Sababu zinazofanya wanatajirisha wengine wao wanabakia masikini

Da vincci
Roho ni nini?
Why unachanganya sayansi na mambo ya kiimani?

Unaelewa nini kuhusu placebo ?
 
Labda mimi nashindwa kupata concept yako. Kwamba hawapendi??? Lakini mbona bado anawabariki...mbona anazidi kufanya kila njia ili warudi kwake?
Nahis ndo Kaka anamaanisha Ni kuwalea waja wake ambao Ni waovu
 
Asante Mkuu, ngoja niisome.
 
Kwakua ni vitu vinayofungamana, hakuna tiba bila imani mkuu. Je wewe binafsi una mawazo gani? Nijifunze
Ninapo sema sayansi namaanisha anatomy, physiology, pathology, genetics, neuroscience, quantum mechanics n.k vile vile nikisema mambo ya kiimani namaanisha spiritual things (set of beliefs) ambazo haziitaji ushahidi (proof)

Hazifungamani hata kidogo
Hii ni tiba kama ilivyo acupuncture!!
Placebo sio sawa na acquipuncture, jaribu kujifunza kuhusu placebo,

Wewe ukienda kwa daktari unaumwa malaria ukapewa vidonge vyenye sukari ambavyo havina dawa yeyote, ukaambiwa hii ni dawa namba moja kwa ubora ktk kutibu malaria, ukiitumia hiyo dawa kweli unapona na kuwa mwenye afya njema, that is placebo

Wewe ukienda kwa mganga unaomba upatiwe dawa ya kuvuta wateja mganga akakusagia mkaa bila wewe kujua na kukupa ukazungushie ktk eneo lako la biashara na kweli wateja wakafurika that is placebo sio uchawi wala majini

MECHANISM BEHIND
Inaanzia kwenye ubongo, ubongo wako unazalisha neuropeptide ambayo inaflow kwenye blood vessels mpaka kwenye targetted cell, inakuwa attached kwenye receptors , cell zako zonazalisha protein ambayo ina expose genes zinazohusika na hiyo message then protein husika zinatengenezwa kupitia codes zilizopo kwenye genes zako ambazo zinatafsiri message iliyoletwa na messenger, then hiyo protein inaweza kuwa moulded na kuwa immune factor against malaria parasites kwa kustimulate stem cells kudifferenciate kuwa immune cells... kimsingi hakuna cha levels of spirits wala uchawi bali ni sayansi mtupu

Unaposema levels of spirits, hujui kwamba kuna quantum mechanics, binadamu ameundwa na atoms, then molecules kama vile protein lipids carbohydrate n.k, then muunganyiko huo unakuwa cell, muunganyiko wa cell unakuwa tissue, muunganyiko wa tisdue unaunda organ, then muunganyiko wa organ unaunda system then whole organism,

Ukirudi kwenye atom imeundwa na proton neutron na electrons, then ukizi punguza zaidi una pata energies full of empty spaces, kikawaida kila atom inatabia ya kuvibrate, na hutoa energies in forms of photons ambazo unaweza kuziona kwa vipimo maalum, mfano unaweza kupima activities za ubongo kwa kutumia ELECTRO ENCEPHALOGRAM au HEART RYTHMS/ACTIVITIES unaweza kuzipima kwa kutumia ELECTROCARDIOGRAM , siku hizi technolojia imekua kubwa wanasayansi wanapima mpaka brain activities kwa kutumia COMPUTERIZED TOMOGRAPHY ambayo ndio CT SCAN ambayo inapima electromagnetic waves za hydrogen atoms zilizopo kwenye ubongo ambazo ni zao ra respiration ktk neurons

Wewe unaita uchawi????
 
Ninapo sema sayansi namaanisha anatomy, physiology, pathology, genetics, neuroscience, quantum mechanics n.k vile vile nikisema mambo ya kiimani namaanisha spiritual things (set of beliefs) ambazo haziitaji ushahidi (proof)
Hakika ni hivyo mkuu
NB. Mimi sio mfuas wa uchawi.. naamini Uchawi ni Variant ya sayansi, hivyo vinataka kufungamana.
Kwa maelezo yako hapo juu ni kama nilivyo eleza baadhi kwenye vitu fulani kwenye uzi huu.. naomba nisome.
Btw nashukuru kwa kunipatia elimu mpya! Sikujua placebo ni kitu gani hasa. Thanks..
 
Hata kisayansi inathibikita.
Mfano ujasiri ni roho but matokeo yake yanathibitika kisayansi
 
Laana ni kitu kibaya anachokipata mtu kwa kuzaliwa nacho au lah
Ili laana ikupate ni lazima uiruhusu mawazoni mwako ndipo itatenda kazi. Pia laana ukupata kama ulishiriki ulitenda uovu uendao na ulicholaaniwa.
 
Watu weupe wanajua kijiconect na positive power
 
Sometimes I think knowledge is my Curse[emoji848]
Nilikua mahali nawaza Kuhusu hiyo phrase ya Convincing the body. Then all this stuff/information popped up on my head.. Ndivyo navyopataga ideas.

Nafarijika kusikia umejifunza vitu toka kwangu
Kuna namna ubongo unaunda ujuzi bila kusoma mahali wala kuambiwa na mtu, kuna moja ya andiko lako ulisema kwamba kwenye maisha kila kitu kina ukinzano wake. Nikakumbuka hiyo ni kauli nimetoka kumwambia mtu siku kadhaa nyuma na leo nimeikuta humu.
 
Hakuna ukweli hapo,ni masimulizi ya hadithi za alinacha tu
 
Kwanini...?

Yeap, kama mtu unaweza kupaa kwa uchawi basi waweza kupaa pia kwa nguvu za Mungu
Kinachowezesha wachawi kupaa ni majini kuhusu huku kwa Mungu sijafanya tafiti kama kupaa kupo.
 
UNA AKILI SANA MKUU NA SINA SHAKA NA UELEWA WAKO. LAKINI NAKUAMBIA KWA HERUFI KUBWA HUJUI CHOCHOTE KUHUSU UGANGA NA MAMBO YA MIUJIZA. HATA SERIKALI WALIPOKATAA KUAMINI HIZO KITU WALIJUA NAMNA ZA KUZIWAKILISHA NA KUZIELEZEA NI NGUMU SANA. TUNZENI DEGREE ZENU VITU VINGINE WAACHIENI WENGINE. HUWEZI KUJUA KILA KITU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…