana?

Tumieni akili basi
 
Hela tunazo mapenzi yako wapi!!?hivi huwa mnahisi tunajisikiaje pale tunapojua mpo nasi kisa tunawahudumia pesa na mahitaji!!?yaani barter trade!!?

Hakuna kinachonisikitisha kama hicho!
Bora ununue tu mademu wanaojiuza ukijua upo na mtu kibiashara na sio kuishi na mwizi na tapeli wa mjini a.k.a pretender.

Ukiwa unafanya yako unaweza mgeuza unavyotaka na unaweza piga hata wakiwa sita kwa wakati m'moja na unaweza hata pelekea moto kwa mafungu.
 
Ndio watoto walishindwa kubaki katika nafasi kwa kuona mama yao akinyanyasika tena mbele yao......
Sasa hapo sio swala la kumtenga mzee wao. Mnaweza msaidia mama yenu huku mkimrekebisha baba yenu sio kutoka nduki.
 
Bora ununue tu mademu wanaojiuza ukijua upo na mtu kibiashara na sio kuishi na mwizi na tapeli wa mjini a.k.a pretender.

Ukiwa unafanya yako unaweza mgeuza unavyotaka na unaweza piga hata wakiwa sita kwa wakati m'moja na unaweza hata pelekea moto kwa mafungu.
Afya ya kiroho ni muhim sana Kwa mja!usije vuta nguvu hasi maishani!
 
Haya mambo unaweza kuona kama ya kusadikika, lakini yanatokea sana. I know mzee mmoja (RIP), ambaye alivyostaafu akahamishia familia yake kijijini kwao, ambako alishajenga nyumba nzuri sana ya kustaafia. Mkewe alikaa muda mfupi, akatimkia Canada kwa binti yake.

Mzee alikaa, ikafika muda akaona cha kufia nini... akavuta dogodogo, akaanza maisha upya.

Cha muhimu mwanaume, tengeneza na future yako. Familia ikienda upande wake, ubaki na kitu cha kushikiria
Na hiyo nyumba amuandike huyo dogodogo kama mrithi. Hakuna namna.
 
Ila Zemanda ukiamua kunikalia kooni aahh unajitahidi, nilipanga nisikujibu mana wewe mzee wa ligi ila hii imefanya nicheke [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa watu wakiendeshwa na chuki hivi ni lini tutaacha kuumizana?

Tumieni akili basi
Sasa mtu kwenye meza ya mazungumzo kaja na kaweka panga mezani mimi kuweka rungu mnaita silaha. Kwani kuna ubaya gani kama tukipigana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

We jamaa sio refa mzuri hata kidogo.
 
Kuna koo huwezi kutana na hii kitu. Wazee wanalindwa na ukoo. Mkimtelekeza kinaitwa kikao cha ukoo.
 
Wanaume tutafute pesa ukiwa nazo hata uzeeke vip hutokosa chawa pemben Yako...ukiwa lofa hapo kutengwa na kuundiwa mazengwe kunakuhusu... wanawake sio viumbe wa kuaminika!!hata umfanyie mema yote hatokosa sabb..

Na ikumbukwe tamaa ya mwanamke ni kumtawala mwanaume maishan hvo hyo nafasi weng wanaisubiria ukizeeka na upo broke,,hapo utasomeshwa namba zote!!!
 
Abuse ni neno kubwa na zito sana kulitumia kirahisi? So tukienda kitakwimu, kwa haya maisha ya sasa nani anae abuse watoto kumshinda mwenziwe? [emoji848]

Nadhani umeshaona maisha ya masingle mothers. Picha linaanza kumbadilishia mtoto wababa kila siku.

Kumwambia mtoto malalamiko ya kimahusiano juu ya wanaume wake kinyume na uwezo wake wa ubongo kuprocess. (Covert incest)

Kufokea mtoto muda mwingi sababu ya kushindwa kucontrol hisia na stress zake.

Kumuacha mtoto mwenyewe muda mwingi yeye akiwa kwenye mizunguko huko nje as if alilazimishwa kuishi mwenyewe.
Kumpiga mkeo, na kumpiga mbele ya watoto wenu, hii sio abuse?
 
Shida iliyopo kila analofanya mwanaume kama baba na kama mume huwa somehow linageuzwa kuwa abuse.

Watoto wakichapwa kwa makosa na utomvu wa nidhamu huwa inageuka abuse.

Mama akileta uzembe mfano kutotunza watoto vema, kuleta mazoea ya kindezi na wanaume nje ya ndoa, na kadhalika mume akiwa mkali na mkaksi then inaonekana ni abuse.

Mwanaume akiwa strict na maamuzi yake yenye faida kwa familia anaonekana mkoloni na dikteta hivyo ni abuser.

Kimsingi wanawake wa kisasa mna swaga za kuharibu sana mahusiano ya kifamilia kuliko kuyajenga. Ndio maana wanaume wa kisasa wakishapata mtoto ukimletea ugaigai anakuacha na watoto uendeshe familia wewe kama wewe sababu si unajua sana maisha na unaweza kila kitu hadi majukumu ya kiume. Wanakaa kando hajihusishi na chochote. Lea mwenyewe mtoto akishakua watakutana huko mtaani wataendelea walipoishia.

Story zote za chuki ulizomlisha mtoto baba anakuja kuzipangua kiulaini, na anampa mtoto ukweli wa mambo juu ya tabia na vituko vya mama vilivyosababisha yeye kusepa. Mtoto na baba wanaelewana wanaungana kukuchukia pamoja wanakutenga, unapata pressure na kisukari unaumwa unakufa, wanairudia nyumba ukiyojenga kwa shida kwa kuuza juice na matunda wanaiuza wanahamia kwenye nyumba ya babake life linaendelea kama haukuwapo vile. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ishini na wanaume vizuri haitawagharimu chochote.
Uko wapi.....
 
Back
Top Bottom