Sababu zinazopelekea wanawake wengi kutokupata wapenzi

Sababu zinazopelekea wanawake wengi kutokupata wapenzi

Kitu ambacho wanaume wengi hatuelewi ni kuwa mwanamke akikupenda huwezi struggle kumpata, hivyo mm maximum natumia wiki 1 tu kumtongoza mdada, siku 2 za kufahamiana naye, siku 5 za yeye ku-play hard to get, asipoeleweka ndani ya muda huo eti awe ananipa majibu ya dharau, matusi, ananiambia anakuja hlf asije, mara aniombe hela, mimi namkimbia.

Mwanamke akitamani zaidi, hata siku hiyo hiyo mnayokutana unaweza mpata, au ndani ya siku mbili.

Nimegundua huu ujinga wa kufuatilia mwanamke miezi 8 hadi mwaka ni kupoteza muda, mwanamke yoyote anajua mwanaume anayemtaka, akimwona ndani ya sekunde chache tu kama sisi, anajua huyu mwanaume ni type yangu au la, jibu tayari analo kichwani Leejay49
Kitu kinachowasumbua wanaume ni mob psychology yan kazi yao kudanganyana na kufuata mkumbo. Ukiona anaetongoza mize minne ujue anaaply ile kanuni ya mwanaume lazma upambanie unachokipenda. Mpk kieleweke. [emoji3] aliyosikia kijiweni.
 
Mkuu una tatizo gani? Mada zako kila mara hapa jukwaani ni za Mapenzi tu..
Kama una ujuzi njoo tufanye kazi
 
Kama una ujuzi njoo tufanye kazi
😁😁
 
I know nothing and i need to learn so tufundishe mku .
Tembelea huu uzi
 
Tembelea huu uzi
Nakucheki pm Mkuu
 
Jamani jamanii [emoji134]
Ndio
Kama nmedanganya sema wap?
Maisha mazuri na mafanikio ni mchakato
Kila kinachoonekana leo basi jua mipango yake ilikuepo tangu muda mrefu
Malengo yanaathiliwa na uchumi
Wakati mwingine ndoto zinafifishwa kutokana na hari ya kuyumba kwa uchumi
Wakati huo mwanamke ndio wakati sahihi wakuonesha mshikamano na mwenzako
Lakin ndio kwaaanza hua mnakimbia...

“Ladies wanapenda ukanilifu”
Kua hili ni gari
Hi ni nyumba yangu
Hi ni biashara yangu
Ila hawapendi kauri ya “nna”!!
 
Ndio
Kama nmedanganya sema wap?
Maisha mazuri na mafanikio ni mchakato
Kila kinachoonekana leo basi jua mipango yake ilikuepo tangu muda mrefu
Malengo yanaathiliwa na uchumi
Wakati mwingine ndoto zinafifishwa kutokana na hari ya kuyumba kwa uchumi
Wakati huo mwanamke ndio wakati sahihi wakuonesha mshikamano na mwenzako
Lakin ndio kwaaanza hua mnakimbia...

“Ladies wanapenda ukanilifu”
Kua hili ni gari
Hi ni nyumba yangu
Hi ni biashara yangu
Ila hawapendi kauri ya “nna”!!
Yeah, sure 😔
 
Wanawake wanapenda kuambiwa uwongo

Usijaribu kumuambia ukweli mwanamke utamkosa
Wanapenda uwongo + maigizo
Wanawake wanapenda kusikia ukamilifu wa jambo
Hawapendi kusikia kuhusu mchakato

Ili uishi nao vizuri basi jitahidi kua muongo na uwe kanumba mzuri
Hata kama umeshika jiwe mwambie hu ni mkate mpenzi wangu.
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
 
  • Kuwapenda wanaume wanao igiza maisha
  • Kupenda kuambiwa uwongo
 
Back
Top Bottom