Sababu zinazofanya watumishi wahame kutoka kituo kimoja kwenda kingine

Sababu zinazofanya watumishi wahame kutoka kituo kimoja kwenda kingine

Taasisi nyingi zinamifumo ya namna hii me hua nashangaa kelele zote hizi hua hawaoni au ni nini?
 
hili tatizo lipo taasisi zote ambapo watu wanahama ndio sababu kuu ya watumishi kuhama ...ukiona tasisi watumishi wake wanahama kwa wingi ujue shida iko kwa maboss wakutugenzi wakuu wa idara..wakuu wasimamizi wa fedha

mfano taasisi ya CHUO KIKUU CHA MIPANGO DODOMA watumishi wote wanahama kwa sababu ya maujinga kama haya ..

wakati miaka michache nyuma alipokuwepo kiongozi mwenye ROHO SAFI watumishi walikuwa wana maisha mazuri na walikuwa wanakimbilia kuhamia..
mpaka leo wanamkumbuka kiongozi yule alikuwa na moyo safi

hata ukimlilia shida anakusikiliza na anakusaidia..sema ndiyo hivyo ..alikuja kuhamia mashirika ya UN

ameacha pengo tunamkumbuka kwa mema ,Mungu amtuze alikuwa mtu poa sana ..

tunawaambia kila siku kwenye vikao jalini maslahi ya watumishi wenu sio kujijali wenyewe

ona sasa watumishi wanahama kwa makundi..hadi ma HR kwa sababu ya UROHO na ubinafsi wa watu wachache
Duh Kuna Mshikaji wangu alitaka kuhamia hapo akitokea huko halmashauri kumbe Cha moto angekipata.
 
Back
Top Bottom