A Agera 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 4,088 Reaction score 4,226 Sep 18, 2020 #121 Mac Alpho said: Hicho ndo kimekufanya usipande ndege tangia uzaliwe? Click to expand... Nikiwa naenda wapi ..route zangu hazizid kilometa 400 from here iam
Mac Alpho said: Hicho ndo kimekufanya usipande ndege tangia uzaliwe? Click to expand... Nikiwa naenda wapi ..route zangu hazizid kilometa 400 from here iam
A Agera 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 4,088 Reaction score 4,226 Sep 18, 2020 #122 EllySkyWilly said: Kwanza ikumbukwe kwamba hizo ndege ndio zilikwenda kuchukua ndugu zetu na watanzania wenzetu waliokuwa wamekwama China na India katika kipindi cha Corona Click to expand... Kwani upinzani mdo walileta corona
EllySkyWilly said: Kwanza ikumbukwe kwamba hizo ndege ndio zilikwenda kuchukua ndugu zetu na watanzania wenzetu waliokuwa wamekwama China na India katika kipindi cha Corona Click to expand... Kwani upinzani mdo walileta corona
N Nitajulikana JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 328 Reaction score 355 Sep 18, 2020 #123 Basi mwambie aache kutembea na wasanii na kubeba watu kwenye Malory tuone upendo huo was watu wengi kwake bila ukakasi!!
Basi mwambie aache kutembea na wasanii na kubeba watu kwenye Malory tuone upendo huo was watu wengi kwake bila ukakasi!!
Mac Alpho JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 13,953 Reaction score 27,825 Sep 19, 2020 #124 Eminentia said: Nikiwa naenda wapi ..route zangu hazizid kilometa 400 from here iam Click to expand... Basi sawa, kama shughuli zako za kila siku hazikulazimu kutumia usafiri wa anga usipondee, Kuna wengine tunaona umuhimu wake, na umetusaidia Sana.
Eminentia said: Nikiwa naenda wapi ..route zangu hazizid kilometa 400 from here iam Click to expand... Basi sawa, kama shughuli zako za kila siku hazikulazimu kutumia usafiri wa anga usipondee, Kuna wengine tunaona umuhimu wake, na umetusaidia Sana.
A Agera 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 4,088 Reaction score 4,226 Sep 19, 2020 #125 Mac Alpho said: Basi sawa, kama shughuli zako za kila siku hazikulazimu kutumia usafiri wa anga usipondee, Kuna wengine tunaona umuhimu wake, na umetusaidia Sana. Click to expand... Kwan fast jet si ilikuepo ..mkaifanyia figisu et ili ishindwe mupandishe watu mandege yenu biashara haiko hivo
Mac Alpho said: Basi sawa, kama shughuli zako za kila siku hazikulazimu kutumia usafiri wa anga usipondee, Kuna wengine tunaona umuhimu wake, na umetusaidia Sana. Click to expand... Kwan fast jet si ilikuepo ..mkaifanyia figisu et ili ishindwe mupandishe watu mandege yenu biashara haiko hivo
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,263 Sep 22, 2020 #126 EllySkyWilly said: Nani huyo Click to expand... Mshamba na limbukeni..