Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna mwanamke wa hivyo[emoji1]Mimi napenda niambiwe ukweli hata kama ni mchungu. Niamue toka mwanzo nakua na wewe ama vipi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo mimi hapa [emoji23][emoji23][emoji23]Hamna mwanamke wa hivyo[emoji1]
Watu wamejaa sumu. Kuna jamaa alifungua uzi siku anamsifia mkewe watu wakaja ooh ngoja mkae miaka hata 10 ndio uje umsifie yaani watu wamejaa sumu hatari. Wamechagua kuangalia mabaya tu hayo mazuri ni muda gani wataona? Hakuna.Mnakatisha tamaa sana wakuu , kila mada kuhusu wanawake ni upande wa mabaya tu iv ni kwel kwamba hawa watu hawana mazuri?
Hii sumu ni mbaya mno ina badili mindset kuna watu wanafanya kile wanachokisikia sna .Watu wamejaa sumu. Kuna jamaa alifungua uzi siku anamsifia mkewe watu wakaja ooh ngoja mkae miaka hata 10 ndio uje umsifie yaani watu wamejaa sumu hatari. Wamechagua kuangalia mabaya tu hayo mazuri ni muda gani wataoona? Hakuna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo watu washavurugwa.Hii sumu ni mbaya mno ina badili mindset kuna watu wanafanya kile wanachokisikia sna .
Hii style huwa ina faida sana katika mapenzi na hata maisha ya ndoa.Ni kwel mkuu ila wanaume inabdi tuwe wanaume kwel wengi wanalia lia tu bila wao kuwa na msimamo ,mfano upendi kuombwa pesa kwenye mapnz mwambie kwa kunyooka nakutaka ila sitakupa pesa kama kigezo cha mapnz , mpe mwanamke pesa au msaada kwa wewe kupenda na sio yeye akuuendeshe , tatizo tunaishi maisha ya kuigiza ndio maana tuna lialia .
Afu nashangaa kwanini wanawake hawalalamiki kama sisi[emoji23]Watu wamejaa sumu. Kuna jamaa alifungua uzi siku anamsifia mkewe watu wakaja ooh ngoja mkae miaka hata 10 ndio uje umsifie yaani watu wamejaa sumu hatari. Wamechagua kuangalia mabaya tu hayo mazuri ni muda gani wataona? Hakuna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa mchongo
Huo mstari wa mwisho[emoji23][emoji23]Wanawake wanapenda kuambiwa uwongo
Usijaribu kumuambia ukweli mwanamke utamkosa
Wanapenda uwongo + maigizo
Wanawake wanapenda kusikia ukamilifu wa jambo
Hawapendi kusikia kuhusu mchakato
Ili uishi nao vizuri basi jitahidi kua muongo na uwe kanumba mzuri
Hata kama umeshika jiwe mwambie hu ni mkate mpenzi wangu.
Kabsa mkuu ,ni bora ukiwa na mtu umwambie mbivu na mbichi ,kuwa staki hichi nataka kle ili yeye mwenyewe ajue atasuka au atanyoa inapunguza sana lawama ,kuliko kuigiza unataka kumbe hautaki.Hii style huwa ina faida sana katika mapenzi na hata maisha ya ndoa.
Kibao kimegeuka [emoji16][emoji16]Afu nashangaa kwanini wanawake hawalalamiki kama sisi[emoji23]
Ina make sense[emoji23]
Yah ,na walivyo wa ajabu atakubali😅Huo mstari wa mwisho[emoji23][emoji23]
Those are men in ur circleUnakosaje mpenzi?
Men are so cheap
Inawezekana piaThose are men in ur circle