Evelyn salt being a spy hakutakiwa Ku react like that ilisha kuwa weakness kwake that's why walimuua yule jamaa mbele kumaanisha none is above mother Russia kuhusu kuactvate hapana koz stl walikuwa na yule jamaa aliyemteka president later so alijua koz wangeweza kumtumia resident refer allegiance
Nilicho maanisha ni kuwa kazi ya ku activate mission, followups intels nk kwa warussia hufanywa na residents ambae hupokea kutoka kremlin kama sikoseiMkuu unawajua sleeper agents? Kwanini waitwe 'sleeper'. Kama ni Sleeper huwa wana wait activation unayoikataa wewe. Katika mission za kijasusi mnaweza kutumwa zaidi ya mmoja ili ikitokea mwingine akifeli mwingine akafanikisha. Hebu nijibu kuhusu Sleeper agent.
Haswaa kitu ambacho Evelyn hakutaka koz pale ndipo bwana buibui alipokuwa exposed lakini us had no way out to make her look civil kuhusu mission evelyn alishaanza kuipenda sana Us than russia thus jamaa aliyempa mission akaenda mwenyewe kumexpose just for her to do her mission ndo maana baada ya pale evelyn akaenda ktk ile submarine where was supposed to be long time na huwa naamini 2017 wanaweza kutupa teaser ya salt 2Evelyn Salt alikuwa ni mfungwa Korea Kaskazini na nchi hiyo ikataka ibadilishane wafungwa kwa Marekani kumuachia mfungwa wa kisiasa kutoka Korea Kaskazini.
Lakini Marekani hawakutaka iwe rahisi hivyo wakamtumia mumewe Evelyn Salt atengeneze ushahidi wa kusaidia kesi yao ya kumtoa Evelyn Salt.
Evelyn Salt kiwa amerudi Marekani kuna jamaa kutoka Russia alijisalimisha kwenye ofisi za CIA na kuomba hifadhi ya ukimbizi na katika kutoa maelezo akadai kwamba Evelyn Salt anataka kumuua raisi wa Russia ambae angehudhuria maziko ya makamu wa raisi mjini Washington.
Evelyn Salt anakataa madai hayo na kujitetea kwamba hahusiki na jambo hilo lakini CIA hawamuamini na Evelyn Salt anaamua kukimbia nyumba na familia yake.
Baada ya kukimbia anagundua kwamba mumewe ametekwa na ndipo mpambano unakuwa mkali maana mwanamke jasiri kama huyo ameporwa mume wake kipenzi.
Hii movie mwanzoni ilikuwa ichezwe na Tom Cruise lakini yeye akataka kucheza kwenye movie ingine ya Knight And Day na mtunzi wa Salt akaamua kumbadili mhusika mkuu wake kutoka mwanamme na kuwa mwanamke na ndipo Angelina Jolie akawa muigizaji.
Ni movie inayoshabihiana na zile za Bourne Trilogy kwamba labda ingekuja Salt 2 ingekuwa bomba sana.
Mada nzuri sana hii ! CIA wanatabia ya kutumia hela kukufanya uisaliti nchi yako.Wanaweza kukuambia uwe double agent afu wanakujengea nyumba Mbezi Beach
Watu hatari sana wale
everything is possible
Sasa uzalendo hakuna.....zamani vijana walipigana vita Uganda,bila hata kutegemea kupata chochoteKama Pesa ni kigezo kikubwa, sijui majasusi wa nchi yetu wapo katika hali gani!! nadhani wao wanaongoza kwa kuwa double agents.
Hivi uliiona ile ya jamaa Wa hotel Rwanda inaitwa TraitorHaswaa kitu ambacho Evelyn hakutaka koz pale ndipo bwana buibui alipokuwa exposed lakini us had no way out to make her look civil kuhusu mission evelyn alishaanza kuipenda sana Us than russia thus jamaa aliyempa mission akaenda mwenyewe kumexpose just for her to do her mission ndo maana baada ya pale evelyn akaenda ktk ile submarine where was supposed to be long time na huwa naamini 2017 wanaweza kutupa teaser ya salt 2
Moja ya kitu nachopenda ni ujasusi,[/QUOTE
Kwann unaupenda ujasusi? Kipi kinakuvutia hasa nambie
Hii makitu mie huwa nayapenda sana,i wish ningekuwa mmoja wao wa hao maspy
Sent from my iPhone using JamiiForums app
hivi kuna jasusi anaweza kuwa double agent wa CIA na TISS? Yan TISS wamtumie kupata taarifa za USA?
Sasa uzalendo hakuna.....zamani vijana walipigana vita Uganda,bila hata kutegemea kupata chochote
Hivi uliiona ile ya jamaa Wa hotel Rwanda inaitwa Traitor
Alikua anaitwa Maya au linah ..strike back 5,Damian scot ,Michael stonebringe si mchezoHapa umenikumbusha strike back tv show season 5....hiyo case ya pili uliyoisema ni sawa kabisa na kiukweli ilikua ngumu sana sana waingereza kumgundua muhusika kwasababu alifanikiwa mpk kuwa mke wa balozi wa uingereza nchini Thailand kumbe behind the scene ni agent wa north korea alipofanikiwa alichokua anatafuta alirud kwao ingawa alikuwa ashashtukiwa..... huyo mama alipandikizwa toka akiwa mtoto kwa manufaa ya taifa lake.....aiseee strike back acha kabisa hii tv show.....a one of my best tv show!!
ALIAS pia ni moja ya series kali za kijasusiSeries tafuta Nikita, 24 hrs, homeland. Hizo mbili za kwanza ni the best
Y bull shit mi nilipenda jamaa alivyokuwa deep cover mpka agents wenzake hawakumjua na alikuwa anaripoti to only one person to me was nice how clandestine he wasYeah ilikua bullshit