Hicho ndo kimekufanya usipande ndege tangia uzaliwe?
Nikiwa naenda wapi ..route zangu hazizid kilometa 400 from here iam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho ndo kimekufanya usipande ndege tangia uzaliwe?
Kwanza ikumbukwe kwamba hizo ndege ndio zilikwenda kuchukua ndugu zetu na watanzania wenzetu waliokuwa wamekwama China na India katika kipindi cha Corona
Basi sawa, kama shughuli zako za kila siku hazikulazimu kutumia usafiri wa anga usipondee, Kuna wengine tunaona umuhimu wake, na umetusaidia Sana.Nikiwa naenda wapi ..route zangu hazizid kilometa 400 from here iam
Basi sawa, kama shughuli zako za kila siku hazikulazimu kutumia usafiri wa anga usipondee, Kuna wengine tunaona umuhimu wake, na umetusaidia Sana.
Mshamba na limbukeni..Nani huyo