Sababu zangu za kuwaunga mkono Wapalestina ni za jadi ya Tanzania na Watanzania wote wanaojielewa

Sababu zangu za kuwaunga mkono Wapalestina ni za jadi ya Tanzania na Watanzania wote wanaojielewa

Unafiki wa kiislam linapokuja suala la muarabu jinga kabisa. Mi mchagga ndio
Hahaha mnajulikana wayahudi wa Tanzania kwa kuvamia ardhi za watu na kuzigombania kama mliytoka nazo uhabashi.
 
Waisraeli hawajawahi kuishi kwa amani tangu enzi za warumi sababu ya tabia zao za kusaliti jamii wanayoishi nayo. Huko Ulaya ndio kabisa walikuwa wachukiwa na kipigo cha mbwa koko kilikuwa kinawaafikia sana.

Taifa la Israeli halitadumu sababu ya tabia zao.

USA mlinzi na mfadhili wake kisha elemewa kila kona kuanzia uchumi, kijamii, na kijeshi mpaka akatimuliwa kama kuku huko Afghanistan.

Road to freedom is not easy but no tyranny has ever survivied the wrath of freedom fighters for justice
 
Hakuna mtu mwenye haki ya kuua mtu mwingine.

Kupinga udhalimu wa Wayahudi huku ukishabikia mauaji ya mateka ni ukengefu.
Mpalestina anauliwa toka mwaka 1948, yeye ana haki ya kuuliwa? Au huyajuwi hayo?

Wewe umealiwa umekuta aaneuliwa myahudi au mpalestina? Mimi ambae nna uhakika ni mkubwa kiumri kwako, nimezaliwa nakuta mpalestina anauliwa.

Leo unamtosa Nyerere aliyeunga mkono wapalestina?

Wewe ni mchaga?
 
Arguments zako zinakosa mizania.

Unapotaja taja uchaga unamaanisha nini?. Mtu ukiwa mkabila na mdini huwezi kuwa objective.
 
Waarabu na wayahudi ni mashetani na ni furaha kuona mashetani yakiuwana kama kumbi kumbi

Wewe hata uwachukie vipi waarabu, uwaite mashetani huwapunguzii chochote, wale ni ndugu zetu na tutaendelea kuwa nyuma yao, wewe baki na hao marafiki zenu mayahudi waliolaaniwa

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
 
Arguments zako zinakosa mizania
Leo unamtosa Nyerere aliwaunga mkono wapalestina mpaka kufa kwake?

Nyerere hapa akiwa na furaha na kubwa la magaidi wa kipalestina?

Tanzania Palestine: Former Palestinian leader Yasser Arafat with Tanzania's former President Julius Nyerere.

Tanzania Palestine: Former Palestinian leader Yasser Arafat with Tanzania’s former President Julius Nyerere.
 
Hahaha mnajulikana wayahudi wa Tanzania kwa kuvamia ardhi za watu na kuzigombania kama mliytoka nazo uhabashi.
Usibadili mjadala nauliza hiv waislamu wakisikia uarabun midadi inawapanda nini. Kitu hicho hicho wanafanyiwa Palestine na Israel ndicho Morocco anawafanyia western Sahara na ndio hicho hicho wakurd wanafanyiwa na Iraq Iran Syria na Turkish. Na ndicho waarabu wa Sudan wanawafanyia waislamu weus kule magharib bure kabisa.
 
Je, hawa ni magaidi wawili walioungwa mkono na nyerere?

Yasser Arafat (R) rose to become the leader of the Palestinian movement in the late 1960s, leading an armed struggle against Israel.(REUTERS File Photo)
Yasser Arafat (R) rose to become the leader of the Palestinian movement in the late 1960s, leading an armed struggle against Israel.(REUTERS File Photo)
 
Shetani hawezi kumuondoa shetani.....wote wauane mpaka waishe

Endelea kuwachukia waarabu na kuupiga vita uislamu, siku tukiamua kiulianzisha hapa kwetu aise mtajikuta idadi yenu hata mioni 10 hamfiki, na ukienda kujichanganya kwa hao mnaowalinda hatutaangalia huyu ni mkristo kutoka tanzania, uganda, kenya n.k, tutapiga mpaka muishe
 
Wewe uko sawa. Wayahudi ni wadhalimu, Wapalestina ni wagaidi. Wote ni wapuuzi tu.
Je, nyeere aliwaunga mkono magaidi hawa wawili:

Yasser Arafat (R) rose to become the leader of the Palestinian movement in the late 1960s, leading an armed struggle against Israel.(REUTERS File Photo)
Yasser Arafat (R) rose to become the leader of the Palestinian movement in the late 1960s, leading an armed struggle against Israel.(REUTERS File Photo)
 
Muslims conflicts
Fight with hindus
Fight with Jews
Fight with Christians
Fight among themselves - shias and baha, Somalia
Figjt with buddhists
Fights with atheists ( all over the world)

Fight fight everywhere

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Je, nyeere aliwaunga mkono magaidi hawa wawili:

Yasser Arafat (R) rose to become the leader of the Palestinian movement in the late 1960s, leading an armed struggle against Israel.(REUTERS File Photo)
Yasser Arafat (R) rose to become the leader of the Palestinian movement in the late 1960s, leading an armed struggle against Israel.(REUTERS File Photo)
Kweli Baniani Mbaya kiatu chake dawa. Leo umeamua kumtumia Nyerere ili kushawishi watu waunge mkono wapalestina.
 
Sasa unawaunga mkono kivip ?? Kutype tuu humu JF ,?? We kama unawaunga mkono chukua visa nenga Gaza , chukua Ak 47 then ingia front , uone unavyopasuliwa

Hata wewe ukienda kujichanganya hatutakuacha
 
aisee... leo bibi anaona Nyerere ni mtu mwenye huruma na wa maana.... huu ni unafiki daraja la kwanza kabisa
 
Na wao wanapochinjwa na makombora watulie kimya Allah Dagon aje kuwasaidia. Kichapo kipo pale pale.

Hilo wala siyo jipya, siku zote wapalestina wapo, kimya lakini wakiibuka ndiyo hivyo, hata wewe unapata habari.

Wanapouliwa wao toka 1948 unayo habari?
 
Hata katika hili haukubaliani na Nyerere, wewe una sababu zako na Nyerere alikua na sababu zake.
So, wewe simama na zako, usijifichie kwenye sababu za Nyerere wakati Moyoni una zako ila unataka kutembelea za Nyerere kwa kuwa umeona labda zina mashiko.
Mnafiki tu huyo hana lolote.
 
Back
Top Bottom