Sababu zinazofanya wanatajirisha wengine wao wanabakia masikini

Hii video ya the secret ninayo...ndo video iliyonifungua akili kuhusu our reality.

Ndo apo nikaja kujua kwann Mungu asilimia 90 ya milango ya fahamu kaiweka kichwani...

We're only the one who creat our reality...
 
Mkuu kuna rumors ya kwamba unadukuwa account za watu na kuedit comment zao...embu tuambie ktk law of attraction unatumia laws ipi..??
 
Mkuu kuna rumors ya kwamba unadukuwa account za watu na kuedit comment zao...embu tuambie ktk law of attraction unatumia laws ipi..??
Hahaa mkuu acha zako bwana..hayo yashakwisha
 
Bro
naona umeamua kutengeneza ubishi usio na tija
Kama unashindwa kuelewa kuwa mke na watoto wako ni sehemu ya mali yako aupaswai kuendelea kubishana
 
Mkuu watu wengi sana they’re not acquainted with the “The Laws Governing the Universe”.
Hence they can’t live in harmony with them and get the most of whatever they do.
How can I get acquainted with laws of nature? I need such state
 
Uko sahihi Sana Mkuu, hata kwenye vitabu vitakatifu wameelezwa hawa watu. Biblia inatumia neno Waonaji. spiritual seer"

Jamii zinawadharau, lakini wanaplay vital role Sana.
Mfalme Sauli alipotingwa alienda kwa mwonaji na alimsaidia Sana kuongea na Nabii Samweli. Binafsi nawaheshimu Sana. Kwenye janga la corona walitusaidia pia.
 
Sauli alipoenda kuwaona hao watu lilikua kosa kubwa la kiufundi...ndio lilipelekea akanyanganywa Ufalme.
Unaheshimu wapiga ramli na wasoma alama ambapo ni jambo baya machoni kwa Muumba. Mungu alitumia manabii tu sio watu hao waonaji
 
Acupuncture is a complementary medical practice that entails stimulating certain points on the body, most often with a needle penetrating the skin, to alleviate pain or to help treat various health conditions.


Developed millennia ago in China, numerous recent studies conducted by scientists in Europe and the United States have found that acupuncture is at least moderately effective in treating pain and nausea.

For example, one of the largest studies to date on acupuncture and chronic pain a meta-analysis of 29 well-conducted studies involving nearly 18,000 patients and published in October 2012 in the Archives of Internal Medicine found that acupuncture is effective for treating chronic pain and therefore is a reasonable referral option. The doctors wrote that "significant differences between true and sham acupuncture indicate that acupuncture is more than a placebo" but added that "these differences are relatively modest
 
Hii video ya the secret ninayo...ndo video iliyonifungua akili kuhusu our reality.

Ndo apo nikaja kujua kwann Mungu asilimia 90 ya milango ya fahamu kaiweka kichwani...

We're only the one who creat our reality...
Kichwani ndipo alipo wewe yaani Mind
 
uko sahihi kwa mtazamo wako au kichwa chako kigumu kuelewa swali
Lakini kwanini inapijuha suala la pesa/mali mtu yupo tayari kufanya lolote ili kupata mali hizo bila kujali madhara yatakayowapata wengine
 
Mkuu anzia hapa kwenye mada hii inaweza ongeza vitu kwenye lile swali lako
Asante mkuu nimepata vitu vingi, nimewahi kusoma law of attraction kidogo naona vinaendana na ulivyoandika hasa hapo kwenye uponyaji pia kwenye kutoa Sadaka nimeprove yaani it works like a charm kwasababu ndo sehemu pekee Mungu ameruhusu tumjaribu na Mungu huwa anatimiza ahadi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…