Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpalestina anauliwa toka mwaka 1948, yeye ana haki ya kuuliwa? Au huyajuwi hayo?Hakuna mtu mwenye haki ya kuua mtu mwingine.
Kupinga udhalimu wa Wayahudi huku ukishabikia mauaji ya mateka ni ukengefu.
Arguments zako zinakosa mizania.Mpalestina anauliwa toka mwaka 1948, yeye ana haki ya kuuliwa? Au huyajuwi hayo?
Wewe umealiwa umekuta aaneuliwa myahudi au mpalestina? Mimi ambae nna uhakika ni mkubwa kiumri kwako, nimezaliwa nakuta mpalestina anauliwa.
Leo unamtosa Nyerere aliyeunga mkono wapalestina?
Wewe ni mchaga?
Shetani hawezi kumuondoa shetani.....wote wauane mpaka waisheHata wewe ni shetani, kinachotakiwa ni myahudi aondoke kwenye ardhi ya wapalestina.
Waarabu na wayahudi ni mashetani na ni furaha kuona mashetani yakiuwana kama kumbi kumbi
Leo unamtosa Nyerere aliwaunga mkono wapalestina mpaka kufa kwake?Arguments zako zinakosa mizania
Usibadili mjadala nauliza hiv waislamu wakisikia uarabun midadi inawapanda nini. Kitu hicho hicho wanafanyiwa Palestine na Israel ndicho Morocco anawafanyia western Sahara na ndio hicho hicho wakurd wanafanyiwa na Iraq Iran Syria na Turkish. Na ndicho waarabu wa Sudan wanawafanyia waislamu weus kule magharib bure kabisa.Hahaha mnajulikana wayahudi wa Tanzania kwa kuvamia ardhi za watu na kuzigombania kama mliytoka nazo uhabashi.
Je, hawa ni magaidi wawili walioungwa mkono na nyerere?Usibadili mjadala nauliza hiv waislamu wakisikia uarabun midadi inawapanda nini. Kitu hicho hicho wanafanyiwa Palestine na Israel ndicho Morocco anawafanyia western Sahara na ndio hicho hicho wakurd wanafanyiwa na Iraq Iran Syria na Turkish. Na ndicho waarabu wa Sudan wanawafanyia waislamu weus kule magharib bure kabisa.
Wewe uko sawa. Wayahudi ni wadhalimu, Wapalestina ni wagaidi. Wote ni wapuuzi tu.Shetani hawezi kumuondoa shetani.....wote wauane mpaka waishe
Shetani hawezi kumuondoa shetani.....wote wauane mpaka waishe
Je, nyeere aliwaunga mkono magaidi hawa wawili:Wewe uko sawa. Wayahudi ni wadhalimu, Wapalestina ni wagaidi. Wote ni wapuuzi tu.
Kweli Baniani Mbaya kiatu chake dawa. Leo umeamua kumtumia Nyerere ili kushawishi watu waunge mkono wapalestina.Je, nyeere aliwaunga mkono magaidi hawa wawili:
Yasser Arafat (R) rose to become the leader of the Palestinian movement in the late 1960s, leading an armed struggle against Israel.(REUTERS File Photo)![]()
Sasa unawaunga mkono kivip ?? Kutype tuu humu JF ,?? We kama unawaunga mkono chukua visa nenga Gaza , chukua Ak 47 then ingia front , uone unavyopasuliwa
Wewe na hawara yako Mohamed said munamchukia nyerere kwasababu ya ukristo wake
Simshawishi yeyeote na wala suala la wapalestina halihitaji ushawishi. Ni haki na itapatikana tu, iwe miaka 100 au 1,000:Kweli Baniani Mbaya kiatu chake dawa. Leo umeamua kumtumia Nyerere ili kushawishi watu waunge mkono wapalestina.
Na wao wanapochinjwa na makombora watulie kimya Allah Dagon aje kuwasaidia. Kichapo kipo pale pale.
Mnafiki tu huyo hana lolote.Hata katika hili haukubaliani na Nyerere, wewe una sababu zako na Nyerere alikua na sababu zake.
So, wewe simama na zako, usijifichie kwenye sababu za Nyerere wakati Moyoni una zako ila unataka kutembelea za Nyerere kwa kuwa umeona labda zina mashiko.