a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
Mfano watumishi wa chuo kikuu kimoja cha umma Pindi chuo kinapofunguliwa na wakati wanachuo wapya wanapo join chuoni
MWEZI NOVEMBER
watumishi wa chuo wanapambana wanaandikisha wanafunzi wapya wanaojiunga na chuo hicho wakifanya kazi mpaka masaa ya ziada.
Makusanyo ya ada yanakuwa makubwa,chuo kinakusanya pesa nyingi sana.
MATUMIZI YA VIONGOZI
wale viongozi wanapanga masafari ya nje ya nchi wanatumia hizo pesa kwa kujipangia masemina na kujilipa wao.
Ikifika mwezi wa tano mpaka wa sita hela yote wanakuwa wameshaimaliza KUITAFUNA MABOSS sasa wanaanza kuwaambia watumishi wanyonge surbodinates wao ..hali ngumu taasisi haina hela
WATUMISHI WA CHINI HAWALIPWI STAHIKI ZAO
1)Hawalipwi madai yao kama ya malipo ya muda wa masaa ya ziada ya kazi.Wanafanya kazi mpaka usiku lakini hawalipwi,pesa zote MABOSI wanajilipa wao kwa wao kakundi kadogo cha wanamtandao
2)Hawalipwi fedha za likizo
3)Kukatwa madai yao unalipwa robo au chini ya robo ya stahiki zako,kama unadai extra duties 10 unalipwa mbili.Kama hela ya likizo unadai laki 8 unalipwa laki 2,
4)UNACHELEWESHEWA malipo yako hata hayo robo ya unayodai HAULIPWI kwa wakati.
hizo extra duties 2 zenyewe unalipwa kwa kuchelewa sana.
5)mtumishi wa chini mnyonge ukidai madai yako UTAAMBIWA TAASISI HAINA HELA..ila utashangaa kuona MABOSS wao madai yao ya MAPOSHO ya vikao na masafari wanalipana kwa HARAKA yani fasta fasta file linakimbizwa kama upepo na wanalipwa pesa yote bila makato.
Hizi ni baadhi ya sababu zinazofanya watumishi wahame kutoka sehemu yenye MATESO kama hayo na UNYONYWAJI kutafuta sehemu ambayo wanahisi WATATENDEWA HAKI,kwa sababu na wao pia watumishi wanyonge nao wanamatumizi ya pesa,kama wao maboss wanavyohutaji pesa kwa matumizi yao ndivyo hivyo hivyo ja watumishi wanyonge nao wanahitaji pesa ,kwa sababu
kama ni sokoni bei ya bidhaa sokoni ni moja kwa boss na mtumishi wa kawaida,kadhalika ukienda sheli kuweka mafuta kwa gari bei ya lita moja ya petroli ni moja kwa boss na mtumishi wa chini,kama wanalipa ada wote tunalipa ada kwa watoto,na wore tunahitaji kula ,kuvaa,makazi mahitaji yanafanana.
MABOSSI WENGINE ni MASHETANI halisi..
ndio mana unaona kuna BOSS akichaguliwa tu kuanza kazi ..unakuta watumishi wote kwenye hiyo taasisi wanahama ...ili hali alipokuwepo boss mwingine kabla yake watumishi wengi walikuwa wanahamia .
Mobosi punguzeni uonevu na UBINAFSI..halafu kabisani ndio kiherehere kutoa sadaka na kujionyesha wema kumbe hizo pesa mnatoa ni za machozi ya wanyonge...hiyo ni dhambi...dhuluma haki za wengine.
kuna taasisi moja watumishi wake wote wanataka kuhama eote hadi ma HR kila mmoja anatafuta uhamisho..shida ni nini?kumbe kuna jini moja na ka mtandao ka mabossi wanawanyaji?!