aiseeni zaidi ya hatari, unatembea kulia kwako hela kushoto kifo. vip kuhusu kubalishana wafungwa wa kijasusi ipo hapa kwetu? unakuta tumemkamata wa nchi fulani ila kwa kuwa kutoka nchi hiyo tuna wa kwetu tunaamua kubadilishana, tunamrudisha wa kwao wanamrudisha wa kwetu
vice versa is true
Moja ya kitu nachopenda ni ujasusi,
Sio shughuli nzuri kias hicho kama wengi mnavyodhania..
Sio shughuli nzuri kias hicho kama wengi mnavyodhania..
aiseeni zaidi ya hatari, unatembea kulia kwako hela kushoto kifo. vip kuhusu kubalishana wafungwa wa kijasusi ipo hapa kwetu? unakuta tumemkamata wa nchi fulani ila kwa kuwa kutoka nchi hiyo tuna wa kwetu tunaamua kubadilishana, tunamrudisha wa kwao wanamrudisha wa kwetu
Upo????
Fuatilia kisa cha Snowden utaona kama kuna hiyo habari au la...........!!!!!!!
Tafuta majasusi waliopigwa Polonium na sababu za wao kufanywa hivyo.....!!!!
Am so interested on such kind of information. ... Well done !
Nipo Chief.. Heshima kwako na Pass_over njema..!!
Nilipata kufadhiliwa na mfuko fulani wa maendeleo ya watu wa Nchi fulani ya magharibi kusoma kozi fupi.....wakati wa weekend wanatuchukua na kututembeza sehemu mbalimbali na kutupa starehe za kila aina kama vile Disko, Ulabu, dada poa na kadha wa kadha yote hayo mbantu mie sikupenda...........Muda mchache kabla ya kuondoka walitoa vyeti vya ziada (kwa maana ya Tabia)....Mimi walikomment ati Looks like AGENT nilishangaa sana na nikaamua kukiacha Hotelini nikiwa nimekichana.........Nilipo safiri kurudi TZ nikiwa Nchi fulani karibu niache na Ndege ya kuja TZ kwani nilizuiwa nikiwa na mdada wa kidhungu ambaye machoni pangu nilimuona kama Agent wakapekuwa begi la yule dada akaruhusiwa ikaingia zamu yangu......walipekua zaidi ya mara 4 bila ya kunieleza wanatafuta nini?.......Hatimaye nami wakaniachia.........Nikahisi walikuwa wanatafuta kile cheti aaaaaahhh ilikula kwao........
Me too it's such a gud topic,I wish to learn more and more.Those who have information please share with us.