Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Matoto muda mwingine yanakuwaga majinga sana. Na yanakuja kujua ukweli baadae sana mzee ameshafariki.Lazima kuna sababu hao watoto sio wehu. Wanaume kaeni vizuri na familia zenu sio mje kuanza kutilisha huruma uzeeni wakati kwenye ujana wenu mliharibu wenyewe.
Wazee huwa hawasemi tu wanayopitia kwa mama zetu ni vile mama zetu wanaongea sana na hawana akiba ya maneno ila laiti wazee wangesema watoto wasingewatazama mama zao kwa mtazamo ule ule