Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Hizi zinaweza kuwa sababu kuu, zinazowafanya wanawake wengi wasiwe na wapenzi wa kiume:-
- Kuwajibu wanaume wanao watongoza kwa lugha ya ukali
- Kuwadharau wanaume wanao watongoza kimuonekano na kumjibu kwa dhihaka
- Kuwadharau na kuwapuuza wanaume wenye kipato kidogo, wasiokuwa na mali kwa sasa.
- Kuwapenda wanaume wanao igiza maisha
- Kukimbilia kwa mwanaume mwenye kipato kikubwa
- Kukunja sura muda wote
- Kujifanya unajua kila kitu
- Kukosa lugha ya mahaba kwa uliyenaye
- Kujiona wewe ni spesho kuliko wengine
- Kupenda sana pesa kuliko utu
- Kutokuwa na maono katika maisha
- Kuwa muongeaji sana n.k
Mkiacha haya mambo; mtafanikiwa kupata wapenzi wazuri na wanaojali.